Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Hii hoja kuna baadhi ya watu wake kwa waume wanairukia pasipo kuielewa. Kabla ya kuwajadili feminist kwa maana wafuasi wa hicho kitu ni vyema tukajadili kitu chenyewe ni nini, ambacho ni feminism.

Feminism wanasema kwa urahisi ni jinsia zote zinahitaji haki sawa na fursa (ambazo zimo kwenye jamii). Itikadi yao ni kuwa maadamu wote ni binadamu basi mwanaume na mwanamke ni sawa. Kwa maana hiyo wanawake wanahitaji haki sawa ndani ya jamii kama mwanaume.

Wanachoshindwa kufahamu ni kwamba mwanaume na mwanamke ni sawa kwa hali ya ukiumbe! Kwa maana wote ni binadamu. Lakini hawa binadamu wana utofauti wa kimaumbile, nguvu, ujasiri, nidhamu za kibailojia, kufikiri n.k na tunaishi kwenye jamii ambayo inatubidi tuwajibike.

Kwa muktadha wa namna huu kwa kutofautiana huku ni lazima kutakuwa na mgawanyo wa majukumu kwenye kuyaendea mambo kuwajibika kwenye jamii. Mambo mengine yanatokana na kanuni na nidhamu za kimaumbile (nature) mfano mwanamke anapenda kupika na majukumu mengine ambayo yanafahamika mwanamke anayoyafanya. Halikadhalika kwa mwanaume.

Feminist wanachokitaka ni usawa lakini usawa wao hawauhitaji kwenye majukumu. Mathalani kwa hapa Tz mwanamke anayedai usawa akiambiwa naye ahudumie familia kwa hali na mali kama mwanaume anavyojitoa kutoka kwenye pato lake hawakubali. Ukienda Uk wanataka walipwe mshahara mmoja na mwanaume wakati kwenye kitengo hicho hicho mwanaume anafanya kazi ya ziada ambayo inamlazimu atumie nguvu za mwili wake pia ukiacha taaluma.

Ni sawa sawa kusema Simba,Chui, Swala, Mbuzi, Duma, Paa wote wapewe majukumu sawa! Jawabu kwa vile wote ni wanyama. Huku ni kujibu kwa kuona na si kwa kutumia akili.

Ukiangalia kote feminists wanapigania ubinafsi na si haki sawa! Wafahamumwanamke na mwanaume si sawa kwa maana ya kimajukumu. Ni vyema wapiganie unyanyasaji wa kijinsia. Ila suala la haki sawalikiwekwa watakaopata madhara makubwa ni wao. Wanapigania kitu ambacho hawafahamu uhalisiya wake.

Moja ya athari hasi ya feminists hawana nidhamu. Si nidhamu ya kuongea ki kauli wala kuandika kimaandishi. Hawajali hisiya za mtu aliye tofauti na mtizamo wao ila wanataka hisiya zao zijaliwe.
Mhu...ndugu yangu hivi unajua familia ngapi ambazo mwanamke anatumia kipato chake zaidi kuliko mwanamme kama amejaaliwa kuzidi mwanamme?
 
Wanawake ni wazuri sana kusimamia na kuepusha ajali kwa familia zao na mataifa yao lakini sio familia za wenzao na mataifa ya wenzao!
Siku dunia ikiwa taifa moja hapo sawa kumpa mwanamke madaraka yale ya juu kabisa ila sio sasa mataifa na falme nyingi kuna kutoelewana.
Fikiria ukute rais wa jirani ni mwanamke na huku nchini kwetu ukute ni mwanamke alafu kuwe na chuki kati yao! Amini nakwambia vita lazima iibuke tu hata Yesu aje kuwapatanisha sio rahisi[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Ahueni tunayoiona duniani leo ni matokeo ya vifua na makoromeo ya wanaume sababu ungekuta ni wanawake wanatawala wangeshaangamizana kitambo sana.
Utakuta rais wa Tanzania anamsuta rais wa kenya [emoji1787]
 
Hata nikizeeka Kuna shida nilizaliwa kufanya makubwa zaidi kuliko kufanya vitu visivo happy, Kuna watu wameoa, olewa with nothing to show zaidi ya viungo vya uzazi ambavyo kila mtu anacho.
So depending na uelewa wa mtu na mipango yake
Acha ngebe wewe
 
Kwanza tuambie hao frminist ni jamii ya watu gani na wanapatikana wapi hapa kwetu !usitupeleke peleke na mambo ya yenu ya kudandia dandia vitu kama wapofu!
 
