Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Tuwaze kama ni watu wenye akili,
Lissu kabla ya tukio hili alilalamika kuna gari inamfuata na akatoa namba kabisa,Je police walifanyia kazi?
kama kweli tupo siriasi tuanze na hawa police kwanini hawakuchukua jukumu la kufuatilia ni akina nani wanamfuatilia lissu kabla hatujaja kwa dereva,dereva awe wa afuate baada ya kupata majibu toka kwa police kilichowafanya wasichukue hatua hadi lissu anapigwa,

kama tuna akili lakini ndo tijiulize hayo maswali ila kama sie ni mazwazwa basi tuanze na dereva maana akili zetu zipo makalioni
Alikwenda kutoa taarifa kituo gani cha police?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Lizaboni nadhani ni kichaa. Atulie. Hatuhitaji maelezo ya dereva, bahati nzuri mliyetaka kumwua amenusurika. Atatupatia maelezo ya uhakika kuliko mtu yeyote.

Aliyetoa amri wote twamjua, tunachotaka kujua ni nani waliotekeleza na kwa namna gani.

Mtahaha sana lakini haitasaidia chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
Jamani tumekubaliana kwa matamko (km taifa) na ninyi ndo mkajitokeza kwny media kushangilia kuwa "HUU SI MUDA WA KUNYOSHEANA VIDOLE" tuache vyombo vya dola vifanye kazi yake bila kuingiliwa! Sasa haya mambo ya kumnyoshea mtu kidole (kitu mlichokikataa) ya nini jamani mbona kila ck mnahangaika na kutengeneza hali ya hewa mliyoichafua ninyi wenyewe
 
Tuwaze kama ni watu wenye akili,
Lissu kabla ya tukio hili alilalamika kuna gari inamfuata na akatoa namba kabisa,Je police walifanyia kazi?
kama kweli tupo siriasi tuanze na hawa police kwanini hawakuchukua jukumu la kufuatilia ni akina nani wanamfuatilia lissu kabla hatujaja kwa dereva,dereva awe wa afuate baada ya kupata majibu toka kwa police kilichowafanya wasichukue hatua hadi lissu anapigwa,

kama tuna akili lakini ndo tijiulize hayo maswali ila kama sie ni mazwazwa basi tuanze na dereva maana akili zetu zipo makalioni
Pia tujiulize mbona gate la area D lilikuwa wazi hamna walinzi nani aliwaondoa? Kwa kawaida kila gari likiingia linaandikwa namba lakini siku hiyo hakukuwa na askari na gate lilikuwa wazi hata wale walinzi wa nyumba za mawaziri hawakuwepo kulikoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa ukawa bhaaana wako kimaslahi na kipinzani zaid.....

Muda c mrefu utaskia tu wanauzana.... wanapigana ngumu km profesa...

Utaona tu na kila kitu kitafahamika.... we subiri jamaa apone wakikaa cabinet ya kuclose the deal ndipo mtafaruku utaanza.

Shule hazipo kabisa upande ule.... njaa kali.
Na ndio reason ya migogoro ya kijinga.

Sent from "La -Vista"
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
Kama ww unavyo haha kupika data za uongo hahahahaaa lumumba bna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
israel alienda kwenye mafunzo kama nani!????

susi eiluma mwene bhulili
 
Hawa vichwa maji wa Lumumba wanataka kutuamisisha kuwa Dereva kahusika!!! Yaani wanatumia nguvu kubwa kujenga hoja-mfu. Inasikitisha sana. Nimekumbuka kitabu kimoja kinaitwa Nineteen Eight Four. Kuna theory moja inasema ' Ignorance is Strength..." Wacha tuburuzwe tu watanzania kama hawa ndio think-tanks wa Lumumba!!!
Ignorance ndiyo mtaji mkubwa wa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawaza kwa kutumia tundu la kutolea takatakai....mbona husemi nyie mnahaha kuwaficha waliotekeleza shambulio?
Hapa ndo hua siwaelewi waTanzania.mapenzi ya chama mnafikia kutoa kauli za hovyo kiasi kwamba inaonyesha kudhalilisha upinzani,eti mnadhani upinzani uliopo ni kundi takatifu mpaka wapenzi wake huku mitaani na mitandaoni kutoa matusi.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mtajikoroga sana na mtatajana tu damu ya mtu chungu mno mlijua kafa kumbe mwenye pumzi kawagomea umbwa! in kanji's voice
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
Mnataka kujificha kwenye shamba la maharage?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom