Hivyo sio vitisho, ni usimamizi wa kazi ndio maana hakuna aliyelalamika, kwani aliyefanya kosa alipata azabu kutokana na kosa lake, hakutaka uzembe,uvivu na wizi ktk kaziWewe shika huko unamwachia huyo injiania hapo atatuingiza mkenge.
Mwandri Mchaga aliyekua anaongea Kiswahili Cha Mjini DSM. Eti atatuingiza mkenge huyo injinia!! hahahahaha!Wewe shika huko unamwachia huyo injiania hapo atatuingiza mkenge.
Tumemic sana huyu mzee wa kusukuma ndani 🤣 🤣Wewe shika huko unamwachia huyo injiania hapo atatuingiza mkenge.
Mwandri inaonekana kaishi sana na watu wa Pwani! Ana Kiswahili Cha kipwanipwani! Eti kichwa kitalia Kama ngoma ya Daku!! Mwandri kweli alikua kiboko yao, yaani alikua na fujo zisizoumiza anakupa haki yako unayo staili na wala hulalamiki, maana unaona kabisa hajakuonea!!'Kibaka akivamia hapa anapigwa hicho kichwa hadi kinalia kama ngoma ya daku'
Mjeshi mstaafu hivyo zile ni kauli za kiuongozi kulingana na unaowaongoza kama hajampiga mtu stiki kama yule wa kwenu na hajawa na kashfaa ya rushwa hiyo haina shidanaomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora
mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote??
huyu ni mtu wa aina gani?
Mzee wa toro ntoo aka bukeneWatanzania tulikuwa tunapata comedy ya bure kabisa. Natamani huyu mzee apewe kitengo. Ni mtu poa sana labda tu udharau mamlaka yake.