Mimi Mwanamke anayeongea sana tu namuogopa kama ukoma.
 
Hajazaliwa wa kunipiga aisee never kabisa, Mimi natoka na wanaume matured, na sio waliokulia mifumo dume, so huwa Niko makini Sana kwenye selection, wanaume suruali kwangu hawana nafasi
Umeshatoka na wangapi ? Ukiona mwanamme mpole kwako ujue ni player tu binafsi huwa nawalegezea sana na kujifanya mstaarabu sana kwa mademu wasio maanisha kitu kwangu ila nakuwa mkali kwa niwapendao kwa maana wakifanya ujinga siwaachi bali nafanya nao ugomvi mpaka twende sawa!
 
Umeshatoka na wangapi ? Ukiona mwanamme mpole kwako ujue ni player tu binafsi huwa nawalegezea sana na kujifanya mstaarabu sana kwa mademu wasio maanisha kitu kwangu ila nakuwa mkali kwa niwapendao kwa maana wakifanya ujinga siwaachi bali nafanya nao ugomvi mpaka twende sawa!
Nimetoka na wanaume number 0 . Upole unategemea una define vipi na Kuna Mambo mengi hapo kati
 
I agree [emoji817] Ila nyie mna set high standards kutaka mfanyiwe mengi na wanawake wakati hamna kitu Cha ajabu na kipya mnachoweza kutufanyia sisi wanawake tuka feel huyu kweli ni mwanaume, zaidi tu wanaume wa sikuhizi hawajiamini Wana insecurities nyingi hata ukimuheshimu vipi bado hajiamini tu.

Una hoja sana, ilà unatumia defense kuandama wanaume, hatuna kitu cha ajabu kipya cha kuwafanyia wanawake? How? Sasa kama mwanaume hana jipya la kumfanyia mwanamke, why live with her?

Nadhani tukijadili haya mambo tuangalie both sides of the coin, hakuna mtu anaweza kumpa kila kitu huyo anayeishi naye, kukutimizia mahitaji yako naamini hata mzazi kwa 100% hawezi, ndio maana unakuta hata baadhi ya vijana wa kike na wa kiume wanatafuta watu wa kuwasaidia mahitaji yao ambayo kiuhalisia ni kazi ya wazazi.

So notion ya kutimiziwa mahitaji yako hilo kwa jinsi unavyotamani iwe sio rahisi na naweza kusema haipo coz hata wazazi wetu(baadhi) hawakuweza kutupa kila tulichohitaji.
 
Nimecheka sana, sasa bibie unajifaragua vipi kwa jambo ambalo umeumbiea kwalo mwanamke ? Mwanamke kulea ndiyo jukumu lako. Ndiyo maana nasema hamna hoja sababu hata jukumu lako hulijui na hujui ni upi udhaifu unao zungumziwa hapa, hili ni tatizo lingine.Huku kwetu tutakushauri ya kuwa na uishi katika kauli hii "Tengeneza kiti chako kabla ya kukitia nakshi". Ulitakiwa ujue kwanza nini kinachozungumziwa kabla ya kupinga, huu ni udhaifu mwingine.
Mimi sijaona udhaifu na kuzaliwa na jinsia flani sio udhaifu ni bilogical makeup tu za kuendeleza kizazi ni sawa na Mimi nione kosa au adhabu kubeba mimba wakati ni jukumu la kwetu wanawake na sio udhaifu, sisi sikuhizi tunafanya Mambo mengi tu yansyofamywa na wanaume na tunalea familia as well na Tena tunawazidi hata na wanaume Mambo mengi tu
 
Wanawake mpo juu ya nini ? Na hapo juu nani amewaweka ?

Mimi binafsi sijaona hoja humu, wala haitokuja kutokea, zaidi ya hisia na ujinga mwingi. Naomba unionyeshe hoja zenu humu kama nyinyi mnasema ukweli.

Kujibu hoja au kushindwa hoja kunategemea na nani unaye mjibu, kadhalika nini unajibu ?
Utaonaje hoja wakati umevaa miwani ya mbao na pia hulazimishwi kukubali ni aminicho it's ur choice kuamini chochote and agree coz it's ur opinions
 
Una hoja sana, ilà unatumia defense kuandama wanaume, hatuna kitu cha ajabu kipya cha kuwafanyia wanawake? How? Sasa kama mwanaume hana jipya la kumfanyia mwanamke, why live with her?

Nadhani tukijadili haya mambo tuangalie both sides of the coin, hakuna mtu anaweza kumpa kila kitu huyo anayeishi naye, kukutimizia mahitaji yako naamini hata mzazi kwa 100% hawezi, ndio maana unakuta hata baadhi ya vijana wa kike na wa kiume wanatafuta watu wa kuwasaidia mahitaji yao ambayo kiuhalisia ni kazi ya wazazi.

So notion ya kutimiziwa mahitaji yako hilo kwa jinsi unavyotamani iwe sio rahisi na naweza kusema haipo coz hata wazazi wetu(baadhi) hawakuweza kutupa kila tulichohitaji.
Majority have nothing to offer kwenye mahusiano maana if you can live without him, unafikiria ana Nini kipya chakuongeza kwenye hyo relations, Yes wazazi walijitahidi kwa uwezo wao na tuliona Ila kwenye mahusiano ni big no kwa kweli, our parents gave us everything including love but in relations duh.
Ndio maana nasema unataka kitu kizuri na wewe basi uwe mzuri sio level yako ya Toyo una taka kitu aina ya range au ndege kabisa. Kila mtu awe na kitu size yake ili lawama zife sio daily blaming one side, inakuwa haipendezi
 
Wanaume waoga na wasiojiamini ndio hupenda wanawake wawe chini. Inshort hao Ni insecure people wanaamini ili wawe wanaume kamili lazima wamnyanyase mwanamke, pia Mila na desturi nyingi bado ni tatizo hasa Africa.
Tatizo nini sasa tafuta anae kufaa
 
Feminism ni falsafa nzuri tu.Ukweli mwanamke amekandamizwa kwa namna nyingi sana.
Ila kuna mijanamke mimuch know,mibishi ina kibri inajiona ni feminists wakati ukweli ipo confused tu.

Una hoja sana, wengi hawajioni coz dunia ipo so confused ilà nimesoma kidogo concept ya feminism, sio issue hata kidogo. Hoja kubwa ipo hapo bold, na hao ndio wanakuwa na matatizo katika handling ya mambo ya mahusiano, kila akianzisha mahusiano yanamshinda mwisho anaandama jinsia pinzani...
 
Feminism; If not monitored...comes wth hints of anger and disrespect to a Man

iwe kauli ama vitendo

ni mada pana kwa kweli
.. mada pana halafu inaleta hisia kali kwa baadhi ya watu.
 
Bitches be bitches for centuries, tunzo kwako kua kahaba wa karne, stupid shameless faminist.
Wewe unatukana wewe Ni vizuri utoe stress za maisha kwa kweli Hadi wanaume wenzako wanakushangaa, tafta hela, haya matusi unayotukana geuzs Sasa kutafta hela utashangaa hasira zinayeyuka ghafla bin vuu then furaha inarudi. Wewe wachukia wanawake unajiumiza tu nafsi yako maana hasira iko kifuani mwako, utatukana wee hafu I'd utakiimbia maana hii ni special kwa kutukana naomba uje na I'd nyingine ya siku zote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom