Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

Lowassa mpaka sasa ameshakata tamaa,misukule yake ndo inahangaika..Hamtaki acheni.
 
mkuu lowassa ni mashine.
Ww mwenyewe shaid
huitaji kuambiwa sema tu umekuwa na kichwa kigumu
Tatizo la mashine yetu ni kwamba haiaminiki!!!Lowassa anaweza lakini hana badge za uaminifu,uadilifu na maadili katika koti lake.Tulishuhudia Tz ilipoenda last time alipopewa ofisi.
 
Lowassa mpaka sasa ameshakata tamaa,misukule yake ndo inahangaika..Hamtaki acheni.

mkuu naona umekuja kwa hasira,hakuna kama lowassa,unachokifnya ni kukinzana na wananchi,sasahv wananchi wanamuhitaji sna lowassa kuliko yey anavyowahitaji tumeshachoka usanii kweny hii nchi tunataka jembe moja tu lowassa
huyu ndiye atakaye nyosha mapito ya watanzania
 
Kwenye Suala la IQ NO!very big ​NOOOO!!!.Its not that direct.Siyo watu wote walio kimya wana IQ kubwa.Wengine wanajisitiri akiongea ni pumba tu.Mr EL kwa alivyocheza muvi ile ya mvua nchini Thailand namuondoa kweny IQ criteria.

Na Deal la RICHMOND je? Na la EPA je kwani yeye ndiye alikuwa MASTERMINDER wa vyote hivyo na Pesa chafu aliyopata ndiyo siku hizi anahonga watu kila sehemu ili awashawishi akigombea Urais wampe.

Mtu mwenye akili huwezi kumbadilisha msimamo wake kwa kumoa RUSHWA kama anazogawa Lowassa.
 
EL aongee ili iweje wakat alishakula hela za nchi mpaka amechoka yeye.sa hiv ye anaagiza misukule yake kama nauye na sumaye
 
MUNGU WETU TUPE USAIDIZI WAKO ILI NDG YETU E.N. LOWASSA APATE KUSHINDA MITEGO NA MITIHANI NA CHUKI MBALIMBALI ILI HATIMAYE AJU KUWA RAIS WETU,KWANI UTENDAJI NA UCHAPAJI KAZI WAKE UNATAMBULiKA KOTE TANZANIA.

Naona sasa unatakA B.O.T ihamishiwe nyumban kwake
 
EL aongee ili iweje wakat alishakula hela za nchi mpaka amechoka yeye.sa hiv ye anaagiza misukule yake kama nauye na sumaye

mbna hamumsemi yule babu yenu mzinzi anaye hamasisha watu kunywa gongo??anayejikopesha hela za chama kumhudumia kimada wake
 
Na Deal la RICHMOND je? Na la EPA je kwani yeye ndiye alikuwa MASTERMINDER wa vyote hivyo na Pesa chafu aliyopata ndiyo siku hizi anahonga watu kila sehemu ili awashawishi akigombea Urais wampe.

Mtu mwenye akili huwezi kumbadilisha msimamo wake kwa kumoa RUSHWA kama anazogawa Lowassa.

issue ya ricmond ulishaambiwa baba riz ndiye aliyecheza kishamba.tulia muda ukifka utapata full mkanda tulia hvyo hvyo usijisogeze
Lowasa aliamuwa tu kubeba uchafu wa bosi wake
 
Don't speak too much your mouth will never get you in trouble!
 
issue ya ricmond ulishaambiwa baba riz ndiye aliyecheza kishamba.tulia muda ukifka utapata full mkanda tulia hvyo hvyo usijisogeze
Lowasa aliamuwa tu kubeba uchafu wa bosi wake

RICHMOND na EPA lilikuwa Deal lao wote watatu:
Mamvi, Rostam na Baba Riz.
Na Masterminder wao alikuwa E.L. usijitowe akili kwa kumtoa Mamvi......
UKWELI SIKI ZOTE UTABAKI KUWA UKWELI.
 
Duh kweli Njaa ni kitu kibaya mnalumbana humu wenyewe wanakula maisha Bartender one more Gin and Tonic on ice
 
RICHMOND na EPA lilikuwa Deal lao wote watatu:
Mamvi, Rostam na Baba Riz.
Na Masterminder wao alikuwa E.L. usijitowe akili kwa kumtoa Mamvi......
UKWELI SIKI ZOTE UTABAKI KUWA UKWELI.

jirudishie akili yako kawaida kisha rejea kauli ya lowasa walivyokuwa kweny vikao vya chama chao!!utaelewa movie nzma
 
issue ya ricmond ulishaambiwa baba riz ndiye aliyecheza kishamba.tulia muda ukifka utapata full mkanda tulia hvyo hvyo usijisogeze
Lowasa aliamuwa tu kubeba uchafu wa bosi wake

Kwaiyo unataka kusema aliamua kutetea uovu? Kama ni hivyo hafai kuwa kiongozi; napata hofu ataendelea kuficha waovu wenye nguvu!
 
Lowassa kwake kazi ndio muhimu, hapendi kuongea sana, ni mtu wa vitendo. Viva Lowassa.
 
Hapendi kuongea sababu hana haja ya kuongea wakati wapo wasemaji wake hata hapa JF mnalipwa kwa ajili hiyo. Na hata akiongea hawezi kuongelea UFISADI na hatima ya TAKZANIA. Mfano hawezi kugusia Richmond and then Dowan sababu haziwapendezi watanzania..na mizimu yake inayoitafuna Takzania mbaka kizazi cha pili. Tujiulize kiongozi ambaye anajua tatizo alqfu hanq mda wa kulishughulikia anakuwaje presidential material?? Kuzungumzia RUSHWA na UFISADI ukiwa katika ngazi za juu za CHAMA ni kama kukisaliti CHAMA. Acha sisi wanachama wa kawaida tuongelee hilo tu linatuuma ati..aah!!!
 
Aha haaaaaaaaa
tatizo hamna jipya mlilo pata kwake ndo mana mnahangaika kum force ili aongee mpate jipya kwake na anawjua kuwa nyie ni mamburula ndo mana mnachonga sana.HAKUNA JIPYA MTAKALO PATA KWA EL,KAMA RICHMOND IMEPITA UFISAD NDIO ULISHA PITA ,KIPI KIPYA KWAKE?.WAAMBIE AKINA 6,MAE NA EMBE HAO MABOSI ZENU JAMAA YUKO KIMYA HAONGEI.
BIG UP MZEE E L.
 
mkuu pole pole tu dawa itakuingia utabadilika,uache kutetea mashetani ambao hawauziki.nakuombea kwa Mungu uje uwone membe akigaragazwa mchana kweupee na Lowassa

Msiwe kama vipofu au viziwi jaman. Yote hayo yaliyotokea bado tu mnamuhitaji. Hiv unajua agano kati ya baba riz na huyo baba yenu mnaemtetea. Au unaongea tu coz uko huru kuongea. Anyway nasema kwa machungu coz system hii niliyopo hainipi wasaa wa kubomoka kama mlivyo huru ninyi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom