Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
I need evidence ya Imani bas
Unakubali kuna watu wanaamini katika kutafuta dawa ya kifo ?

Mimi imani yangu inaniambia ya kuwa kila nafsi itaonja umauti. Ushahidi ni kuwa watu wanakufa, na hakuna aliye zuia kufa, kadhalika hao wanawaza kutafuta dawa ya kifo hawajui kifo ni nini.

Sasa labda ili tusipoteze muda ni kuwa niambie wewe sasa ili ushahidi uwe ushahidi unatakiwa ukidhi vigezo gani ? Maana naona unazunguka zunguka tu.
 
Nawe unamuwekea?

Sina tatizo na wapenzi/ wenza kufanyiana mambo mazuri mazuri ya kimahaba.

Tatizo ni kuwa na matarajio kuwa mmoja wenu ana wajibu wa kumtumikia mwenzake kama mtumwa.

Jibaba zima na misuli yako hata maji huwezi kujiwekea bafuni? Aibu!!

Kama hilo tu huwezi, kuoga mwenyewe utaweza kweli?

Au napo utasubiri uogeshwe?
Pale ikungulyabashashi wazee huwekewa Safi kabisa na goti linapigwa hata mzee baba mkulu nadhani mamsapu anamwekea

Tatizo pale hotlanta,miami, Jacksonville,Queens , Oakland hii kitu haipo

Hii kitu tamu sana mzee wangu .

Sio utumwa au kutesana Ni ile culture yetu sisi waafrika ya enzi na enzi

Ni ishara ya utii kwa mume(tuna mamlaka ya asili )

Ukishazoea kula strippers hii kitu huwezi elewa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji123][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakubali kuna watu wanaamini katika kutafuta dawa ya kifo ?

Mimi imani yangu inaniambia ya kuwa kila nafsi itaonja umauti. Ushahidi ni kuwa watu wanakufa, na hakuna aliye zuia kufa, kadhalika hao wanawaza kutafuta dawa ya kifo hawajui kifo ni nini.

Sasa labda ili tusipoteze muda ni kuwa niambie wewe sasa ili ushahidi uwe ushahidi unatakiwa ukidhi vigezo gani ? Maana naona unazunguka zunguka tu.
Hayo ya kutafta dawa ni yako na sio yangu, hafu kufa ni lazima Wala hyo sio Imani kabisa
 
Wewe hujatoa ushahidi na Sijaona popote waiting before sleeping
Nimekuuliza sasa uniambie ushahi ili wewe uuone kuwa ni ushahidi unataka ukidhi vigezo gani ?

Maana mimi nimeamua kujitolea kukusadia katika kufikiri kwa usahihi na kukutoa gizani ukitaka.

Tuendelee.....
 
Mimi sihitaji kusaidiwa kufikiria maana hapo tu yenyewe uko nje ya mada ingekuwa mtihani ungeshapata zero yako
 
Pambaneni.. Jinsia ya kike inaonekana dhaifu Sio kwa sababu yenu nyie ila wale waliowatangulia.. Ni muda Sasa muache kupuyanga na visivyo vya maana muwe mfano mpaka kwa vizazi vijavyo huko Kwamba Hata bila kuwezeshwa mnaweza.. Hayo ya ugentlomen kaa nayo tu maana Hawa jamaa hawatachelewa kusema natafuta sifa.. Ila najua Mkipambana Sidhani Kama Kuna Mtoto atakae kuja kushuhudia Mama yake akiteseka kisa tu Alizaliwa Mwanamke!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakisema unatafuta sifa itakuwa wivu wao tu
 
Hayo ya kutafta dawa ni yako na sio yangu, hafu kufa ni lazima Wala hyo sio Imani kabisa
Labda nikuulize tu imani ni nini bibie ? Pili, inaonekana huelewi unacho kiegemea, nimekwambia mimi imani yangu inaniambia ya kuwa kila nafsi itaonja umauti, lakini wapo watu wanaamini vingine. Hakuna ambaye amesema kifo ni imani, bali imani ni kuwa kila kilicho hai lazima kife. Elewa hapa.

Wewe kwa ujinga wako ulikuwa unajua ya kuwa kitu kisichoshikika hakiwezi kuthibitishwa, sasa mimi ndiyo nakuonyesha kwamba kinaweza na nikakutolea mifano kibao, lakini unakataa, na ajabu unakataa bila kujenga hoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom