Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Ahsante kwa kunielewa dhamira yangu... Ni lazima ukubali kwamba kuna haja ya kutopanga ratiba, iwe imetokea una hamu basi ni mgegedo tu, na cha usiku huwa kitamu sana si unajua..
Naona unasisitiza na kukumbusha kuwa hili ni swala muhimu sana kwa sasa kuliko hata vyuma kukaza, noah za makinikia, au KATIBA!
 
Yaani mpaka tuamke sisi mmekuwa mnalala wengine wabinafsi yaani mkilala tusipowaamsha ndio basi tena.

Hii inaudhi sana mbona kama hamtaki tukiwaamsha mnapiga kazi kama mlikuwa macho vile kumbe mnakuwa mnatuchora tuu.

Tuamsheni bwana acheni dharau kwani raha si yetu sote.
We ni ke au me?
 
Hivi unaujua utamu wa usingizi wewe au unatania!! Tabia mbaya mnooo kumuamsha mwenzio kwa mambo yasiyo ya msingi.
 
Kusoma hujui hata picha huoni? Sio lazima utingishwe tingishwe ndo ujue mtu anataka. Kuna namna mwamamke atakugusa gusa usingizini sass wewe ndo inabidi uamke na kujiongeza gemuni.
na hela muwe mnaomba hivyo basi kwani mkitumia mdomo vipi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom