Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

huku mtaani wanajua aliyempiga mtu lissu alitumwa na mgomvi wake lissu ambaye muda wote humuita kwamba ni msaliti. ccm endelezeni propaganda.watanzania wanajua ukweli.
 
Kama naye yupo Nairobi..... alikwenda lini? jina lake halikutajwa miongoni waliopanda ndege..... Na Je ina maana hata Risasi moja haikumpunyua..? Taaratibu Watu wasiojulikana wanaanza kutambulika....
yaanj raha ya maccm walitaka dereva na lissu wote wafe. nawaambieni kama bosi wenu amehusika na uharamia wa kumuua lissu atakaa kwa amani kamwe.
 
Wewe kichwa chako boga kabisa. Hv unazijua bunduki za kivita wewe, iteme risasi 38 ktk gari yako, ushudie bosi wako anavuja damu, halafu unataka uhojiwe kwanza ndio upate matibabu? . wewe na yule kamanda msaidie upelelezi. Dereva alistahili hata Police wetu wamtafute kwa lugha ya huruma na ikibidi hata kabla ya kumuhoji wampe ushauri kwanza ili akae sawa kwa taarifa nzuri zaidi. Vp huo uharaka wakutaka kumhoji akotaja mkubwa sbb ya msongo wa mawazo, utaendelea mhoji? . Bure kabisa.
 
Dereva wa Lissu hakukimbizwa Nairobi, bali alienda Nairobi
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
Alikuwa Dodoma hadharani hawakumhitaji, sasa Wamfuate Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kuna walakini!
Hebu cheki Na huyu kwenye hii screen shot
 
Attachments

  • IMG_3959.PNG
    IMG_3959.PNG
    105.5 KB · Views: 32
Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
Upooooooo??.. Damu ya lisu inakuita mkuu
 
Kwa hiyo muisrael kawashinda mbinu wauwaji?

RISASI ZA NINI TENA JAMANI!
 
Hawa vichwa maji wa Lumumba wanataka kutuamisisha kuwa Dereva kahusika!!! Yaani wanatumia nguvu kubwa kujenga hoja-mfu. Inasikitisha sana. Nimekumbuka kitabu kimoja kinaitwa Nineteen Eight Four. Kuna theory moja inasema ' Ignorance is Strength..." Wacha tuburuzwe tu watanzania kama hawa ndio think-tanks wa Lumumba!!!
Yaan ukiwa mwana lumumba unakuwa kama tahira hivi,ila kuna siku yatapata akili haya mazoba ya lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom