CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,611
- 42,643
Sina muda mchafu kama hufuatilii mambo baki na chuki zako kuichukia Chadema kwa misingingi poofu ya udini.Lete video au audio tusikilize ili tukuamini
Sina muda mchafu kama hufuatilii mambo baki na chuki zako kuichukia Chadema kwa misingingi poofu ya udini.Lete video au audio tusikilize ili tukuamini
Mzee Kibao alikuwa mkatoliki?!Kwakuwa waislam hawauwawi kwenye chaguzi na wakigombea hawaenguliwi. Haya mano reforms No election ni CHADEMA tu.
Hahahhaha wanatapa tapaWakati wa mahakama ya kadhi
Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa
Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?
Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.
Swali lini CHADEMA imewapigia kelele madai ya waislam dhidi ya utawala?
Sina muda mchafu kama hufuatilii mambo baki na chuki zako kuichukia Chadema kwa misingingi poofu ya udini.
Inamaana wewe hujawahi kushuhudia uchafuzi wa tume ya uchaguziHoja hii ilikua hot kipindi flan kama ilivyo hii ya no reform lkn chadema ikawa kimya. Leo lema anawalumu waislam kwa sababu ya ukimya wao ktk swala la lao. Aache double standard
Hiyo ni shauri yako lakini Mtume Muhammad na dola ya ottoman ilikuwa ni siasa .Mzee Kibao alikuwa mkatoliki?!
Ukiona mtu anaanza kuingiza siasa kwenye dini au kuingiza dini kwenye siasa ujue ni dalili ya kufilisika na kuishiwa hoja.
Mimi ninavyojua vyama vyote vina wafuasi waislamu na wakristo!
Tanzania hamna chama Cha wakristo peke yao wala hamna chama Cha waislamu peke yao!.
Vyama vyote vina wakristo na waislamu.
Jambo ambalo linaweza kuwa na mantiki ni kwamba ,MASHEIKH HUWA HAWAPENDI KUJIINGIZA KATIKA MIKWARUZANO NA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI NA KWA HILO HATA KAMA MIMI SIO MFUASI WA BAKWATA LAKINI KWA HILI NINAWAUNGA MKONO.