Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,092
CCM WATAKAPO MSIMAMISHA NDG LOWASSA,WE SAY BIASHARA ITAKUWA IMEKWISHA NO HUGE MONEY TO I'TS CAMPAIGN,AND I'TS A TOTAL SUITABLE WEAPON OF DESTRUCTION TO CDM,<tommorow viewer>
sidhani kama kucheka kuna uhusiano na uongozi.. la sivyo nyerere angekuwa kiongozi bogus kuliko wengine ndani ya TANGANYIKA na TANZANIA kwa ujumla!
uongozi ni matendo kama anayofanya jk kikwete..
Kwenye Suala la IQ NO!very big ​NOOOO!!!.Its not that direct.Siyo watu wote walio kimya wana IQ kubwa.Wengine wanajisitiri akiongea ni pumba tu.Mr EL kwa alivyocheza muvi ile ya mvua nchini Thailand namuondoa kweny IQ criteria.Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei,kukenua kenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?
Navyoua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana!
Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?
Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama matakataka wengine.
Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...
Una tabia za kichawi, obvious utakuwa mchawi!!
MUNGU WETU TUPE USAIDIZI WAKO ILI NDG YETU E.N. LOWASSA APATE KUSHINDA MITEGO NA MITIHANI NA CHUKI MBALIMBALI ILI HATIMAYE AJU KUWA RAIS WETU,KWANI UTENDAJI NA UCHAPAJI KAZI WAKE UNATAMBULiKA KOTE TANZANIA.
Ndio kutofaa kwake kuliko hapa. Kama bungeni wanaweka sheria ili ziiweke serikali ktk mathubuti sasa na siku zote yy kimya. Akijua yy atataka kuiongoza hiyo serikali anakaa kimya. Wakulima na mazao yao yy kimya. Mishahara kimya. Pensheni ya wazee wa zamani kimya. Wastaafu wa EAC yy kimya. Wamachinga yy kimya. Wasukuma kula mapanki yy kimya. Wanyamwezi na nyumba 'ubavu wa mbwa' yy kimya. Singida wanakula mlo mmoja kwa siku yy kimya. Kila Mtz kipato duni lakini nchi deni kubwa yy kimya. Hajawahi kukemea walau kusemea ufisadi, rushwa, wizi na ubadhirifu wa mali za umma. Wanahamisha na kuua maliasili yy kimya. Elimu bora kwa wao na mbovu kwa akina Karumanzila yy kimya. Polisi, TISS na Jeshi vinatumiwa kinyume yy kimya. Mizengwe ktk Katiba Mpya yy kimya! Kama haya yote anayanyamazia huku ktk mfumo wa kuongoza yanakaa visivyo yy anataraji aje na staili ipi ya kuyarekebisha? Huyu Bwana ni mdhaifu sana, sana tena sana. Uongozi anautaka lakini hautengenezi bali kuendekeza rushwa Kanisani, Miskitini na Bodaboda.
Ana sifa zote za kuwa amiri jeshi mkuu wa JMT.Viva Lowassa viva CCM
MUNGU WETU TUPE USAIDIZI WAKO ILI NDG YETU E.N. LOWASSA APATE KUSHINDA MITEGO NA MITIHANI NA CHUKI MBALIMBALI ILI HATIMAYE AJU KUWA RAIS WETU,KWANI UTENDAJI NA UCHAPAJI KAZI WAKE UNATAMBULiKA KOTE TANZANIA.
Imetumwa eee???. Kuandika kwenyewe shida halafu unamwombea mtu kula.
Ndio kutofaa kwake kuliko hapa. Kama bungeni wanaweka sheria ili ziiweke serikali ktk mathubuti sasa na siku zote yy kimya. Akijua yy atataka kuiongoza hiyo serikali anakaa kimya. Wakulima na mazao yao yy kimya. Mishahara kimya. Pensheni ya wazee wa zamani kimya. Wastaafu wa EAC yy kimya. Wamachinga yy kimya. Wasukuma kula mapanki yy kimya. Wanyamwezi na nyumba 'ubavu wa mbwa' yy kimya. Singida wanakula mlo mmoja kwa siku yy kimya. Kila Mtz kipato duni lakini nchi deni kubwa yy kimya. Hajawahi kukemea walau kusemea ufisadi, rushwa, wizi na ubadhirifu wa mali za umma. Wanahamisha na kuua maliasili yy kimya. Elimu bora kwa wao na mbovu kwa akina Karumanzila yy kimya. Polisi, TISS na Jeshi vinatumiwa kinyume yy kimya. Mizengwe ktk Katiba Mpya yy kimya! Kama haya yote anayanyamazia huku ktk mfumo wa kuongoza yanakaa visivyo yy anataraji aje na staili ipi ya kuyarekebisha? Huyu Bwana ni mdhaifu sana, sana tena sana. Uongozi anautaka lakini hautengenezi bali kuendekeza rushwa Kanisani, Miskitini na Bodaboda.
Mimi labda niongeze swali, kwanini EL haongelei ufisadi na maadili ya uongozi?
Kwenye Suala la IQ NO!very big ​NOOOO!!!.Its not that direct.Siyo watu wote walio kimya wana IQ kubwa.Wengine wanajisitiri akiongea ni pumba tu.Mr EL kwa alivyocheza muvi ile ya mvua nchini Thailand namuondoa kweny IQ criteria.
Hivi ni kwa nini huyu Jamaa, (Bw.Lowasa) haongeiongei,kukenua kenua meno na kucheka cheka hata kwenye Misiba kama wanasiasa wengine?
Navyoua mimi hii ni moja kati ya tabia ya watu wenye IQ ya juu sana!
Je, kwa wanaomjua kuna ukweli hapo?
Kwa maana kushambuliwa kote huku sijawahi kumsikia akiongea au kuita Wahandishi wa Habari, kama matakataka wengine.
Mimi binafsi naanza kushawishika, nimeona kitu kwake nisichoona kwa wakenua meno wengine...
usipende kulaumu sna,kwasabu we mwenyewe ulichokiandka hapo ukirudia kusoma utagunduwa kuna makosa.ila naamini hata kama amekosea ujumbe umefk kuwa ana muomba Mungu ili mh lowassa aje kuingoza nchii hii
Hiyo "I" ni ya makusudi kwa lafudhi ya ndugu zake wanaompa shavu baba yao wa monduli nenjamburjek