Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

MPELEKE MADHABAUNI ndiyo UTAJUA KAMA HAYO UNAYOYAANDIKA HAPA YANA UKWELI AMA LA , HUYO MTU WAKO AKIONA MADHABAHU NI KAMA FISI ALIYEONA MZOGA !

kaz yakufuwa nguo za ndan za josephine mchumba wa slaa zimekushinda mambo ya lowassa utayaweza?
 
Mtu mzima haongei ovyo!! Kama sendeka na lusinde
 
Ivi ameshajibu ile ishu iliomfanya ajiuzulu, mbona watanzania ni wasaulifu ivi
 
mkuu siasa ya edo sio ya kinadharia(idealism) bali ya vitendo zaidi (experimentalism) mimi mpinzani lakini huyu jamaa jembe
 
Huyu Edward Lowassa hana maisha ya kinafiki....ni mwanasiasa ambaye nchi hii ilimuhitaji na sasa inamuhitaji...Tumemuona mwana Itikadi na uadilifu Kambarage, akaja Mzee Rahimu rohoni na matendo Mwinyi, Kaja Mwamba Serious mpenda ushindani wa hojq, maarifa na maono Mkapa, kaja Muungwana, Mstahimilivu sana,mwingi wa Tabasamu hana makuu ila mkweli tena ktk njia rahisi na masihara Jakaya...Tunahitaji Ndio au Hapana uchaguzi wako.....huyo ndio Edward
 

yupo strategically zaid
 
ila ninachokumbuka Nyerere aliwahi kumkataa waziwazi kugombea urais wa nchi hii.yeye na john MALECELA.waliomba appointment ya kuonana na mwl ili awaelezee kinachomfanya mwl awachukie kiasi kile.mwl aliwakaribisha nyumbani kwake alijua nia yao.aliitisha faili lenye taarifa zao za maadili ya uongozi,kweli walitaka kujua matatizo yao.mwl aliwsomea tarifa zao za kimaadili pamoja na vielelezo,mmoja kati yao alitikwa machozi,mwingine alipotea mlango wa kutokea.unajua ni nini alichowaonyesha.ni mali nyingi alizokua akimiliki EL alizozipata kifisadi akingali kjana mdogo sana.
 
EL anazungumza pale inapobidi. Pia EL ni jovial sana. Lakini ni mtu wa kachagua aseme nini wapi na kwa nani. Anapenda vitendo kuliko maneno. Waulize vijana wa boda boda na wazee waliokwenda naye shule watakujuza vizuri.
halafu ni msiri sana hata kwa mambo ya kuifilisi nchi yeye hawezi kusema kwa mfano hadi leo ameficha siri ya ufisadi wa kutisha wa RICHOND.hayuko tayari kumaja mshirika mwenza katika mradi wa Richmond hata afanyweje.ana uchungu zaidi na mafisadi kuliko nchi anayotamani kuitawala.
 
Azangatia ushauri, kwamba wapumbavu wakikaa kimya nao wataonekana ni watu wenye busara. Kimya kinaonesha kuwa anasubili wakati wake aje alipe visasi...
 

Mkuu ni wangapi wamepigia kelele hayo mambo miaka yote hii na hakuna lilitendeka? Ni dhahir kabisa kuwa kelele bungeni na magazetini hazileti maendeleo yoyote zaidi yakujitakia cheap popularity! Lowassa anatambua hili, na ndio maana yuko kimya maana anajua kelele ni futile. Itawachukua mda watanzania walio wengi kukielewa hichi kichwa sababu IQ iko juu sana ukilinganisha na wananchi wengi! Karibuni kwenye siasa na uongozi wa utendaji na sio kujitaftia sifa za uongo!
Allah bless Edward!
 
Mfuate chumbani kwake atakuongelesha kama shida yako ni hiyo
 


Huwezi kuongelea huo unaouita Ufisadi Tanzania bila kumuhusisha Mlm.Nyerere, ufisadi Tanzania ulianzia wakati wa Utawala wake, kwa kifupi hao unaowaita Mafisadi wameanzia huo Ufisadi wakati wa Mlm.Nyerere, kufuja mali za kwa Viongozi kulianzia kwa Mlm.Nyerere, na mimi nakwambia kwa sababu mimi ni mfano hai na Mzazi wangu alikuwa na cheo wakati wa Mlm.Nyerere na walikuwa wanafuja mali za UMMA, kuanzia Magari ya ofisi, mambo ya Viongozi kusafiri kwenda Vijijini kwao kwa Magari ya UMMA yalikuwa tangu enzi za Mlm.Nyerere, Ufujaji wa Mashirika ya UMMA ulianzia wakati wa Mlm.Nyerere, hakuna sehemu kulikokuwa na Ufisadi kama kwenye Vyama vya Ushirika kama SHIRECU, KNCU n.k na hao woote walikuwa wakati wa Mlm.Nyerere!
Mambo ya sisi watoto wa Wakubwa kupelekwa shuleni na magari ya Serikali yalianzia wakati wa Mlm.Nyerere...

Hivyo kumtumia Mlm.Nyerere kama vile ndio Kigezo cha kila kilicho chema nchini mwetu ni KUPOTOSHA JAMII!
 
Eti IQ kubwa! aitoe wapi? kama ni kucheka basi nyerere atakuwa anaongoza, kuhusu kuwa kimya, si nyie vijakazi wake mnatekeleza wajibu wenu. sasa tena aseme nini? He is simply mwizi. mara richmond et al...... malizia mwenyewe.

 
Eti IQ kubwa! aitoe wapi? kama ni kucheka basi nyerere atakuwa anaongoza, kuhusu kuwa kimya, si nyie vijakazi wake mnatekeleza wajibu wenu. sasa tena aseme nini? He is simply mwizi. mara richmond et al...... malizia mwenyewe.

Aliyekuambia Mlm.Nyerere alikuwa na IQ kubwa nani?
 
naona sasa unataka b.o.t ihamishiwe nyumban kwake
katika dua yetu tumeomba amwepushe na maadui pamoja na wenye chuki,siri ya mtungi aijuaye ni kata,kujiuzulu kwa waziri mkuu mstaafu ilikuwa ni "funika kombe mwana haramu apite" kwa heshima na hekima kuu alichukuwa maamuzi magumu,je wewe waweza kukubali kutolewa sadaka kama yule aliyekubali kumtoa mtoto wake sadaka ktk biblia?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…