Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 2,598
- 3,093
Jiwe alitaka aue watu wote abakie yeye tu shetani yuleeNyerere aliwaona kikwete na Lowassa kuwa ni wahuni wasiofaa kwenda ikulu.
Baada ya Nyerere kufa kikwete alikwea ikulu na akauthibitisha uhuni wake.
Wakulaumiwa hapa ni yule aliyetengeneza katiba inayomlinda rais mhuni asishitakiwe, bila shaka ni mchonga ndiye wa kulaumiwa.