Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
- Thread starter
- #61
Walio wazima hawamuhitaji DACTARI Bali wale walio WAGONJWA!Asema BWANA!
Papa naona anaifata Injili kwa ukamilifu kabisa!
UKRISTO ni UPENDO!
Na haya ndiyo mafundisho ambayo mara zote Yesu Kristo alifundisha na watu wakashangaa!
DINI ya kweli hutumii nguvu kuijua,utaiona tu kwa matendo ya wanaoifuata!!
Biblia inasema "MSIFUNGE NIRA NA WASIOAMINI' Kumbuka DANIEL,MESHACK NA ABEDNEGO katika uwanda wa Dura walikataa kuitumikia miungu japo walikuwa na upendo wa kweli wa Mungu.Kwanini PAPA yeye alikubali kuitumikia miungu???