telabite
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 281
- 33
mbna hamumsemi yule babu yenu mzinzi anaye hamasisha watu kunywa gongo??anayejikopesha hela za chama kumhudumia kimada wake
Mbona mi cmjui au sitta nini
mbna hamumsemi yule babu yenu mzinzi anaye hamasisha watu kunywa gongo??anayejikopesha hela za chama kumhudumia kimada wake
Jk kafanya nn cha kimlinganisha ns wengine
Msiwe kama vipofu au viziwi jaman. Yote hayo yaliyotokea bado tu mnamuhitaji. Hiv unajua agano kati ya baba riz na huyo baba yenu mnaemtetea. Au unaongea tu coz uko huru kuongea. Anyway nasema kwa machungu coz system hii niliyopo hainipi wasaa wa kubomoka kama mlivyo huru ninyi
systeam gn ww mchumia tumbo ww,systeam unaijuwa ww??
Una tabia za kichawi, obvious utakuwa mchawi!!
Amiri jeshi mkuu wa JMT. Yaan jeshi la maji Tanzajia ila sio majeshi yote.
Yes uko verry right Kayamgo. Behaviour of a person may reflect his actions. Sasa kama matatizo yote hayo yeye kimya tuuuu. Inamaana hawaz hata kushauri??. Anasubir awekwe madarakan. Aende akaongize wenzake huko mondul wanapomkubal
tena hiyo misukule inagombana yenyewe kwa yenyewe. yeye anawacheck tuu.Aongee nini wakati ana misukule yake inamfanyia kazi hiyo?
Jk kafanya nn cha kimlinganisha ns wengine
Lowassa hawezi kuongea sana kwa sababu anaogopa kuzomewa kutokana na tuhuma za ufisadi, pia ni mgonjwa mpaka aotee siku akiwa fiti kusimama na kuongea japo kwa dakika 5. Huwatuma wapambe wake, ambao ni Peter Serukamba, Beatrice Shelukindo, Vita Kawawa, Makongoro Mahanga, Diana Chilolo, Kingunge Ngombale Mwiru, Andrew Chenge, Hamisi Mgeja, Tanzania Editors Forum chini ya Kibanda, bodaboda, mapadri, mashehe njaa na wengine kuongea kwa niaba yake.
Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei, kukenuakenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?
Navyojua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana.
Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?
Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama matakataka wengine.
Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...
Hivi unajua kuwa ili uwe popobawa lazima uanze ku(m)bawawa mzazi wako?
ni mgonjwa sana,anakosa nguvu ya kusastain maongezi