Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Madereva wa viongozi wana siri nyingi juu ya assasinations:

1. Dereva wa Wangwe
2. Dereva wa Mtikila
3. Dereva wa Lisu

Polisi wawe wanawawahi kabla hawajatoroka kwenda kumezeshwa "oath" za kutosema kitu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread nyingine bhana... Unaweza kumpiga mtu na chupa ya Lipaba....
 
Yauane mara ngapi sasa kaka??chacha Wangwe yalimuua, zitto kabwe yalitaka kumuua kwa sumu..Dr silaa aliingia mtini mapema
Yaaan kaka ,, Chadema AKILI zao nizakitoto sanaaaa ..nakatika hili haki yamama ndo kabisa hawatopata msamaha..

Tufuten tu upinzani tuwe na system km ya China.
 
Yaaan kaka ,, Chadema AKILI zao nizakitoto sanaaaa ..nakatika hili haki yamama ndo kabisa hawatopata msamaha..

Tufuten tu upinzani tuwe na system km ya China.
Hilo ndio la msingi..tuokoe kodi za watanzania zinazopotea kwenye ruzuku..
 
YaANI KWA KIFUPI. serikali iwaweke ndani ili waeleze ni nani waliofanyA HICHO KITENDO AMBACHO KINAONESHA NCHI HAIKO SALAMA? NI MUHIMU SANA WASIACHWE WAENDELE KUISHI KAMA HAKUNA KILICHOTOKEA HUKU WANANCHI WAKIWA NA WASWasi wa usalama wao.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Dereva wa Tundu Lissu ni suspect number one kutokana na jinsi alivyojichanganya wakati akieleza jinsi Lissu alivyopigwa risasi. Maelezo yake yanatia shaka hali inayofanya hata wasio na kiwango cha phd kuweza kubaini nini kimetokea.

Hata hivyo, licha ya Jeshi la Polisi kufanya jitihada kubwa za kumtafuta dereva huyo, viongozi wa CHADEMA wanafanya juhudi kubwa ili dereva huyo asihojiwe kabla ya Lissu hajaruhusiwa kutoka hospitali. Baadhi ya viongozi wa CHADEMA nilioongea nao wana maoni kuwa, kumrelease mapema dereva huyo kwa vyombo vya dola kunaweza kubadili mwelekeo wa sakata hilo.

Ikumbukwe kuwa dereva huyo ana Miezi miwili tu tangu apewe jukumu la kumuendesha Lissu anbapo kabla ya hapo alikuwa dereva wa Makao Makuu ya CHADEMA Kitengo cha Ulinzi wa Viongozi wa chama hicho. Dereva huyo alipewa kumuendesha Lissu ikiwa ni jitihada za chama hicho "kuimarisha ulinzi" wa kiongozi huyo kwa kuwa mlinzi huyo amepewa mafunzo ya Ngazi za juu katika ulinzi wa viongozi, mafunzo aliyopata nchini Israel.
Naanza kukumbuka kastori kale ka yule Marehemu Mwenyekiti Makamu aliyekufa ktk ajali ya gari...naye aliletewa kakijana "ka-kaskazini" kawe "kamsaidizi" miezi michache kabla ya ajali mbaya ile kakiwemo garini,halafu kakijana hakakuonekana mapema na hakakuumia,lakini kalichukua "laptop"ya Marehemu ambaye alikuwa tayari anajiandaa kuutaka Uenyekiti.

Nako tuliambiwa kalipata mafunzo ya Ujasusi LIBYA..

Naomba mwenye kumbukumbu ya tukio lile "alidondoshe" humu.Ninachokumbuka Marehemu alikuwa akienda ktk Msiba wa Marehemu Bhoke Munanka.Pia ZZK alianza kutengwa kuanzia hapa.Bado nakumbuka kidogo Mwenyekiti alipata shida msibani kiasi polisi walifanya kamsaada.

Pia kuna Intelligent mmoja alitoka chama kimoja akaingia chama hiki yy ali-toatoa matamko kipindi Mkuu wa Usalama wa chama hiki alipokamatwa kwa uhaini wa kumteka mwandishi,mkuu huyu alitoka pia chama kimoja akaingia chama hiki,ajabu yangu ni kuwa "misuko-suko yoote kwa miaka yoote " kawa KIMYA kweli kweli...anayejua na hili naomba "alidondoshe "pia,hata ile kuvaa suti black na kupeana ukamanda nasikia una mambo fulani...ajuaye tafadhali.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msitufanye watoto bana sisi tumejaliwa tumesoma psychology na kabla tukio halijafanyika huwa tinaanza kuangalia maneno waliyokuwa wakiongea watu na trend ya matukio mwishowe tunaangalia namna mnavotaka kubadili ukweli kuwa uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dereva ndiyo suspect wa kwanza na ndiye shahidi wa kwanza, kumkimbiza Nairobi siyo dawa, lazima asaidie upepelezi, maana alikuwepo eneo la tukio, pia anaweza kuwatambua kwa sura, kumficha ni kukwamisha ushahidi, lazima apatikane na ahojiwe, kama anawajua akiminywa atawataja tu.
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​


Sent using Jamii Forums mobile app

Fikra za kibashite utazijua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti risasi zote hizo dereva haijapata hata moja? Kuna kitu hapo, kumbuka hata majambazi ya gari la bank pale ubungo askari waliuawa lakini dereva haikumpata kumbe ndiyo ndiyo moja ya wahusika
 
Wakati Lissu anapelekwa Nairobi walitajwa watu wanne tu ndio waliopanda ndege iliyokuwa imembeba Mgonjwa. Alipanda Mbowe, akapanda Mke wa Lisu na akapanda mchungaji msigwa na Mwisho alikuwepo Dr Toka timu iliyomhudumia mwanzo pale Dodoma Hospital.

Wakati kamanda wa polisi anatoa maeelezo kwa mara ya kwanza kuhusiana na shambulio la Lissu alisema Dereva wa Lissu yupo Dar es Saalam na ameona habari zake kwenye magazeti ya Mtanzania na Tanzania Daima.

Hakuna hata siku Moja CHADEMA ilisema Dereva yule yupo Nairobi baada ya Kutakiwa kuripoti Polisi tu baada ya Masaa 12 inatoka Taarifa kuwa na yeye alipelekwa Nairobi. Ameenda kupatiwa matibabu ya Kisaikolojia.

Kwa Mlolongo Huo inaonyesha Dhahiri kuwa Dereva huyu kapelekwa Nairobi baada ya kusikia anahitajika Polisi. Cha Kushangaza ni kwa nini hawataki tena kutoa Ushirikiano kwa Polisi huku Nairobi kaitwa kwenda kuivishwa nini cha Kusema. Tukumbuke Mbowe naye yupo Nairobi.

Kwa nini Mbowe harejei Nchini kama kiongozi mkuu wa chadema huku akituma watu wengine Nairobi kwenda kumshughulikia Lisu wakati yeye akiwa anashughulikia Maswala ya kiucnguzi na Team yake? Kwa nini na yeye anajichimbia Nairobi? Katibu mkuu wa Chadema kwa kuwa yeye ni Dr alitosha kuwa na team Ndogo na kwenda kushughulika na Mgonjwa kule Nairobi huku Mbowe na Dereva wakiwa Tanzania na Team Ndogo wakipush uchunguzi kwa Kushirikiana na Polisi?

Wanapaswa kushiriki uchunguzi huu kwa Asilimia 100 huku wakilazimisha pia assumptions za waliompiga lisu Risasi zitumike kupata pia majibu. Hata wao wanaweza kwenda TRA kwa kubali cha polis kwenda Kujua mmiliki wa gari wanayoilalamikia kumfuatilia Lisu kwa muda mrefu ni nani.

Mbowe kitaalamu baada ya kumfikisha Lisu Nairobi angepaswa arudi ila hataki Kurudi anaogopa Lisu Atasema nn? Namuona anazurura na skafu hapo Nairobi na Kuongea na vyombo vya Habari tu ila huyu alipaswa awepo nchini Kupush uchunguzi.

Kitendo cha Yeye kungangania kukaa na Waathirika wote wawili Nairobi kinatia shaka Kubwa sana..

Huyu ni mtu wa pili Muhimu kwenye kambi yake Lisu anapatwa na mabalaa. Niliwahi kuwaambia Ben Saanane alikuwa ni kijana aliyekuwa akiandaa vuguvugu la Kuhakikisha Lisu anakuwa Mwenyekiti wa Chama. Alipopotea Kubenea ambaye ni mshiriki mkuu Wa Mbowe alijitokez na kusema Ben hajapotea na hata kwenye mwanahalisi aliandika kwa nini tunashindwa kuungsnisha haya matukio? Je hatuna Akili?

Kwa mara ya kwanza walalamikaji wanawakimbia Polis. Katika Kesi zote walalamikaji ndio watu ambao hufanya kazi na Polisi kwa asilimia Mia moja Katika kesi hii Upande wa Lisu ni wa walalamikaji matokeo yake wanawakimbia polisi.

