Kwanini aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri hashutumiwi?

naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora
mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote??
huyu ni mtu wa aina gani?
Tabora haikuwahi kupata mkuu wa mkoa poa kama Mwanri.

Ndani ya muda wa miaka minne tu jamaa aliubadili mkoa wote kwa haraka sana mjini lami tupu mpaka mitaa ya uchochoroni.
 
Alikuwa mhamasishaji!
Alikuwa anatekeleza kazi zake
Alikuwa siyo mporaji ama kuwavamia
Watu usiku makwao hata kwenye biashara zao

Ova
 
Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora.

Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote?

Huyu ni mtu wa aina gani?
Humjui vizuri Mwanri wewe... Staili yake ya uongozi amechanganya na u comedian ili mambo yake yaende na alifanikiwa sana. Hana makando kando ya kutesa au kuteka watu kabisa.
 
Back
Top Bottom