Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Hapana swez kua kundi moja na kahaba mchafu nungaiyembe asiyejua nafasi yake katika jamii, never under the son, sideways or above it.
Una uhakika huyo ni kahaba??
Huwezi kujenga hoja zako vizuri pasi na matusi??
Mbona yeye anajenga hoja na hatukani matusi,ukitukana matusi ndiyo utaonekana umeshinda?
Usipotukana unapungukiwa nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utanishikia wapi Sasa siku nikiwa free nikushinda tu humu kabla Mambo hayajawa busy tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pia katika issue ndogo kama za kupika,kufua, kupiga deki na kuosha vyombo mimi sioni ubaya wa wmanaime kuwa unafanya siku mojamoja maana naamini feminist wenyewe sio kama wanataka mtu afanye hivyo sikuzote ila tu afanye siku chache.....it looks good kwa familia siku mojamoja kids wanaona baba anapika anaosha vyomho, it sound more family pia....
Agiza soda bro [emoji7]
Nakuja kulipa mimi
 
kuna misimamo walisimamia mama zetu ambayo bila hiyo misimamo na harakati hizo leo hii tusingekuwa hapa,...

mfano baba ni mlevi kilasiku akirudi anapiga watoto na mama sasa mama akianza harakati za kushtaki na mambo mengine kwa usalama wa familia hapo shida ipo wapi....

wamepigania mambo mengi hawa wanawake wanaoenda shule na badae kupata kazi na kusaidia nyumbani kwao ni kazi ya feminism,

sasa mtu apigwe bila sababu inayoeleweka alafu akae tu kimya? hiyo sio sawa, wanawake wanaojitambua wanajua haki yao pia wanawake ambao wanajitambua na kujua hali zao ni msaada mkubwa katika mafanikio.....tembea uone wanawake ambao feminist ila wanafanya makubwa sana kwa familia achana na asilimia chache wanaopotosha maana nzima ya feminism kwa maslahi yao wenyewe....
Hakika[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Gentleman umenena[emoji122]
 
Hata nikiwa 56 sioni shida age ni number tu ka zilivo number nyingine
hizo hoja zako ni akili za shuleni/darasani (watu hudanganyana) ila huku mtaani hakuko hivyo; taratibu mdogo wangu
 
Kwa kweli sikuhizi nimekua Sana wallah, staki kutukanana na mtu na kujizalilisha maana it's like unaoga mtoni kichaa kabeba nguo then unaanza kumkimbiza Sasa ukifanya hivo si ndo unaonekana kichaa
Hakika [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Pia katika issue ndogo kama za kupika,kufua, kupiga deki na kuosha vyombo mimi sioni ubaya wa wmanaime kuwa unafanya siku mojamoja maana naamini feminist wenyewe sio kama wanataka mtu afanye hivyo sikuzote ila tu afanye siku chache.....it looks good kwa familia siku mojamoja kids wanaona baba anapika anaosha vyomho, it sound more family pia....
Utopolo mtupu....
 
Habari?

Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa? Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?
Simple tu, anzeni kuanzisha movement na nyinyi mtoe mahari
 
Femimist wakiacha kuwamoke, kuwakejeli na kuwananga wanaume wanapungukiwa nini, kama wanadhan wanaweza bila sisi wanaume, then watuache kando wapambane na ujinga wao, feminists wanatuattack na siwezi kukaa hands folded while the stupid confused whores attack us endleslly. Unajua nini, huwezi hata kunielewa. I JUST HATE THESE BITCHES
Nimekuuliza kuhusu matusi Yako mkuu.
Matusi Yako ndiyo yanapangua hoja?
 
Mimi sijaona udhaifu na kuzaliwa na jinsia flani sio udhaifu ni bilogical makeup tu za kuendeleza kizazi ni sawa na Mimi nione kosa au adhabu kubeba mimba wakati ni jukumu la kwetu wanawake na sio udhaifu, sisi sikuhizi tunafanya Mambo mengi tu yansyofamywa na wanaume na tunalea familia as well na Tena tunawazidi hata na wanaume Mambo mengi tu
Bibie naona unachokiandika ni kimoja na unachotakiwa ukijengee hoja ni kingine.

