Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.

Tafakari kabla ya kuleta uharo wako hapa
 
Maelezo ya magufuli na barua ya ccm sio ya kujichanganya,mpaka mwigulu ulimi unakwama kwenye meno ? Hawa ni suspect # ngapi ? raisi,uviccm,policcm Sodom wote kuweweseka kwa kwenda mbele mpaka sio siri tena mnatapika damu ya Lisu,kilamtu kwa kiwango chake !.na bado,mtaumbuka nyie ccm mpaka mile pooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimependa jinsi bashite na baba yake wanavyohaha video yenu this time itaonyweshwa na aljazera, cctv,press tv bbc skynews cnn ntc,kbc ili dunia iwajuwe jinsi munavyoouwa watanzania, mwaka huu bashite ajuwe moja kubwa linamfuata kwa mbali
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
bashite umebaki peke yako wewe utaliwa na mchwa hakuna atakaye kuzika damu ya saa nane na Lissu zitakulilia mpaka ukome
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
Pambaneni na hali zenu hakuna jinsi, this time mmeshikwa pabaya
 
HAHAHAHA MKUUU YAAAN NAKUAMBIA IVI ,,,,,HII AWAMU KUNA WATU MPAKA WATASUGUA MAGOTI....

HAYA YOTE NMATOKEO YA WATU KUISHI KWA MAZOEA,,UJANJA ,,,UFEKI FEKI WA ELIMU ,,MADILI ,, SASAIVI IVYO HAMNAAAAAA HAMNAAAAAAAAAAAAA

daaahhh yaan huu utawala bana ,,kiukweli ,umenishika moyoni ,,nafurahi kila siku..... NAKUMBUKA NILIWA NSSF NAKUTAKA VIJAMAA VILIVYOFEL CHANNE ,,VIMEKALIA VITI ,ETI KISA WAZEE WAO NIMABOS PALE ,,,WAKATI HAWANA SIFA ,,NAHUKO NJE ,,KUNA WATU WAMESOMA LKN HAWANA KAZI KILA WAKIOMBA HAWAPATI ..KUMBE KUNA VINYANGO VIPO PALE ........ SHWAINI .

MAFUFULI PIGA KAZI BABAAAAAAAAAAAAAA.
Mume wako ana hasara manina zake.
 
Wanajitahidi kuficha ili wasijulikane watu wasiojulikana. Huko Kenya atakaa hadi lini?
Yaani huwa nakuwaza sana ivi niulize waliomteka ney na roma kina nani na wewe unajifanya kujitetea kupitia kwa dereva ccm semeni ukweli huu mwaka mtafahamika tu
 
Yaleyale ya Marehemu Chacha Wangwe!Tusubiri tu

Hivi wauaji wa Chacha Wangwe serkali yenye dhamana ya ulinzi wa raia ilishindwa kuwapata wauaji? Mbona hapa jamvini baadhi ya wachangiaji wanaonekana kuwajua vyema. Si hao ndio wangeisaidia polisi ili haki itendeke? Au vyombo vya Dola viliamua kupotezea? Na hapo iitakuwa sahihi wakati damu ya mtu imemwagika?
 
Back
Top Bottom