Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,813
- 235,988
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]aibu kwani naoga nje mie, ubishi nao kipaji atii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]aibu kwani naoga nje mie, ubishi nao kipaji atii
Nakuelewa kwa haya unayoyaandika, na yana akisi ulivyo kifikra.Sasa wewe unanibishia uanauke wangu unaelewa kweli nilivo.
Na hapa naendelea kukuonyesha udhaifu wenu ambao mnahisi sisi tunawahofia feminist. Hili hujaliona pia ? Kazi ipo.Maana wewe hujaelezea hata kimoja kuhusu mada umekuja Mara na udhaifu Mara wanaume mumewekwa juu,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo ukutane na victoire na wangari maathai mbona hata mwichi unaweza usisimame kwa hofu
Mimi naomba evidence ya Imani tu bila shaka kabisa maana umesema unayo evidenceHili tatizo lakini nashangaa ujasiri wa kujadili mambo usiyo yajua, njaa unaithibitisha vipi kama ipo au huzuni au akili unaiona wewe su unaigusa ? Ila si unakubali akili unayo ? Sasa na imani inathibitishwa vile vile japo haishikiki.
Huyu atakuchosha bure.Mimi naomba evidence ya Imani tu bila shaka kabisa maana umesema unayo evidence
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukutane na shangazi fatma au maria steshai hawa hata kula unaweza ukaambiwa ujipikie mwenyewe
Hahaaa kweli maana sijaelewa nimetoka kapa kabisaHuyu atakuchosha bure.
Huwa anajadili vitu hata yeye havijui
Kwanza haya niliyo kuwekea una yakubali au huyakubali ?Mimi naomba evidence ya Imani tu bila shaka kabisa maana umesema unayo evidence
Kutofautiana mitazamo sio udhaifu ni matter of diversity tu, Tena kutofautiana na kuheshimiana ndio maturityNakuelewa kwa haya unayoyaandika, na yana akisi ulivyo kifikra.
Na hapa naendelea kukuonyesha udhaifu wenu ambao mnahisi sisi tunawahofia feminist. Hili hujaliona pia ? Kazi ipo.
Hivi ndivyo nilivyo mimi.Huyu atakuchosha bure.
Huwa anajadili vitu hata yeye havijui
Wapo wa kutosha saint.Kuna mwanamke anayetaka kuwa mwanaume?
Siyakubali hata kimoja uliyoandika hapo. Maana huhitaji PhD kujua kufa ni lazima ka ilivokuzaliwa maana hyo ni natural process ya kubalance natureKwanza haya niliyo kuwekea una yakubali au huyakubali ?
Imani yangu inanifundisha ya kuwa kila nafsi itaonja umauti. Uthibitisho ni kuwa watu tunakufa. Imani yangu inaniambia zinaa ni uchafu, na kweli ushahidi ni kuwa kupitia zinaa kuna madhara mengi.
Imani yangu inaniambia ya kuwa kuwepo kwa usiku na mchana ni matokeo ya jua kuwa katika mwendo. Uthibitisho ni kuwa kweli jua linatembea.
Sasa wewe kama huwezi kukithibitisha unachokiamini ujue wewe ni MJINGA juu ya imani yako, yaani ni kichwa mchunga.
Sada turudi kwenye mada.
Kutofautiana kwa mambo ya asili ni lazima upande mmoja una tatizo, siyo kila jambo linaruhusu mitazamo bibie, unatakiwa ujue, na hili kutofanana kwa majukumu kati ya mwanamke na mwanaume hakutatuliwi kwa vikao au kura za veto au makampeni, bali kwa kurudi katika asili, ufunuo na maumbile.Kutofautiana mitazamo sio udhaifu ni matter of diversity tu, Tena kutofautiana na kuheshimiana ndio maturity
Sasa kwa hayo uliyoandika wewe ndio dhaifu kuliko dhaifu yemyeweKutofautiana kwa mambo ya asili ni lazima upande mmoja una tatizo, siyo kila jambo linaruhusu mitazamo bibie, unatakiwa ujue, na hili kutofanana kwa majukumu kati ya mwanamke na mwanaume hakutatuliwi kwa vikao au kura za veto au makampeni, bali kwa kurudi katika asili, ufunuo na maumbile.
Udhaifu unakuja pale ambapo kile unachokiegemea hukijui na huwezi kukijengea hoja za kielimu, na hili ndiyo unalo wewe, yaani hujawahi kuweza kutetea hoja yako kielimu zaidi ya hisia na kujitutumua. Huu ndiyo udhaifu.
Gsan Tremendouz wewe umeandika gazeti tu kutuchosha ulishaambiwa mwanamke hatabiriki inategemea ameamka vipi unaleta madarasa yaso na kichwa wala miguu
Nimecheka sana, wenzako wapo wanatafuta dawa ya kuzuia kufa, sasa hawa wenzako unawaweka wapi ? Hii ni imani bibie,ambayo ina ithibati.Siyakubali hata kimoja uliyoandika hapo. Maana huhitaji PhD kujua kufa ni lazima ka ilivokuzaliwa maana hyo ni natural process ya kubalance nature
Kawaida yakeHahaaa kweli maana sijaelewa nimetoka kapa kabisa