Kwanini Freeman Mbowe hafungwi pingu kama washtakiwa wenzake? Yeye si ndio kinara, sponsor, na mastermind wa tuhuma zao?

Hebu tujaribu mfano wa vita.

Askari mateka na jemadari wao, hufanziwa sawasawa?

Kuna aina fulani ya 'protokali hufuatwa.

CCM wanawachukulia CHADEMA kama wanapambana nao kivita. Wanategemea kwamba endapo siku moja CHADEMA akishinda vita hiyo, basi asiwasulubu viongozi wa CCM kwa kuwavalisha pingu!
Duu, Vipi kuhusu Osama bin Laden, naye angefaa kuwa treated kama unavyowaza?
 
1637550484036.jpeg


..Shekhe Issa Ponda alifungwa pingu.

..Je, Shekhe Ponda naye ni komandoo?

cc UmkhontoweSizwe,mzamifu, kiboboso, damper, Schmidt, Samiaagain2025, @Lombardi
 
Mbowe ni rahisi kumdhibiti kuliko hao komandoo.

wakiamua kulianzisha kwenye umati wa watu pale mahakamani, inaweza sababisha tatizo kubwa kwa raia wengine.
Hahaha komandoo wa kosa la ugaidi aliyenunuliwa nyama choma na energy pale boma ng'ombe kabla ya kuendelea na safar.. hahaha .... kingai bwana ndo mana ulifeli std hapo bumbuli primary school bro. Nashukuru mzee makamba
 
Mbowe ni Alpha male. Hao wengine ni riff raff au Gamma males kama ukitaka. Halafu nimeona Mbowe ana tabia ya kuvaa polo shirts za Hugo Boss Mahakamani. Quite expensive shit kama ni the real thing.
Kwani Mbowe si ni bilionea...
 
Ama watuhumiwa wote wafungwe pingu au watuhumiwa wote wasifungwe pingu.

pasiwepo na ubaguzi miongoni mwa watuhumiwa.

..mimi ni shabiki wa Chadema lakini jambo hili linanichukiza.
Kwani mpaka ujitambulishe kwa itikadi yako ya Chama? kwani hapa JF ni mahali pa kujitambulisha itikadi zetu za chama? Wewe toa hoja basi, hayo mengine ya Chama baki nayo moyoni mwako.
 
IT'S EITHER

1. Kwa sababu hao ni askari hatari wenye mafunzo ya "u - komandoo" huku Mbowe yeye akiwa ni raia tu asiye na madhara yoyote...

OR

2. Kwa sababu wanajua kuwa Mbowe SI GAIDI..
Siyo kila mtuhumiwa hufungwa pingu. Mtuhumiwa hufungwa pingu kwa sababu kadhaa zikiwemo za uimara wa mtuhumiwa kinguvu, uthubutu wa mtuhumiwa kutishia kutoroka, ukorofi wa mtuhumiwa, kiwango cha kuaminika cha mtuhumiwa mbele ya jamii, hadhi ya mtuhumiwa mbele ya jamii, maagizo toka juu, n.k
 
Naunga mkono hoja
Mi mwenyewe nashindwa kuelewa,kwa nn wengine wafugwe pingu na yy asipigwe pingu!!??, Wakati wote goal yao ilikuwa ni moja!!??. polisi msituudhi watz !! Kama ni hivyo wote wasifugwe pingu au wote pamoja na na gaidi na .1 wafungwe pingu .
 
Wewe ndiye akili ndogo, huwezi kumuelewa JokaKuu

Uwezo wake wa kuuliza hayo maswali uko juu sana kuliko uwezo wako wa kufikiri

Cc JokaKuu
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuuliza hayo maswali kwani majibu yapo waziwazi unayapata tu kwa kuangalia picha. Mnafikili hao askali magereza ni vilaza kama nyie??
 
Back
Top Bottom