Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

Anatimiza maagizo ya barua ya chama chake. Akitoa neno wanalifuatilia kuona kama kuna KAMPENI.
 
najaribu kuwaza sipati picha. hivi kiongozi wa heshima kama lowasa yuko bunge moja na mwehu kama lema? mwache anyamaze tu
 
MUNGU WETU TUPE USAIDIZI WAKO ILI NDG YETU E.N. LOWASSA APATE KUSHINDA MITEGO NA MITIHANI NA CHUKI MBALIMBALI ILI HATIMAYE AJU KUWA RAIS WETU,KWANI UTENDAJI NA UCHAPAJI KAZI WAKE UNATAMBULiKA KOTE TANZANIA.

Ameni!! Katika hii sala hakika Mwenyezi Mungu atatenda miujiza!! "Tulifurahi Wote, Tulihuzunika na Tutashinda Pamoja"
 
Kiongozi makini ni lazima awe mtetezi wa wanyonge sa Mh EL haeleweki.. Pesa ina nafasi yake na pia sauti yake ilipaswa ipae ilikutete yale mambo yasio itaji Pesa ..
 
Small minds discuss about people while great minds discuss about events..he deserves 2 be our coming president as he concerns with events n not person attacks
 
Ana sifa zote za kuwa amiri jeshi mkuu wa JMT.Viva Lowassa viva CCM

Kiharusi hakiwezi kuwa amirijeshi. Yaani sisi tuwe wazima alafu kamanda awe mgonjwa! Lowasa never na haitakuwa wala haiwezekani kabisa kwenda pale ikulu. Bora vita ya S. Sudan inaweza kuwa nzuri kuliko vita ya hapa Tanganyika tutapigana kufukuza mapanya vita kali sana.
 
hujaona yule babu yenu mwiz wa wake za watu mko no umepooza kwaajili ya kuingiza mikono sehem ambayo cyo
 
Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei, kukenuakenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?

Navyojua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana.

Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?

Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama wengine.

Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...

Pamoja na kashfa ya Richmond ila atabaki kuwa moja ya majembe machache sana yaliyobaki CCM.

Akigombea urais Nahisi nitampigia kura 2015.
 
hana shida anawatu wengi amewanunua wanaongea kwa niaba yake. si ulisikia hata hivi karibui alisema kwamba sio yeye anayezimiliki akaunti mbalimbalu za mitandaoni ambazo zina majina yake ila aliwashukuru ingawaje hawafahamu (sick!).
huko facebook kuna mtu anaitwa ole sambaliiiiuu ana miliki ka forum/group chake kabaitwa. tanuri zafikro ni kazi ya eli au mgodi kama wanavyomuita wafuasi wake
 
Mimi nafikiri angeongea walau tumsikie mtu anatedhaniwa kuwa rais wa Tanganyika anaongelea nini, au ndio haongei mpaka aalikwe kwenye harambee aanze kusema pesa anazotoa ni zarafiki zake.........
 
anaogopa kuchafua hali ya hewa siku zimebaki chache
 
najaribu kuwaza sipati picha. hivi kiongozi wa heshima kama lowasa yuko bunge moja na mwehu kama lema? mwache anyamaze tu

HIVI UNAFAHAMU KWAMBA PROPHET LEMA ALIMSHINDA BATRIDA BURIANI kwa TOFAUTI YA KURA ELFU 10 ? UNAMFAHAMU BATRIDA ? Kwi! Kwi! Kwi! Hiyo ni kwa manufaa yako na familia yako ! Chukua hiyo !
 
HIVI UNAFAHAMU KWAMBA PROPHET LEMA ALIMSHINDA BATRIDA BURIANI kwa TOFAUTI YA KURA ELFU 10 ? UNAMFAHAMU BATRIDA ? Kwi! Kwi! Kwi! Hiyo ni kwa manufaa yako na familia yako ! Chukua hiyo !

Batilda Buriani na sio Batrida hata kuandika hujui...

Too low!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom