cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,698
Sina shida ya kutafta mkuu uko nje ya madaTatizo nini sasa tafuta anae kufaa
Sina shida ya kutafta mkuu uko nje ya madaTatizo nini sasa tafuta anae kufaa
Unastress za maisha mixer mahusianoSina shida ya kutafta mkuu uko nje ya mada
Feminism haihusiani na ujuaji au much know au kushindwana na mahusiano watu wanachaganya Mambo hapa. Mtu mjuaji ni hulka yake tu, pia kuwa emotion haihusiani ni big concept hasa jinsia ya kiume mnaichukulia tofautiUna hoja sana, wengi hawajioni coz dunia ipo so confused ilà nimesoma kidogo concept ya feminism, sio issue hata kidogo. Hoja kubwa ipo hapo bold, na hao ndio wanakuwa na matatizo katika handling ya mambo ya mahusiano, kila akianzisha mahusiano yanamshinda mwisho anaandama jinsia pinzani...
Hahaaa shekhe yahaya umetoka nje ya madaUnastress za maisha mixer mahusiano
Kaa tulia kumbuka tuko uchumi wa kati dada
Mbona unaandika kama unakimbizwa wee feminist kaa tulia kisha andika vizuriWewe unatukana wewe Ni vizuri utoe stress za maisha kwa kweli Hadi wanaume wenzako wanakushangaa, tafta hela, haya matusi unayotukana geuzs Sasa kutafta hela utashangaa hasira zinayeyuka ghafla bin vuu then furaha inarudi. Wewe wachukia wanawake unajiumiza tu nafsi yako maana hasira iko kifuani mwako, utatukana wee hafu I'd utakiimbia maana hii ni special kwa kutukana naomba uje na I'd nyingine ya siku zote
Feminism haihusiani na ujuaji au much know au kushindwana na mahusiano watu wanachaganya Mambo hapa. Mtu mjuaji ni hulka yake tu, pia kuwa emotion haihusiani ni big concept hasa jinsia ya kiume mnaichukulia tofauti
Utajua wewe la shekhe yahya ila mi najua unastress za maisha mixer mahusiano na kama ujaachwa wewe........sijuiHahaaa shekhe yahaya umetoka nje ya mada
Usinipangie Cha kuandikaMbona unaandika kama unakimbizwa wee feminist kaa tulia kisha andika vizuri
Sidhani kama anajua maana yakehebu tuambie sasa concept yako ni nini hapa..
Kama kiswahili ujue utaweza kuwa feminism kweli?Usinipangie Cha kuandika
Sidhani kama anajua maana yake
Mungu kasema hakuna usawa kati ya mwanamke na mwanaume yeye anataka usawa
Afahamu mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu hatokuja kuwa sawa na mwanamke abadani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]Hawawezi kujuta kabisa kulelewa na strong mama like me Tena watanishukuru maana nitawafundisha life skills mbalimbali so hawata regret kamwe
[emoji23][emoji23] wanaume humu Leo mnanifokea fokea Sana wengine matusi wewe wajifanya shekhe Yahaya, I'm happy jinsi tu watu wanavokera ninachokiaminiUtajua wewe la shekhe yahya ila mi najua unastress za maisha mixer mahusiano na kama ujaachwa wewe........sijui
Umekuja kutafuta faraja eeh!
Ingia mtandao usome bure hyo concept au u Google ni rahisi tu ukisoma kwa kifupi ukirudi hapa utatengua kauli then uwafundishe na wanaume wenzakohebu tuambie sasa concept yako ni nini hapa..
Endelea na imani zako za kipumbavuWanaume waoga na wasiojiamini ndio hupenda wanawake wawe chini. Inshort hao Ni insecure people wanaamini ili wawe wanaume kamili lazima wamnyanyase mwanamke, pia Mila na desturi nyingi bado ni tatizo hasa Africa.
[emoji23][emoji23]eti nitaweza kuwa feminism kah, kutofautiana mawazo haihusiani na feminism au u feminist, ujue humu watu hamuelewi Hili jamboKama kiswahili ujue utaweza kuwa feminism kweli?
Tatizo ni kutaka ajue haki kabla ya wajibu.Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.
[emoji23][emoji23][emoji23]halo Leo wanaume mumefoka Sana jinsi mnavofoka ndio furaha yangu inazidi weeee[emoji108][emoji108]Endelea na imani zako za kipumbavu
Wakimaliza kusutana watatukanana alafu mwisho watafanyiana mambo yatakayoleta vita vya moja kwa moja 🤣🤣Utakuta rais wa Tanzania anamsuta rais wa kenya [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] wanaume humu Leo mnanifokea fokea Sana wengine matusi wewe wajifanya shekhe Yahaya, I'm happy jinsi tu watu wanavokera ninachokiamini