Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,489
- 42,564
HIVI ni KITUNGUU SAUMU au KITUNGUU SWAUMU ? UNAJUA MAJINA YA KISWAHILI YANASUMBUA SANA .
Umebanwa kwenye kona
Mijadala mingine nyie wa akili ndogo hamuiwezi..
HIVI ni KITUNGUU SAUMU au KITUNGUU SWAUMU ? UNAJUA MAJINA YA KISWAHILI YANASUMBUA SANA .
Ndio kutofaa kwake kuliko hapa. Kama bungeni wanaweka sheria ili ziiweke serikali ktk mathubuti sasa na siku zote yy kimya. Akijua yy atataka kuiongoza hiyo serikali anakaa kimya. Wakulima na mazao yao yy kimya. Mishahara kimya. Pensheni ya wazee wa zamani kimya. Wastaafu wa EAC yy kimya. Wamachinga yy kimya. Wasukuma kula mapanki yy kimya. Wanyamwezi na nyumba 'ubavu wa mbwa' yy kimya. Singida wanakula mlo mmoja kwa siku yy kimya. Kila Mtz kipato duni lakini nchi deni kubwa yy kimya. Hajawahi kukemea walau kusemea ufisadi, rushwa, wizi na ubadhirifu wa mali za umma. Wanahamisha na kuua maliasili yy kimya. Elimu bora kwa wao na mbovu kwa akina Karumanzila yy kimya. Polisi, TISS na Jeshi vinatumiwa kinyume yy kimya. Mizengwe ktk Katiba Mpya yy kimya! Kama haya yote anayanyamazia huku ktk mfumo wa kuongoza yanakaa visivyo yy anataraji aje na staili ipi ya kuyarekebisha? Huyu Bwana ni mdhaifu sana, sana tena sana. Uongozi anautaka lakini hautengenezi bali kuendekeza rushwa Kanisani, Miskitini na Bodaboda.
Kama ntakuwa nakosea nisahishe mkuu,Lowasa alishawahi kusema bungeni kuwa haya matatzo yote yanayojitokeza na kujirudia ni kutokana na mkuu wa nchi kushindwa kutoa maamuzi maana imekuwa kila mtu analalamika tu kuanzia wananchi mpka mkuu wa nchi nakuwekea na link mkuu uchekiHiii ndo point nliyokuwa nataka niandike...ahsante kwa kuwahi kuandika....umejaa na ukweli mtupu.
Ndio kutofaa kwake kuliko hapa. Kama bungeni wanaweka sheria ili ziiweke serikali ktk mathubuti sasa na siku zote yy kimya. Akijua yy atataka kuiongoza hiyo serikali anakaa kimya. Wakulima na mazao yao yy kimya. Mishahara kimya. Pensheni ya wazee wa zamani kimya. Wastaafu wa EAC yy kimya. Wamachinga yy kimya. Wasukuma kula mapanki yy kimya. Wanyamwezi na nyumba 'ubavu wa mbwa' yy kimya. Singida wanakula mlo mmoja kwa siku yy kimya. Kila Mtz kipato duni lakini nchi deni kubwa yy kimya. Hajawahi kukemea walau kusemea ufisadi, rushwa, wizi na ubadhirifu wa mali za umma. Wanahamisha na kuua maliasili yy kimya. Elimu bora kwa wao na mbovu kwa akina Karumanzila yy kimya. Polisi, TISS na Jeshi vinatumiwa kinyume yy kimya. Mizengwe ktk Katiba Mpya yy kimya! Kama haya yote anayanyamazia huku ktk mfumo wa kuongoza yanakaa visivyo yy anataraji aje na staili ipi ya kuyarekebisha? Huyu Bwana ni mdhaifu sana, sana tena sana. Uongozi anautaka lakini hautengenezi bali kuendekeza rushwa. hatasema! atatenda. muda ukifika.
Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei, kukenuakenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?
Navyojua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana.
Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?
Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wewe c mpiga debe tu!,.. Naona na ww umeshakula hela. Siwez nikakuushangaa,.. Endelea kula hela
issue ya ricmond ulishaambiwa baba riz ndiye aliyecheza kishamba.tulia muda ukifka utapata full mkanda tulia hvyo hvyo usijisogeze
Lowasa aliamuwa tu kubeba uchafu wa bosi wake
Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei, kukenuakenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?
Navyojua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana.
Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?
Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama wengine.
Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...
Sure Money talks......apige kelele za nini sasa
money talks yeye yupo kimya ila kuna watu wanapiga vikumbo kuzungumza kwa niaba yake
Money speaks louder tha words!
mkuu lowassa ni mtu wa kazi,hata marehem baba yake nasikia alikuwa ci mtu wa kucheka cheka,hili suala la viongoz wa nchi kucheka cheka wakat mwingne ni la kurithi kwa wazaz
Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei, kukenuakenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?
Navyojua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana.
Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?
Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama wengine.
Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...
Ushaona wapi raisi anachekacheka tu kama shoga!?