Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Comment ya mwanaume[emoji7][emoji7][emoji7][emoji122][emoji122][emoji122]
Bro naomba nikununulie kinywaji tafadhali
Hahaaa!!! Ni kinywaji cha aina gani hicho, manake isije ikawa ulabu halafu nikasema silagi ubavu halafu wakatokea wale "toughest men" wakaanza tena kunikashifu kwamba nina walakini kwenye uanaume wangu, how come mtoto wa kiume hapigi maji ya dhahabu!!!
 
Nitakifunza kujielewa na kusimamia Jambo lililo sahihi na sio huu unafiki wa watu humu
Wanaweza kujuta sana kuwa na mama asiye wafunza kwenda na nature. Watatumia nguvu nyingi sana, watachoka sana. Wataadhibiwa na nature
 
Hata nikizeeka Kuna shida nilizaliwa kufanya makubwa zaidi kuliko kufanya vitu visivo happy, Kuna watu wameoa, olewa with nothing to show zaidi ya viungo vya uzazi ambavyo kila mtu anacho.
So depending na uelewa wa mtu na mipango yake
Nilikuwa nataka nikuchumbie ila mikazo yako imenitisha,hamuwezi wote kuwa sawa ndani ya nyumba lazma mmoja awe down,ndomana Mungu akachagua mwanaume amtawale mwanamke,sasa wewe hutaki kutawaliwa itakuaje aisee!!!
 
Hahaaa!!! Ni kinywaji cha aina gani hicho, manake isije ikawa ulabu halafu nikasema silagi ubavu halafu wakatokea wale "toughest men" wakaanza tena kunikashifu kwamba nina walakini kwenye uanaume wangu, how come mtoto wa kiume hapigi maji ya dhahabu!!!
Hakuna wa kukukashifu
Nitasimama kukutetea.
BTW kinywaji Cha kawaida tu,soda,juice au maji.
 
hahahahhaha ni kweli mama naye anahitaji massage na kufarijiwa hasa wote mnapokuwa in relax mode au mama anapokuwa naye hayuko vizuri hili liko wazi..

Point yangu ipo hapa, kwa familia nyingi za KiAfrica na hata huko ughaibuni, Mwanaume ndio mpambanaji kwa muda mwingi na ndiye anakutana na magumu sana hivyo asilimia nyingi atahitaji sana huduma na faraja kutoka kwa mama.

Hivi kiukweli usiku umefika wote mko hoi, mama mpambanaji na baba mpambanaji na wote mnarudi saa nne saa tano usiku unafikiri kuna maisha hapo...na hata yakiwepo effect kubwa inahamia kwa watoto..ndio maana tunaprefer na ni uumbaji lazima mwanamme apambane na magumu na mwanamke abaki nyumbani amerelax na kudeal na vitu vidogovidogo otherwise kiukweli sioni umuhimu wa watu kuoana..


Una shida sehemu best...!
Hauko sawa u needed deliverence.
Au la hauishi Bongo wewe..labda nikupe mfano hai ..
Mume ameajiriwa ..tuseme take hom ni 800k..tuna watoto wanne..wote wanasoma . Kila mtoto mhula inatakiwa 400k
Bado nyumba msosi uwepo ..
Bado Kuna emergence za hapa na pale. .
Bills zote zilipwe...
Hebu niambie Magu kapandisha lini mshahara? Sasa hivi mshahara ni 24 had 24th. No posho at all...alafu unasema nikae him kuja kufurahisha wewe..nikikuona laki tu unaanza kuruka Ruka Kama maharage. Maisha yamebadilika sio km zamani..saidianeni majukumu...we ukilipa Ada Mimi ntalipa bills zote na nitahakiksha msos hom unakuwepo!
C'moon men. ! Unataja kuishi maisha ya kimaskini siku mmoja akidondoka ndo mama aanze jifunza kupika bagia? Hapana badilika haraka sana iwezekanavyo ..tukija kwenr suala la malezi nadhani kila mtu na ulezi wake. Mfano mie nahakikisha saa 8 cmchana Niko home..ntarudi na watoto nitasimamia show ya homework n other stuffs . .nikichelewa kurudi inajulikana nimechelewa Kwasababu maalum..lakini sio nikae hom nikutegemee wewe tu kisa mie ke. .umefeli...!
Kwanza wanaume wanaowapa hela wake zao za matumizi wamebakia wa kuhesabu..maisha yamebadilika
 
Hahaaa!!! Ni kinywaji cha aina gani hicho, manake isije ikawa ulabu halafu nikasema silagi ubavu halafu wakatokea wale "toughest men" wakaanza tena kunikashifu kwamba nina walakini kwenye uanaume wangu, how come mtoto wa kiume hapigi maji ya dhahabu!!!

Huwezi amini nilitaka kumjibu Anne kuwa nahakika huyu chige hanywi pombe..hii sio akili ya pombe kbs .! Mungu akutangulie
 
I think huja catch my point hapo, by the way najivunia kufanya Jambo ninalolitaka kulifanya
Wewe ni mgonjwa wa wakati utajizeesha bure. Huu ni mwaka 2020 wewe unataka kuishi mwaka 2050 lazima utumie nguvu kubwa na hutoweza. Na hayo maisha ya uhuru hutoyapata leo hii
 
Wanaume waoga na wasiojiamini ndio hupenda wanawake wawe chini. Inshort hao Ni insecure people wanaamini ili wawe wanaume kamili lazima wamnyanyase mwanamke, pia Mila na desturi nyingi bado ni tatizo hasa Africa.
Naona umeandika kinyume bibie, sisi wanaume tunao jiamini ndiyo tunataka wanawake wawe chini yetu, lakini hili siyo limekuja tu,bali hili ni jambo la kimaumbile, vipi maumbile yetu yawe tofauti halafu tunafanane kwa haki, hili halipo.

Lakini, mwanamke hajaumbwa kuwa juu ya mwanuame, na kuwa chini ya mwanaume siyo kunyanyaswa, bali hiyo ndiyo stahiki.

Maumbile ndiyo yanabainisha haki na majukumu.

Ufeministi ni uchizi wa kujitakia.
 
Wewe ni mgonjwa wa wakati utajizeesha bure. Huu ni mwaka 2020 wewe unataka kuishi mwaka 2050 lazima utumie nguvu kubwa na hutoweza. Na hayo maisha ya uhuru hutoyapata leo hii
Change ni process na inaenda hatua kwa hatua so Sina wasiwasi hata nikifanya Jambo likaja kuwa na faida kwa kizazi kijacho.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]hii tabia ya unafiki na kufundishana uoga inatutafuna Sana watanzania
Wanjikweza Sana hapa hawana lolote mtu anajitutumuaaa ohh mke akae ndani mtu hata kumpa laki 2 Kama poket money huwez..Yanini Sasa kuleteana ufukara?
 
Huwa nawaambia kila siku wanawake na wale watetezi wao, ya kuwa wao hawatafuti haki sawa bali wanataka kufanana na siai.

Lakini huu ujinga una Historia yake, na chanzo cha haya makorokoro ni kuanzishwa kwa viwanda hii ilikuwa ni karne ya 19. Watu wakaamua kuwatoa wanawake ndani na kuwaweka nje, mwisho wa siku leo hii Wanawake wamefanywa kama bidhaa, na kwa ujinga wao wanaona wamekombolewa, aisee wanawake wa sampuli hii ni vipofu wa moyo mpaka akili.
 
Empowering women is not a problem at all! The real problem is who is preparing these men to live with the empowered women!

Nafikiri hapa ndipo shida ilipo! Tuko busy kuwawezesha wanawake hadi tunasahau kuwaandaa wanaume namna ya kuishi na hao wanawake wanaowezeshwa tutaendelea kupiga kelele kila siku oo feminism feminism africa feminism bado sana!
 
Nilikuwa nataka nikuchumbie ila mikazo yako imenitisha,hamuwezi wote kuwa sawa ndani ya nyumba lazma mmoja awe down,ndomana Mungu akachagua mwanaume amtawale mwanamke,sasa wewe hutaki kutawaliwa itakuaje aisee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]mikazo gani imekutisha mwanamke kuwa ndio mzee au kuwa kikondoo haimaanishi ni mke bora
 
Hata kusikiliza malalamiko ya mwanamke ni upuuzi lazima tueshimiwe wanaume .tunapambana sana Mpaka kufanikiwa kuipeleka Tanzania uchumi wa Kati sio mchezo wanaume tunahitaji pongez sana
 
Singo mom's mnajifariji sana ila mioyoni mwenu mnawaka moto,mimi nipo relaxed sina shida but ni vile hapa zinasomeka sentences zingekuwa zinasomeka hisia zenu pasingekalika humu na wengi wenu mpo humu mkijionyesha ni miamba ili wale ambao hawajaingia bado kwenye tasnia hiyo wachukulie ni kitu simple ili nao yawakute ila kiukweli mnateseka sana!

Kudanganyana tu na mkiendelea na viburi vyenu kujifanya vichwa ngumu kutokana na mna-make some money kwa kudanga kwa pimbi's wasiokuwa na malengo na vijikazi vyenu mnavyopewa kwa kuvuliwa nguo mtaachwa achwa hovyo mpaka akili ziwakae.

Na bado!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom