Acha kuzuga mkuu.toa jibu,kwanini papa aliswali msikitini?? Tena mwingine aliingia na ndula msikitini.Je ukristo wa kweli ndio unavyotaka hivyo??
Mkuu,
Kwa kifupi,hii issue yakua Pope Benedict kuwa alisilimu au kuonyesha interest kubwa mno kwa Uislam...inajulikana mno na imetapakaa saana tu!...yaani hii ni open secret ya Vatican! Teeeh! Teeeh! Teeeh!
Yaani Pope Benedict alionyesha ishara/interest kubwa mno kwa Uislam...kiasi ya kuleta suspicion hata kwa wale close confidants wake mlemle ndani ya Vatican!?
Ndo maana inasemekana,pamoja na jitihada kubwa za Vatican/Catholic machine kuficha "kashfa"/ukweli huu...lakini solution ga mwisho walimlazimisha ku-resign!...hii ni baada ya kuwa under surveilance kwa muda mrefu mno!? Duuuh!
Pope Benedict,alikataliwa na Vatican hata kwenda kuishi nje ya Vatican/preferably kwao Germany ili kwenda kumalizia mwisho wa uhai/maisha yake hapa duniani!? Daah!
Pana habari nyangine,yakua wale maharamia/Mafioso aka Vatican insiders wamemweka under house arrest!...japo kwenye macho ya dunia analazimishwa/alilazimishwa kuonyesha yakua everything is rosy n kool!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!
Kwa kifupi Mkuu,inaelekea weye sio Mkatoliki!?...sasa ngoja waje wenyewe hapa,labda watatupa ufafanuzi zaidi!?
Calling; Remote,Mzito Kabwela,Matola,Nicholas,Yericko Nyerere na Mkuu Tedo!
Ahsanta sana!