Gagnija

Platinum Member
Apr 28, 2006
11,880
10,501
Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?

=======

Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.

Your browser is not able to display this video.
 
Huduma zinazopaswa kutolewa na Serikali haziwezi kusubiri hisani ya matajiri.
Hazikungoja hisani, mtu kajitolea sadaka yake.

Mbona hata sisi pale Jakaya Kikwete Heart Institte yote ile imejengwa kwa saka ya mtu na mpaka leo analeta madaktari kutoka nje na analipia gharama nyingi tu pale. Kuliko hizo za dialysis tu Zanzibar.

Na mama mwingine wa Kimarekani alitujengea wadi yote ya magonjwa ya meno na Kinywa pale Muhimbili na analipia gharama zote.


Wewe lini ulienda kujitolea japo panadol za wagonjwa Hospitali?
 
Zanzibar ilikuwa ya kwanza hata kuweka Television ya rangi barani Africa !!
Wanajimudu kiuchumi kutokana na uchache wao na Karafuu zao na kwa sasa Utalii !
 

Anaulizaje swali kama hilo wakati Zenji na Bara ni mamlaka mbili tofauti...

Wabongo wakionywa wabadili mtindo wa maisha kuepukana na maradhi kama hayo ya figo, ndio kwanza watia pamba masikioni...
 
Mnaharibu figo zenu makusudi kwa kunywa mapombe makali mkidai mnakula bata.

Sasa unalialia kulipa Tsh 180,000 kwa ajili ya malipo ya kusafisha figo, nyambaaaf
 
Anaulizaje swali kama hilo wakati Zenji na Bara ni mamlaka mbili tofauti...

Wabongo wakionywa wabadili mtindo wa maisha kuepukana na maradhi kama hayo ya figo, ndio kwanza watia pamba masikioni...
Na kwa kawaida suruali ni ndefu kuliko chupi...yaan jirahis kufua chupi kuliko suruali.
 
Zanzibar hawafik 1m Tz tuko 60m
Tumien akili jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…