Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Mwanaume anayejiamini Hana mda mchafu wa kubishana na wanawake ili aonekane yeye kidume,
Hapa naona unatusemea na unatoa maana ambayo si sahihi kuhusu mwanaume.

Mathalani nikijiongelea mimi, mimi sina haja ya kuonyesha uanaume wangu kwa mwanamke hata kwa bahati mbaya sababu, najua fika mwanamke awe atakavyo kuwa lazima awe chini yangu sababu hii ndiyo asili.

Hapa tupo kwa ajili ya kuwashika mkono, kwani mwalimu ni kipofu na nyinyi mmefanywa vipofu sababu hamkupewa misingi zaidi ya kushindana na sisi, sasa hakuna aliyewahi kushindana na asili akashinda, vita vyake ni balaa. Ajabu wanawake nyinyi huwa mnatafuta ulinzi toka kwetu. Huwa nacheka sana.
kidume kinachojiamini kinaheshimu wanawake, na Wala hakijilinganishi maumbile yake ili kionekane Bora.
Hakuna anaye jilinganisha na mwanamke, sababu hili ni kosa kidini na kosa la kiufundi, ndiyo maana sisi wake zetu tuna waheshimu, tunawalinda, tunawasimamia na kuwaenzi pia.
Halafu ukisema maumbile ndio ubora wa mwanaume how about sex toys dildo lenyeee ni mb...
Hakuna aliye sema ubora hapa, wala hakuna aliyesema mwanamume ni bora zaidi ya mwanamke, kwa sisi watu wa imani tunasema hivi "Mbora katika viumbe ni yule ambaye ni mchamungu". Kwahiyo hapo mwanamke anaingi, mwanamume anaingia, mweusi anaingia, mweupe anaingia na mwekundu kadhalika anaingia.

Ila hakuna kufanana kwa haki sababu maumbile yetu hayafanani, kiasili mwanaume ameumbwa jasiri mtafutaji yaani mwenye kumletea mwanamke, kinyume chake madhila mnayaona hata wewe kama ukiamua kuwa mkweli huu ukweli utausema, ila kama umeamua kujifurahisha, endelea kujifurahisha.

Ni matumizi mabaya ya akili kulinganisha mdoli na mwanadamu aliye hai na utashi, acha kuleta mzaha bibie, hili ni tatizo lenu lingine, la kushindwa kufikiria mambo jinsi yalivyo.
Ya kiume Ila haliongei Wala halina SAUTi kwahyo kisa umbile lake tayari ni mwanaume?
Sasa kama unalijua hilo, kwa lipi umlinganishe mdoli ba kilicho hai ? Bibie unaonekana unaleta mzaha na haya mambo ndiyo maana unabishana na ukweli.

Ahsante.
 
Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.
femɪnɪst is someone who supports the idea that women should have the same rights and opportunities as men...

MTAKUJA KUTAKA TUINGIE PERIOD KAMA NYIE
 
......Nyumba yenye bomba ndani...!!!

Are you serious..!!!??
Brother Ngalikihinja

Hamna kitu hapo,Jamiiforums siku hizi wale waliokuwa wakijipanga mabarabarani kujiuza wamehamia humu basi vurugu tupu!wala usipoteze muda wako kujibizana na huyo kiumbe naamini umeshaona jinsi alivyo mweupe kichwani.
 
Nawe utakuwa unasumbuliwa na ushamba tu na wala si kingine!!

Ushamba unawafanya watu wadhani brutality ndio uanaume wakati huo ni ushamba tu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanaume asiyepiga mwanamke ni dhaifu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone kupiga mwanamke ndo uanaume!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wakatae kuoa wasomi eti kwa sababu "wasomi wanajifanya kujua sana"!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani mwanaume anayemsikiliza wife/girlfriend wake huyo mwanaume ni dhaifu, na anapelekeshwa!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanamke akikubishia basi huyo ni jeuri hata kama ni kweli ulichofanya ni upumbavu lakini usipingwe eti kisa ni mwanaume!!!

Ushamba ndio unawafanya watu wadhani mwanamke hana sauti kwenye jamii!!

NI ushamba huu huu ndio unawafanya watu waamini wanaume ndio wanastahili kurithi na wanawake hawastahili!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani feminism ni ukorofi!!

My girlfriend or wife will always be MY BEST FRIEND!!

So, nitakuwa very stupid endapo nitataka my girlfriend or wife awe kama Msukule kwangu, anayekubali kila ninachosema au kutaka hata kama ni cha kipumbavu!!!

For me I'll feel blessed mwanamke akinikosoa, na nikiangalia nakubali kabisa kwamba she's right and I was not, kuliko unakuwa na mtu ambae mwanaume ukishatoa maamuzi hata kama ni ya kipumbavu, yanapita hivyo hivyo na kuja ku-backfire familia yako mwenyewe!!

Na nitakuwa very stupid nikianza kurusha ngumi kwa MY BEST FRIEND coz' kama alichofanya ni completely intolerable, my best option will always be to let her go, and trust me, she'll always be my best friend no matter what!!!

And guess what... am now in my 40's, lakini sijawahi kuachana na mwanamke kwa visa, and am proud of it coz' I know how to manage difficult situation!!!!

Na kama alivyosema cariha hapo juu, watu aina yenu mnasumbuliwa na insecurity and inferiority complex, na kwahiyo mnataka kutambulika kama wanaume not based on your responsibility as a man but by being physically TOO TOUGH over a woman... huo ni ushamba tu!!

I don't have to do anything stupid to prove my manhood which will always be judged based on my responsibility as a man!

Again, I love a feminist women, na sio mwanamke unayeweza kumpelekesha pelekesha tu kama msukule, na hajui hata haki zake!!

Na kama hajui haki zake, na hawezi kupigania haki zake at a family level, ni namna gani anaweza kupigania haki za familia wakati ambapo mumewe yupo kwenye mazingira yasiyomwezesha to stand for his family?!

Baba hapa umetongoza kabisa kachukue namba zao PM kawat*mbe tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]

Halafu kuna mtu atasema kutongoza mwanamke wa jamii forum kazi eti nyie mnawapataje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


By The way kuna vitu vya msingi umeandika ila same formula unayotumia ukitumia kwa mwanamke wa western world utatoboa

Ila usithubutu ku apply the same formula kwa wanawake wetu hawa wa kibongo sababu kwanza utawashangaza pili UTAGONGEWA lazima tu watahisi hujakamilika hivyo kiu ya mwanaume wa kitanzania itawashika[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Brother Ngalikihinja

Hamna kitu hapo,Jamiiforums siku hizi wale waliokuwa wakijipanga mabarabarani kujiuza wamehamia humu basi vurugu tupu!wala usipoteze muda wako kujibizana na huyo kiumbe naamini umeshaona jinsi alivyo mweupe kichwani.
Kabisa yaani.... hawa walio under 27 na bado hawajapata watu wa kuwahakikishia ndoa wana shida sana na vigezo walivyojiwekea.... wanadhani ndoa ni haki sawa badala ya KILA MMOJA KUSIMAMA KWENYE MAJUKUMU YAKE
 
Kabisa! Na hapa ndio shida ilipo!

Zoë siijui jinsia yako but..........

Usidanganyike duniani hakipo kitu kama hicho na hakitatokea,amini hivyo mengi yanaandikwa hapa kwa vidole vya watu wengine walishakosea huko walikotoka so kauli nyengine kama hizo ni za kujifariji tu hakuna lolote,pia currently humjui yupo ktk hali gani huko alipo.

Mwanaume atabaki kuwa mwanaume hayupo wa kulitengua hili na shida za mwanaume ni natural kutafuta pesa kulisha familia etc mwanaume hakuumbwa duniani kuja kulia lia na wanawake hao wanaoonekana kujikuta kwenye target za wanawake hadi waonekane wana shida nao sana ni wale wasiojitambua kama ilivyo pia kuna wanawake wasiojitambua ambao wengine tupo nao kwenye huu uzi.
 
To be honest, sio kwamba naongea ili mradi tu nionekane naongea but deep inside my heart, I believe in women, kwahiyo nakuunga mkono hapo uliposema niombe Mungu nipate mwanamke tunayeelewana!

Ule msemo wa "To every successful man there's a woman behind him" kwangu hauna japo chembe ya kasoro!

Hata mimi mwenyewe kuna wakati nilifulia ile mbaya coz' of my brothers!!!

But amini usiamini, hadi kesho I still believe lile lilitokea kwa sababu sikuwa na mke! Kwa ujinga wangu, naamini ningekuwa na mke, ambacho my brothers walifanya, wife asingefanya kwa sababu angeona hii ni kwa ajili yetu sote, and the children!

I still believe mwanamke isn't just a wife wa kukutana nae tu kitandani but a friend and partner in maendeleo!!! Ni kutokana na mentality yangu hii ndo maana kwangu ni ngumu sana, tena sana kuvurugana na mwanamke hadi tushindwe kuongea!!!

