Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei, kukenuakenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?

Navyojua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana.

Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?

Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama wengine.

Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...

kwani hujui lowassa ni mtu wa vitendo,hana longo longo,akisema tupasue mlima njia itokee ni lazma mlima upasuliwe hata kama ni usiku
 
Mkuu sio wahandishi wa habari ni waandishi wa habari naomba urekebishe hapo.Lowasa ni mtu wa vitendo sio kucheka kama watu wa pwani binafsi namkubali.
Koma kubeza watu wa pwani!kwa taarifa yako ukimya wakati mwingine ni dalili ya uzezeta!
 
Hivi ushaona wapi raisi anakenuakenua meno kama shoga? Huyo ndo rais 2015 si huyu aliyeruhusu pesa zetu ziliwe kwenye bunge la katiba wakati akifahamu hakuna katiba mpya. Mungu mlinde sana Lowassa naamini ukombozi uko mikononi mwake.
 
Kweli liyesema ukifuga mbwa usibweke,aliona mbali sana.

Aongee nn na ameshalipa watu wakumsemea ukiwamo ww na yule Mzee wa Shinyanga ambaye naona anamshiko mkubwa hadi kusahau uongozi wa mkoa alionao.Mungu tunusuru na hili genge la waharifu.
 
Kwenye Suala la IQ NO!very big ​NOOOO!!!.Its not that direct.Siyo watu wote walio kimya wana IQ kubwa.Wengine wanajisitiri akiongea ni pumba tu.Mr EL kwa alivyocheza muvi ile ya mvua nchini Thailand namuondoa kweny IQ criteria.
Kule kujua tu kuwa ukisema ni pumba,na ukaamua kunyamaza,nayo ni akili.Unajitambua.
 
Anayakusanya siku ya kuongea jiandaeni tuuu
unajua kiherehere ktk goli huwa wanapata goli Kipa akikosea..na kipa ukimfuatafuata kuna mara akili inakuwa tensi anapiga mbira vibaya unapiga goli....
 
Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei, kukenuakenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?

Navyojua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana.

Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?

Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama wengine.

Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...

Uliona wapi Jambazi akachekacheka na kukenua meno hovyo...!!!
 
ni mchapakazi sana si msemaji ni vitendo tu
ni busara kukaa kimya sio kujibu kila tuhuma au kila kashfa ambazo watu wanampa ANA BUSARA SANA
pia IQ yake ni kubwa sana na ndo maana amezuiliwa kufanya siasa lakini watu wanamfanyia kwa niaba na wanamtangaza vyema
pia ni sifa ya KIONGOZI MTENDAJI

Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei, kukenuakenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?

Navyojua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana.

Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?

Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama wengine.

Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom