Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,992
- 146,310
Huyu jamaa ana ajennda zake qnataka kuzilazimisha kwa fantasy.Le Mutuz nani kakwambia hajaacha watoto huko? Alikimbia kaacha familia mwenzio.
Yani kabla hata ya kuuliza asaidiwe majibu na watu wanaojua analazimisha uongo wake.