Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Sasa kwa hayo uliyoandika wewe ndio dhaifu kuliko dhaifu yemyewe
Usipate shida bibie, nilicho kiandika kinaonekana na kipo wazi, kama una ubavu onyesha udhaifu wa hiki nilicho kiandika, ukiweza nitaomba uongozi wa jf waifute hii ID na wewe utakuwa shahidi.
 
Kwani Wanaume ndo tunatabirika bro! Tuache kuishi kwa mazoea.. We mama Yako angejitambua Mapema na kujijua ye ana uwezo gani Unafkiri uwezo Wako wa kufikiri ungekua Hapo kwa Sasa?
Ungekua mbali sana, Kijana unaejielewa maana kwa asilimia 75 ye ndo aliekujenga kiakili na kimwili. Tuwape credit aisee.. Mwanaume wa kweliakweli na Kinamama aisee

Wewe subiri wanakuja kukujibu kiboko yenu ni cariha tu anabishana na jf yote na halali
 
Nimecheka sana, wenzako wapo wanatafuta dawa ya kuzuia kufa, sasa hawa wenzako unawaweka wapi ? Hii ni imani bibie,ambayo ina ithibati.

Ingekuwa kuzaliwa ni jambo la kiasilibasi kila mwanamke angekuwa ana zaa au kila mwanaume angekuwa anazalisha.
Wenzangu kina Nani wanatafta hyo dawa na kwanini usiwe wewe una refer wengine?
Science ni kitu chenye ushahidi usi confuse science na vitu intangible
 
Habari?

Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa? Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?
Kwenye mapenzi hakuna kitu nani mkubwa na nani mdo ila baada ya mapenzi ndio hayo mambo huanza,

jambo ambalo hushangaza ni pale kabla ya vyote ( yaan baada ya ndoa tuu) mke kuanza kuleta hayo mambo ya u-feminism as if yeye ni poacher
 
Wenzangu kina Nani wanatafta hyo dawa na kwanini usiwe wewe una refer wengine?
Science ni kitu chenye ushahidi usi confuse science na vitu intangible
Safi kabisa, sasa ndiyo uwaombe hao wana sayansi wakupe huo ushahidi wa kutafuta dawa ya kifo, maana wao wanaona kifo kama ugonjwa au tatizo.

Halafu bibie, nakukanya usiwe kichwa mchunga kiasi hicho, sayansi haina ithibati bali wanatumia mawazo yao na kuyaita "Evidence au Facts". Usiongee Sayansi mbele yangu sababu nitakuona bado uko gizani tu. Soma utakavyo soma na inaonekana Sayansi huijui, tatizo kubwa linalo ikumba sayansi mpaka kesho ni namna yao ya kufikia hitimisho juu ya jambo fulani, ndiyo maana leo watasema hivi kesho watabadilika watasema vile.
 
Mimi nataka ushahidi wako wa Imani Sasa unabadilika Tena nikawaombe wao are you serious?
 
Another Gentleman [emoji7][emoji122]

Pambaneni.. Jinsia ya kike inaonekana dhaifu Sio kwa sababu yenu nyie ila wale waliowatangulia.. Ni muda Sasa muache kupuyanga na visivyo vya maana muwe mfano mpaka kwa vizazi vijavyo huko Kwamba Hata bila kuwezeshwa mnaweza.. Hayo ya ugentlomen kaa nayo tu maana Hawa jamaa hawatachelewa kusema natafuta sifa.. Ila najua Mkipambana Sidhani Kama Kuna Mtoto atakae kuja kushuhudia Mama yake akiteseka kisa tu Alizaliwa Mwanamke!!
 
Hivi kweli shangazi Fatma Karume anaeza kukuwekea maji ya kukoga bafuni.
Uja mnyamba kisawa sawa.........!!! Nyambua kama unavonyambua noti mbichi iliyolowana na maji kwenye mfuko wako wa suruali........... nakwambia atasema hata mahakamani aendi kutetea watu tena ......au kusema yasio muhusu
 
Mimi nataka ushahidi wako wa Imani Sasa unabadilika Tena nikawaombe wao are you serious?
Uahahidi nikupe mara ngapi bibie ? Unaonekana una matatizo ya kutokuwa makini.

Nimekwambia mimi nina amini ya kuwa kila nafsi itaonja umauti, lakini wapo wajinga wanapinga hilo ndiyo maana wanatafuta dawa ya kuzuia kifo, wao kwa ujinga wao wanahisi kifo ni tatizo au kifo ni ugonjwa. Wewe ukasema hii siyo imani.
 
Hajazaliwa wa kunipiga aisee never kabisa, Mimi natoka na wanaume matured, na sio waliokulia mifumo dume, so huwa Niko makini Sana kwenye selection, wanaume suruali kwangu hawana nafasi
huna lolote..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom