Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Daah hii comment imenitoa chozi aisee
Mkuu Bwana Mungu akubariki na akuzidishie
Ameeen, but usitoe chozi bhana! Endelea kusimamia unachokiamini!! Kama wewe ni "She" all you need to do is to stand for what you believe is right!!
 
Hapa naona unatusemea na unatoa maana ambayo si sahihi kuhusu mwanaume.

Mathalani nikijiongelea mimi, mimi sina haja ya kuonyesha uanaume wangu kwa mwanamke hata kwa bahati mbaya sababu, najua fika mwanamke awe atakavyo kuwa lazima awe chini yangu sababu hii ndiyo asili.

Hapa tupo kwa ajili ya kuwashika mkono, kwani mwalimu ni kipofu na nyinyi mmefanywa vipofu sababu hamkupewa misingi zaidi ya kushindana na sisi, sasa hakuna aliyewahi kushindana na asili akashinda, vita vyake ni balaa. Ajabu wanawake nyinyi huwa mnatafuta ulinzi toka kwetu. Huwa nacheka sana.

Hakuna anaye jilinganisha na mwanamke, sababu hili ni kosa kidini na kosa la kiufundi, ndiyo maana sisi wake zetu tuna waheshimu, tunawalinda, tunawasimamia na kuwaenzi pia.

Hakuna aliye sema ubora hapa, wala hakuna aliyesema mwanamume ni bora zaidi ya mwanamke, kwa sisi watu wa imani tunasema hivi "Mbora katika viumbe ni yule ambaye ni mchamungu". Kwahiyo hapo mwanamke anaingi, mwanamume anaingia, mweusi anaingia, mweupe anaingia na mwekundu kadhalika anaingia.

Ila hakuna kufanana kwa haki sababu maumbile yetu hayafanani, kiasili mwanaume ameumbwa jasiri mtafutaji yaani mwenye kumletea mwanamke, kinyume chake madhila mnayaona hata wewe kama ukiamua kuwa mkweli huu ukweli utausema, ila kama umeamua kujifurahisha, endelea kujifurahisha.

Ni matumizi mabaya ya akili kulinganisha mdoli na mwanadamu aliye hai na utashi, acha kuleta mzaha bibie, hili ni tatizo lenu lingine, la kushindwa kufikiria mambo jinsi yalivyo.

Sasa kama unalijua hilo, kwa lipi umlinganishe mdoli ba kilicho hai ? Bibie unaonekana unaleta mzaha na haya mambo ndiyo maana unabishana na ukweli.

Ahsante.
Nani alisema wanawake wawe chini na usilete blah blah Mara maandiko ya hadithi za kusadikika hapa, wanawake tuko juu ndio maana wanaume humu mumetukana mumeshindwa kweli kujiamini na kujibu hoja.
Mara mkimbilie udhaifu nileteeni hyo kitu ya udhaifu na inahusiana na Nini tungekuwa dhaifu tusimgewazaa na kuwalea, in short mwanaume anayetaka aonekane ana uwalakini flani hivi.
 
Feminism ni falsafa nzuri tu.Ukweli mwanamke amekandamizwa kwa namna nyingi sana.
Ila kuna mijanamke mimuch know,mibishi ina kibri inajiona ni feminists wakati ukweli ipo confused tu.
 
Nungaiyembe mwanamke anaetiwa bila kuolewa ni malaya. Hata kama sitakutmb.a mimi ila wewe ni malay.a mchafu na mimi sitomb.i mimalaya, i take the clean women.
Wewe povuka tu huna jipya uliloandika unajizalilisha tu bure Yani na sikuhizi Sina mood ya kutukanana kabisa hata ukini provoke vipi
 
Ameeen, but usitoe chozi bhana! Endelea kusimamia unachokiamini!! Kama wewe ni "She" all you need to do is to stand for what you believe is right!!

Mimi ni ke mkuu! Andiko lako limenibariki sana na siku zote huwa napenda watu wanaosimamia wanachoamini haijalishi wataonekaje na haijalishi watapingwa na watu wengi kiasi gani!
 
Nungaiyembe mwanamke anaetiwa bila kuolewa ni malaya. Hata kama sitakutmb.a mimi ila wewe ni malay.a mchafu na mimi sitomb.i mimalaya, i take the clean women.

Kwahiyo kama mwanamke kaolewa tu hata kama anatiwa na wanaume wengine zaidi ya mumewe akiwa ndani ya ndoa siyo malaya? Eti na wewe nawe ni kichwa cha familia nyie jamani!
 
Kungekuwa na option yakutoa like nyingi ningekupa 100k.
Tatizo la wanaume wa kiafrika wanajifanya wanayajua maandiko kuliko wazungu wenyewe walioviandika hivyo vitabu.
Hasa kwenye haya mambo ya kuwakandamiza wanawake.
Na tatizo kubwa ni hilo
INFERIORITY COMPLEX
Kudhani kwamba mwanamke akimkosoa hata kama he is really wrong basi anamvunjia heshima.
Na wanawake wa sikuhizi sio wanawake wale wa zamani, elimu imetukomboa
Hawezi kuona unaharibu akakaa kimya
Hawezi kuona unamnyanyasa akakaa kimya
Sasa wanaume wa kiafrika wanataka kulazimisha huyu mwanamke wa karne ya 21 aliyeelimika aact km yule mwanamke wa mwaka 47 ambaye toka utototni anaelimishwa kwamba umezaliwa ili uolewe na kuzaa watoto tu huna jukumu lingine duniani.
Ndomana mkwara wao mkubwa ni kwamba utazeeka bila kuolewa as if kuolewa ni favor kwa mwanamke aliyeelimika na kujitambua.
Nasisi wanawake tuelimike
Kusimamia haki zako sio kosa
Na ndoa sio favor kwa mwanamke 2 ni heshima kwa jinsia zote mbili.
Ndoa ni muhimu kwa mwanamke kama ilivyo kwa mwanaume tuache mitizamo ya kizamani
Hamna cha kuyajua maandiko wala nini, ni ushamba tu!!! Na kama unavyosema, yaani aliyesoma andiko lililotafsiriwa mara kutafsiriwa ndo anataka kujifanya mwelewa zaidi kuliko hata aliyeandika... ndo ushamba wenyewe huu!!!

Kwanza hivi kuna raha gani kuishi na mtu ambae hakupi hata changamoto!! Unajua haya mambo watu tu huwa hatujui tu lakini hata matatizo wanayopata watoto kwa kuporwa mali baada ya baba kufa yanasababisha na sisi wenyewe!!

Mtu umeishi na mama yako huku ukim-treat kama Msukule asiyepaswa kupinga; sasa itashangaza siku mume amekufa halafu ndugu wakaja kupora kila kitu na hatimae watoto kubaki wanateseka!
 
Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.
Hizo haki ni zipi labda tuanzie hapo,.

Kwenda shule,kuongea,kujishughulisha biashara ama kazi nk kuna mtu anakuzuia?..
 
Like how you expose your dirty, cheap, smelly kopo la shahawa, stupid jamvi la wageni who can NEVER get married but get smashed by dogs.
[emoji23][emoji23]Leo unafoka Sana tangu asubuhi come with something new, I even don't smell I'm clean. Hahaaaa eti Jamvi la wageni Leo tapika tu nyongo upone moyoni usije kufa kwa heart attack hafu siuje na usual I'd ka wewe kweli kidume. Yani utatukana wee Mimi ndio yule yule mwanamke ninaye jiamini, na kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji, keep writing anything you wish you can't provoke me, coz I'm matured and I can tolerate even mad people like you. I'm happy today I have something making noise in JF eeh.
[emoji108][emoji108][emoji108]Weak boy let keep arguing till tommorow or next year[emoji108][emoji108][emoji23]
 
mwanamke ameumbwa kutawaliwa sasa akiwa much know huku uwezo wake wa kufikiri ukiwa mdogo inakua hatari sana watu waliooa wanalijua hili unaweza kukuta mama kwa uzembe tu alikua anasukana na wenzio anaacha mtoto anaenda kuungua na maji ya moto you can mention alot of uzembe ambao wanaume tunauvumilia
Oke oke oke!!!
Kumbe wewe ni mwanaume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom