Ndo maana kumbe wewe ni yai bora.kumbe Kuna mtu nyuma aliyekufanya uwe hapo ...jamani kina mama waleeni watoto wenu kwa usawa..Ila Bahati mbaya sana wanaume Kama we wanapataga wake majanga. Yaani
omba Sana Mungu akupe mke mnayeelewana!
Hakuna mwanamke hapa duniani asiyependwa kusikilizwa maoni yake na mumewe nasema hakuna .msikilize mkeo then mrekebishe. Mpe na ww idea yako fikieni conclusionpamoja ..hamtakufa kwa stress Kama mnavyodondoka Sasa hivi kwasababu ya kukifanya nyie ndo nyie...na mtakufa had mkome
To be honest, sio kwamba naongea ili mradi tu nionekane naongea but deep inside my heart, I believe in women, kwahiyo nakuunga mkono hapo uliposema niombe Mungu nipate mwanamke tunayeelewana!
Ule msemo wa "To every successful man there's a woman behind him" kwangu hauna japo chembe ya kasoro!
Hata mimi mwenyewe kuna wakati nilifulia ile mbaya coz' of my brothers!!!
But amini usiamini, hadi kesho I still believe lile lilitokea kwa sababu sikuwa na mke! Kwa ujinga wangu, naamini ningekuwa na mke, ambacho my brothers walifanya, wife asingefanya kwa sababu angeona hii ni kwa ajili yetu sote, and the children!
I still believe mwanamke isn't just a wife wa kukutana nae tu kitandani but a friend and partner in maendeleo!!! Ni kutokana na mentality yangu hii ndo maana kwangu ni ngumu sana, tena sana kuvurugana na mwanamke hadi tushindwe kuongea!!!
Hata hapa JF wakati mwingine ninaposoma michango ya watu inayoonesha uadui mkubwa na ma-ex wao, mwili huwa unasisimka ajabu na kujiuliza ni nini hasa huwa kinatokea hadi hatimae kinafanya watu waliokuwa pamoja, finally wanakuwa maadui wa kutupwa... God forbid!!