Ni sawa na Jambazi avamie Nyimbani kwenu mlinzi wa Nyumbani akiyewaona akatae kwenda polisi au aipige chenga polisi......

Ole Mushi
 
[HASHTAG]#Wakati[/HASHTAG] Lisu anapelekwa Nairobi walitajwa watu wanne tu ndio waliopanda ndege iliyokuwa imembeba Mgonjwa. Alipanda Mbowe, akapanda Mke wa Lisu na akapanda mchungaji msigwa na Mwisho alikuwepo Dr Toka timu iliyomhudumia mwanzo pale Dodoma Hospital.

[HASHTAG]#Wakati[/HASHTAG] kamanda wa polisi anatoa maeelezo kwa mara ya kwanza kuhusiana na shambulio la Lisu alisema Dereva wa Lisu yupo Daresalam na ameona habari zake kwenye magazeti ya Mtanzania na Tanzania Daima.

[HASHTAG]#Hakuna[/HASHTAG] hata siku Moja chadema ilisema Dereva yule yupo Nairobi baada ya Kutakiwa kuripoti Polisi tu baada ya Masaa 12 inatoka Taarifa kuwa na yeye alipelekwa Nairobi. Ameenda kupatiwa matibabu ya Kisaikolojia.

[HASHTAG]#Kwa[/HASHTAG] Mlolongo Huo inaonyesha Dhahiri kuwa Dereva huyu kapelekwa Nairobi baada ya kusikia anahitajika Polisi. Cha Kushangaza ni kwa nn hawataki tena kutoa Ushirikiano kwa Polis.... huku nairobi kaitwa kwenda kuivishwa nini cha Kusema. Tukumbuke Mbowe naye yupo Nairobi.....

[HASHTAG]#Kwa[/HASHTAG] Nini Mbowe harejei Nchini kama kiongozi mkuu wa chadema huku akituma watu wengine Nairobi kwenda kumshughulikia Lisu wakati yeye akiwa anashughulikia Maswala ya kiucnguzi na Team yake? Kwa nini na yeye anajichimbia Nairobi? Katibu mkuu wa Chadema kwa kuwa yeye ni Dr alitosha kuwa na team Ndogo na kwenda kushughulika na Mgonjwa kule Nairobi huku Mbowe na Dereva wakiwa Tanzania na Team Ndogo wakipush uchunguzi kwa Kushirikiana na Polisi?

[HASHTAG]#Nafikiri[/HASHTAG] wanapaswa kushiriki uchunguzi huu kwa Asilimia 100 huku wakilazimisha pia assumptions za waliompiga lisu Risasi zitumike kupata pia majibu. Hata wao wanaweza kwenda TRA kwa kubali cha polis kwenda Kujua mmiliki wa gari wanayoilalamikia kumfuatilia Lisu kwa muda mrefu ni nani.

[HASHTAG]#Mbowe[/HASHTAG] kitaalamu baada ya kumfikisha Lisu Nairobi angepaswa arudi ila hataki Kurudi anaogopa Lisu Atasema nn? Namuona anazurura na skafu hapo Nairobi na Kuongea na vyombo vya Habari tu ila huyu alipaswa awepo nchini Kupush uchunguzi.

[HASHTAG]#Kitendo[/HASHTAG] cha Yeye kungangania kukaa na Waathirika wote wawili Nairobi kinatia shaka Kubwa sana..

[HASHTAG]#Huyu[/HASHTAG] ni mtu wa pili Muhimu kwenye kambi yake Lisu anapatwa na mabalaa. Niliwahi kuwaambia Ben Saanane alikuwa ni kijana aliyekuwa akiandaa vuguvugu la Kuhakikisha Lisu anakuwa Mwenyekiti wa Chama. Alipopotea Kubenea ambaye ni mshiriki mkuu Wa Mbowe alijitokez na kusema Ben hajapotea na hata kwenye mwanahalisi aliandika kwa nini tunashindwa kuungsnisha haya matukio? Je hatuna Akili?

[HASHTAG]#Kwa[/HASHTAG] mara ya kwanza walalamikaji wanawakimbia Polis. Katika Kesi zote walalamikaji ndio watu ambao hufanya kazi na Polisi kwa asilimia Mia moja Katika kesi hii Upande wa Lisu ni wa walalamikaji matokeo yake wanawakimbia polisi.

#Ni sawa na Jambazi avamie Nyimbani kwenu mlinzi wa Nyumbani akiyewaona akatae kwenda polisi au aipige chenga polisi......

Ole Mushi
umetumwa kuleta propaganda fanya kazi yako ndio inayokulipa mshahara .....pole sana mkuu kwa kazi hii
 
Back
Top Bottom