Hujaambiwa kuzaliwa jinsia yako ni udhaifu, ila silika ya mwanamke ni udhaifu kwa ujumla, japokuwa umbile lake ni timilifu kwa majukumu yake. Ndiyo maana hata sisi tuna kiri ya kuwa kuna mambo mengi mnayafanga ambayo sisi hatuwezi kuyafanya kwa maana ya kimaumbile.

Mambo gani mnayafanya kutushinda wanaume ?
 
Utaonaje hoja wakati umevaa miwani ya mbao na pia hulazimishwi kukubali ni aminicho it's ur choice kuamini chochote and agree coz it's ur opinions
Ndiyo maana tunaweka hoja na marejeo ili tuone kati ya wewe na sisi nani mkweli. Au hutaki kuujua ukweli bibie ?
 
Soma vema maandiko yangu yote yana hoja kuntu japo nakazia kwa lugha kali wewe unaita matusi, ila mada hii hua nashindwa kuhimili hisia zangu vumilia matusi yangu hamna namna.
Hadi kuja kukuuliza sasahivi ujue nimekusoma tangu mwanzo
Naona unaporomosha tu mvua ya matusi.

Unadhani ukishindwa kuhimili hisia zako na ukaporomosha matusi,matusi ndiyo yatakupa ushindi?
Mimi nadhani ungeonyesha umaridadi jwa kujenga hoja kiume kuliko kuonyesha ubingwa kwa vitu vya kijinga Kama matusi..Tena unamtukana mtu ambaye hata humjui,unampachika tu matusi.
Kweli hizi ni hoja za kiume??za mwanaume?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ni wewe mwenyewe ulisema vimegunduliwa na wanaume, nikakwambia vitu vingi tunavotumia Africa and third world countries vimetengenezwa na wanaume wa dunia ya kwanza kwahyo wote ni wanawake[emoji23][emoji23][emoji23] Yale Yale ya muondelezo wa dharau Hadi ukajidharau mwenyewe kwa povu lako mwenyewe.
Hafu leo unafoka sana
wewe bibi uko vizury unajua kujibu hoja hakika wewe ni muhenga.
 
Wanaume waoga na wasiojiamini ndio hupenda wanawake wawe chini. Inshort hao Ni insecure people wanaamini ili wawe wanaume kamili lazima wamnyanyase mwanamke, pia Mila na desturi nyingi bado ni tatizo hasa Africa.
Wenye mawazo kama yako ndo wengi hawadumu katika ndoa zao...!
 
Wanaume wenzangu wameweza kuvumilia upumbavu wenu mimi SITAKI KUVUMILIA HATA SEKUNDE, Ndio mtoto wangu aniletee eti ana mchumba kama wewe I swear nikupiga risasi katikati ya makalio yes nitaenda jela ila kwa mda mfupi tu for attempt muder ila nitakua nimefikisha ujumbe wangu barabara. I hate you toxic feminist to the core nibahati mbaya sijawahi kukutana nanyi I would give you a muble to bite.

Kati ya vitu nimeshindwa kuvumilia ni faminism, hell I hate these bitches to the last alphabet maana wanaharibu jamii na kinachokera zaidi they are way too stupid to realise it thats why I will need to put a bullet in one of them or maybe two or three kabla sijaondoka hapa duniani. Nilitizama video feminist akibakwa na kuchomwa moto India na sikujisikia huruma yoyote. THIS IS HOW I HATE FAMINISTS.
It's hata Sana wanawake unfortunately you can't change anything endelea kuchukia hivo hivo na kuweka wanawake moyoni na hyo chuki yako sie wanawake tuna dunda tu na maisha bila shida yoyote tuko happy tu. Keep hating till the end of the world
 
Habari?

Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa? Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?
Sasa na haki zetu wanaume tukadai wapi Kama utaigeuza familia na ndoa Kuwa uwanja wa mapambano ya kudai haki!?
 
Wanaboa kinoma, muda wote mnabishana what is right or wrong, hakuna maelewano, hawajui malezi ya watoto, hawapo romantic, yaani sio wife materials. Hawa wanafaa kuwa wanasiasa na viongozi wa jamii ila hawawezi kulea mume na watoto. Huwaambii kitu na watakuja kukashifu haya maoni yangu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom