Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Wewe ni mbishi ndio maana nimekuita ubishane siku yako iwe nzuri.
Daah, kwahiyo unanikana siyo ?

Nikajua umeniita kwa nia nzuri nije kupata faida, kumbe ni kinyume chake ?

Ngoja nimuite mrembo mwingine, aje kulisadikisha hili, kama kweli mimi ni mbishi au la !
 
Ukutane na shangazi fatma au maria steshai hawa hata kula unaweza ukaambiwa ujipikie mwenyewe
 
Hapo ukutane na victoire na wangari maathai mbona hata mwichi unaweza usisimame kwa hofu
 
Mimi nikipata nafasi nitawabeba Sana Wanawake Kwani...wanaume wanatuzalau sana .mnatuona hatuwezi kitu..wakati TUNAWEZA na sio lazima.kuwezeshwa.
 
Yani huyu binti ana ngebe hatari kizazi cha mijusi pori. Ndio mtoto wangu aniletee eti ana mchumba wa hivi I swear nikupiga risasi katikati ya makalio yes nitaenda jela ila kwa mda mfupi tu for attempt muder ila nitakua nimefikisha ujumbe wangu barabara. I hate these toxic feminist to the core nibahati mbaya sijawahi kukutana nao I would give them a muble to bite.

Kati ya vitu nimeshindwa kuvumilia ni faminism, hell I hate these bitches to the last alphabet maana wanaharibu jamii na kinachokera zaidi they are way too stupid to realise it thats why I will need to put a bullet in one of them or maybe two or three kabla sijaondoka hapa duniani. Nilitizama video feminist akibakwa na kuchomwa moto India na sikujisikia huruma yoyote. THIS IS HOW I HATE FAMINISTS.
Du....Aiseee!!
This is too much hate.Nakupa pole ndugu yangu.
 
Wewe huna ukweli unao ujua bali una msimamo juu ya mambo usiyo yajua, na haya ni matumizi mabaya akili.

Hivi unawezaje kujitutumua unaujua ukweli ambao huwezi kuuthibitisha ? Hivi huko mashuleni mhalufundishwa kufikiri ba kuutafuta ukweli ?
Sasa wewe unanibishia uanauke wangu unaelewa kweli nilivo. Maana wewe hujaelezea hata kimoja kuhusu mada umekuja Mara na udhaifu Mara wanaume mumewekwa juu, unaweza kuniambia huko juu ni wapi maana hata ndege huwa huko si wa kike Wala wakiume. Halafu tofauti ya kimaumbile hyo kwangu si hoja ni sawa na kubishana kuhusu watu wengine weupe, weusi, warefu wafupi n.k lakini wote wako group moja la binadamu that's all
 
Alishaanza kuporomosha matusi kama kawaida yake
Huyu ni mvulana na si mwanaume.

Wanaume wanaojitambua walishacomment na kuondoka humu Mara moja
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kaniporomoshea mpaka kachoka kwa kweli nashangaa Sasa kajiacha
 
[emoji23][emoji23][emoji23]bado una hasira kwahyo na wewe vile unatumia simu zilizotengenezwa na wanaume tayari umekuwa mwanamke[emoji23][emoji23] na unanuka.
Wanawake wabishi wajuaji tutazidi kuongezeka maradufu Hadi tuwapoke kabisa power yenu wanaume ka wewe unayedharau wanawake as if ulizaliwa na jiwe, anyway sikulaumu Sana itakuwa umekua ukokiona mamako anakuwa abused Sana.
Yeye kagundua Nini..falafala TU Andie
 
Unadhibitije intangible thing kwa mfano?
Hili tatizo lakini nashangaa ujasiri wa kujadili mambo usiyo yajua, njaa unaithibitisha vipi kama ipo au huzuni au akili unaiona wewe su unaigusa ? Ila si unakubali akili unayo ? Sasa na imani inathibitishwa vile vile japo haishikiki.
 
Ukitaka Matatizo taslim Basi Jaribu kumnyakua Mwanaume mamlaka yake polite pale.. hii inajidhihirisha hata kwa Wanyama but bahati nzuri Sisi Ni zaidi ya Nyama na hisia.

Hili swala Lina uzuri wake na ubaya wake kwa mitazamo tofauti.. Ila mi hua napenda kuwa optimistic sana.. Juzi nimeangalia clip hapa ya mdau kapost jinsi wanaume wa Kiislael wanavyopata shuluba kutokana mfumo jike Ambao unaitafuna nchi hiyo kwa Kasi Sana na nikasema lyt Kama wanaume tungekua na akili tungejifunza Kuishi na Hawa kinamama kwa akili Sana.

Hawa watu Ni viumbe wa hisia sana na wanaishi kwa kututegemea kwa kiasi kikubwa Sana, tunaweza kuwashape na kuwamodify venye tunapenda endapo tu tutaamua na hii Ni baada ya kuchukua hatua ya kuwaonyesha Hali ya kutojali Sana jinsia yao na Mapungufu yao
Kumbuka Hawa ndo Dada zetu, mama zetu, watoto wetu na sidhani Kama Mtu utapenda kuona Mtoto uliemzaa wewe ananyanyasika sababu ya mfumo dume .. au Mama yako anateseka kwa sababu ye Ni Mwanamke.

Ndo Mama zetu.. watoto wakizaliwa na Mama anaejitambua Unafkiri watakua Goigoi.. Tukubali tukatae kwa Sisi wahenga huu mfumo utatupa shida Ila kwa Kizazi kijacho Vijana wakiume wataishi Kama Wako Peponi.

I can't wait for them feminist to come back again na kuanza kuanzisha maandamano kwamba serikali ifosi wanaume waoe wakishafikisha umri Fulani.. hahaha

Sema ukiwaza kuwa anaedai usawa wa kijinsia Ni Mama Yako, au binti yako utaona Kwamba hii movement Ina umuhimu..
Shida tu Ni pale serikali ianze kupitisha vijisheria vitakavyo wabana wanaume.. Hapo ndipo Vita itakapopamba moto
 
Mapya ni kua nawaheshimu sana, nawapenda na kuwalinda wanawake wote wanaotambua nafasi yao kama wanawake ila nyie mnaojilinganisha na wanaume sina ujamaa nanyi infact i would love to see you die kama wanavyobakwa hadharani na kuchomwa moto India.
Kijilinganisha na wanaume kivipi?
Embu jenga hoja ueleweke

Huko India Achana nako kwanza maana ni stori za kusadikika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom