Kwanini CHADEMA hawatoi matamko katika maswala ya Waislam?

Ponda anazungumzia zaidi waislamu kwa kutumia platform ya Chadema.

Lakini una hoja kuhusu Chadema kulalamikia waislamu maana inajenga hisia za udini bila sababu. Wanatakiwa kuacha kuangalia ushiriki wa watu kulingana na dini zao.

Amandla ..
Umemsikia lema leo?
 
Wakati wa mahakama ya kadhi

Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa

Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?

Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.

Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
CCM mbona ndiyo imewafanyia hayo yote na bado mnaikumbatia? Elimu Elimu Elimu, alisikika akisema marehemu lowassa
 
Ponda anazungumzia zaidi waislamu kwa kutumia platform ya Chadema.

Lakini una hoja kuhusu Chadema kulalamikia waislamu maana inajenga hisia za udini bila sababu. Wanatakiwa kuacha kuangalia ushiriki wa watu kulingana na dini zao.

Amandla ..
Kwakuwa waislam hawauwawi kwenye chaguzi na wakigombea hawaenguliwi. Haya mano reforms No election ni CHADEMA tu.
 
Wakati wa mahakama ya kadhi

Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa

Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?

Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.

Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Lema atakua alipitiwa tu,msamehe
 
Hata wa chadema ktk maswala ya waislam unajulikana

..katika sakata la Gesi ambayo iko mikoa yenye Waislamu wengi Chadema ilikuwa upande wa wananchi.

..katika sakata la korosho ambayo inalimwa ktk mikoa yenye Waislamu wengi Chadema ilitetea wananchi.

..katika suala la Mashekhe waliofungwa bila kufikishwa mahakamani kwa kisingizio cha ushahidi kutokukamilika Chadema ilitetea Waislamu.

..Chadema wana rekodi nzuri ya kutetea Waislamu kuliko Ccm.

..Ccm wana rekodi ya kutuma vyombo vya dola katika misikiti na kuuwa Mashekhe. Vurugu zilizofanywa na Ccm kwa kutumia vyombo vya dola dhidi ya Waislamu zimeacha walemavu, wajane,na mayatima.

..Waislamu wanapaswa kuunga mkono harakati za " No Reforms No election " ili kura ya mwananchi, wakiwemo Waislamu, iheshimiwe, na iwe na nguvu.

..Waislamu wanapaswa kujiuliza, chama kilichowauwa, kuwatesa, kuwanyima elimu, kuwanyima maendeleo, kinadumu vipi madarakani?
 
Wakati wa mahakama ya kadhi

Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa

Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?

Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.

Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
My beloved Tanganyika!😪 imani inapokuwa gereza la uhuru ni shida sana
 
Hivi kuna watu wipiga kelele juu ya Mashekhe wa Uamsho kama Chadema ndani ya bunge au ukikuwa bado kwenye boxer ya babako? Tena kumbuka aliyewaweka lupango ni Muislamu mwenzako Jakaya Kikwete? Wewe jamaa una upumbavu mwingi sana unachowaza muda wote ni kuichafua Chadema tu, wameshindwa wenye mamlaka utaweza wewe kajamba nani.
 
Wakati wa mahakama ya kadhi

Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa

Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?

Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.

Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Nchi ngumu sana hii
 
Kwakuwa waislam hawauwawi kwenye chaguzi na wakigombea hawaenguliwi. Haya mano reforms No election ni CHADEMA tu.
Kama chadema haina wanachama waislam na inachama wakiristo tu, matatizo ya waislam sio yao ni ya waislam tu, basi waendelee kuwapazia sauti wakiristo tu
 
Wakati wa mahakama ya kadhi

Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa

Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?

Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.

Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Chadema ya sasa inatumia nguvu kubwa kujinasibisha na Kanisa Katoliki Tanzania wakiamini labda watawasaidia kuingia madarakani. Ndio maana Leo Wana Chadema wanatukana dini zingine. Mara watukane washabiki wa Simba na Yanga. Lakini huwezi kuwasikia wakiwasema vibaya Wakatoliki zaidi ya kusifia kila kitu chao!
 
Wakati wa mahakama ya kadhi

Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa

Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?

Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.

Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Huwezi kutoa matamko ya kila hoja utajiondoa kwenye reli wanawaachieni nyie mhangaike na kila hoja
 
Hoja hii ilikua hot kipindi flan kama ilivyo hii ya no reform lkn chadema ikawa kimya. Leo lema anawalumu waislam kwa sababu ya ukimya wao ktk swala la lao. Aache double standard
 
Hivi kuna watu wipiga kelele juu ya Mashekhe wa Uamsho kama Chadema ndani ya bunge au ukikuwa bado kwenye boxer ya babako? Tena kumbuka aliyewaweka lupango ni Muislamu mwenzako Jakaya Kikwete? Wewe jamaa una upumbavu mwingi sana unachowaza muda wote ni kuichafua Chadema tu, wameshindwa wenye mamlaka utaweza wewe kajamba nani.
Lete video au audio tusikilize ili tukuamini
 
Back
Top Bottom