Hata hapa JF wakati mwingine ninaposoma michango ya watu inayoonesha uadui mkubwa na ma-ex wao, mwili huwa unasisimka ajabu na kujiuliza ni nini hasa huwa kinatokea hadi hatimae kinafanya watu waliokuwa pamoja, finally wanakuwa maadui wa kutupwa... God forbid!!


Hata Mimi mwanaume akinichukulia easy Kama chombo Cha starehe nitamvuruga mapema Sana..maana sipendi..napenda kwanza uwe rafiki kindaki ndaki .hamjui tu ukiishi vizuri na mwanamke wako hakika utafurahia maisha ya ndoa..! All the best!
 
Zoë siijui jinsia yako but..........

Usidanganyike duniani hakipo kitu kama hicho na hakitatokea,amini hivyo mengi yanaandikwa hapa kwa vidole vya watu wengine walishakosea huko walikotoka so kauli nyengine kama hizo ni za kujifariji tu hakuna lolote,pia currently humjui yupo ktk hali gani huko alipo.

Mwanaume atabaki kuwa mwanaume hayupo wa kulitengua hili na shida za mwanaume ni natural kutafuta pesa kulisha familia etc mwanaume hakuumbwa duniani kuja kulia lia na wanawake hao wanaoonekana kujikuta kwenye target za wanawake hadi waonekane wana shida nao sana ni wale wasiojitambua kama ilivyo pia kuna wanawake wasiojitambua ambao wengine tupo nao kwenye huu uzi.

Mkuu sijui kama umenielewa mkuu wangu!!
 
Mkuu sijui kama umenielewa mkuu wangu!!
Yah sawa sawa.....imebidi nirudi tena juu nikusome katikati ya mistari,nadhani nimekuelewa vizuri uliandika kutoa kitu kama faraja!
 
Baba hapa umetongoza kabisa kachukue namba zao PM kawat*mbe tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]

Halafu kuna mtu atasema kutongoza mwanamke wa jamii forum kazi eti nyie mnawapataje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]


By The way kuna vitu vya msingi umeandika ila same formula unayotumia ukitumia kwa mwanamke wa western world utatoboa

Ila usithubutu ku apply the same formula kwa wanawake wetu hawa wa kibongo sababu kwanza utawashangaza pili UTAGONGEWA lazima tu watahisi hujakamilika hivyo kiu ya mwanaume wa kitanzania itawashika[emoji3][emoji3][emoji3]
Hamna bhana!! Kwa bahati mzuri au mbaya kwangu ni ngumu sana, tena sana kuingia PM za watoto wa kike!! Sisemi sijawahi, nitakuwa muongo na mnafiki lakini ukiona nimeingia PM ya Binti, basi fahamu nimezoeana nae sana!

Na hata ikibidi kuingia PM ya mtu, wala siwezi kusubiria eti kwenye mada kama hizi kwa sababu hiyo kwangu nitaiona kama cheap trap!!

Kuhusu kwamba eti ukifanya hivyo kwa mwanamke wa Kibongo utagongewa tu, trust me, hizo ni hisia zako tu! Kumtandika mwanamke kila siku, kumuonesha how tough you're bado hiyo wala haiwezi kufanya usigongewe!

Na hapa msichanganye mambo! Kusikilizana na mwanamke, kukubali michango yake, kuwa humble and a gentleman kwake; kuwa rafiki yake, kuwa partner wake kwenye maendeleo na mambo mengine kama hayo... yote hayo hayana uhusiano wowote ni uboya!!

Usishangae yule anayejifanya very tough akawa ndie boya zaidi kuliko mtu wa aina yangu!! Usishangae yule anayejifanya tough akawa ndie anagongewa zaidi mke/mpenzi wake, na akijua hakuna anachoweza zaidi ya kurusha ngumi kwa sababu ubavu wa kuacha hana!!
 
Hata Mimi mwanaume akinichukulia easy Kama chombo Cha starehe nitamvuruga mapema Sana..maana sipendi..napenda kwanza uwe rafiki kindaki ndaki .hamjui tu ukiishi vizuri na mwanamke wako hakika utafurahia maisha ya ndoa..! All the best!
Na moja ya siri kubwa ya kimahusiano ambayo watu hatujaigundua ni suala la kujenga urafiki mkubwa kwenye mahusiano lakini kinyume chake, watu tunajenga zaidi urafiki wa kingono kuliko wa kirafiki!!

Mkishakuwa best friends and at the same time ni wapenzi/wanandoa, ni ngumu sana kufanyiana mambo ya kikatili. Na hata ikitokea mmetengana, mtatengana tu urafiki wa chumbani lakini ule urafiki mwingine utaendelea kuwepo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom