Kwaniini wale wanaoitwa ‘Wahamiaji haramu' huwa hawakimbilii China?

Kuna Nchi mifumo yake haitoi fursa ya Mhamiaji haramu kuishi

Saudi Arabia Kila Mwaka huwa ina host mahujaji zaid ya Million 3 Na Baada ya hijja huhakikisha wote wameondoka Saudia Hakuna Mhamiaji haramu Hata mmoja huwa ana baki
Mbali ya Hija kuu Pia kuna hijja ndogo kadhaa ( Umra) watu kadhaa huingia Na Baada ya shughuli iliyo kupeleka utaondoka tu huna pa kujificha

Pamoja Na Vurugu zote Za Nchi zinazoizunguka Suadia Kama vile Iraq, Syria, Lebanon n.k lakin Bado Wamefanikiwa kudhibiti Mipaka yao ipasavyo

Familia ya Kifalme ile Ni zaid ya hatare kwa Mtu wanaehisi anaweza kutikisa Nguzo zao Za Ufalme
 
Inawezekana umbali tu ndiyo unaowafanya wasikimbilie huko, hujiulizi mbona kila siku tunawakamata hapa nchini wakikimbilia South Africa?...
 
China kule hata wao wanatatizo la ajira zenye ujira mdogo sasa wewe mgeni si ndo utakosa kabisa hata mkate!
Urusi na ulaya yote ya mashariki ni wabaguzi wa kufa mtu, yaani hata wale wanaoingia kihalali Wanapata wakati mguu sana mitaani.
 
Kuna Nchi mifumo yake haitoi fursa ya Mhamiaji haramu kuishi

Saudi Arabia Kila Mwaka huwa ina host mahujaji zaid ya Million 3 Na Baada ya hijja huhakikisha wote wameondoka Saudia Hakuna Mhamiaji haramu Hata mmoja huwa ana baki
Mbali ya Hija kuu Pia kuna hijja ndogo kadhaa ( Umra) watu kadhaa huingia Na Baada ya shughuli iliyo kupeleka utaondoka tu huna pa kujificha

Pamoja Na Vurugu zote Za Nchi zinazoizunguka Suadia Kama vile Iraq, Syria, Lebanon n.k lakin Bado Wamefanikiwa kudhibiti Mipaka yao ipasavyo

Familia ya Kifalme ile Ni zaid ya hatare kwa Mtu wanaehisi anaweza kutikisa Nguzo zao Za Ufalme
Waarabu wana roho mbaya sijui kwanini Mungu aliwatunuku neema wa uislamu....niwabaguzi washirikina wakubwa nawauwaji hawana huruma na mtu mweusi.....wakiwakamata wote baada ya hijja wanawakusanya we usi wote na wanawaweka kwenye Ndege moja inayo tua Africa hawajali wewe umetokea nchi gani ili mradi wewe ni mweusi.....watu wanachukia uislamu kwasababu ya tabiya za waarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali lako ni sawa sawa na kuuliza kwanini wahamiaji haramu hawakimbilii Burundi na Kongo

Raia wa China wanaikimbia inchi yao na kukimbikia mataifa mengine sababu ya hali mbaya ya kiuchumi

Hivyo hivyo urus nako Maisha ya raia ni magumu Mara mia hata Tanganyika nani akimbilie huko rabda fala tu

Huko mashariki ya kati yaan uarabun ndo watorokaji wakubwa wa nchi zao na kukimbilia kwa makafiri ya huko America na ulaya. Ivi kweli kuna mtu anataman akaishi Iran au yemen? Hakika utakamuliwa ngama kabla hata mda wako haujafika

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu wana roho mbaya sijui kwanini Mungu aliwatunuku neema wa uislamu....niwabaguzi washirikina wakubwa nawauwaji hawana huruma na mtu mweusi.....wakiwakamata wote baada ya hijja wanawakusanya we usi wote na wanawaweka kwenye Ndege moja inayo tua Africa hawajali wewe umetokea nchi gani ili mradi wewe ni mweusi.....watu wanachukia uislamu kwasababu ya tabiya za waarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hakuna hujajinmwenye shida jua hilo kwanza .sifa moja ya kwenda kuhiji ninkuwa na uwezo wa mali! 8m kwenda kuhiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China Tatizo Lugha, ila kwa Urusi fursa za kubeba box huwa si kwa sana, wanaokaa urusi wengi ni shule tu hakuna fursa ya kukutoa kimaisha utaishia kupata ujiko wa kuishi ughaibuni tu,

Kwa upande wa uarabuni ni wabaguzi kinoma wale waarabu sijui wanahubiri ustaarabu gani, si wastaarabu hata kidogo
 
Waarabu wana roho mbaya sijui kwanini Mungu aliwatunuku neema wa uislamu....niwabaguzi washirikina wakubwa nawauwaji hawana huruma na mtu mweusi.....wakiwakamata wote baada ya hijja wanawakusanya we usi wote na wanawaweka kwenye Ndege moja inayo tua Africa hawajali wewe umetokea nchi gani ili mradi wewe ni mweusi.....watu wanachukia uislamu kwasababu ya tabiya za waarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uislamu ndo unawafundisha hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China ni kinara wa ukiukwaji wa haki za binadamu. Ndugu yako akikamatwa na kufungwa kama mfungwa wa kisiasa agana nae kabisa kufia jela kwao ni kawaida

Apparently organs za wafungwa ni biashara ya serikali. Ini,moyo na figo ni common commodities from China.
 
Swali lako ni sawa na langu ambalo ujiuliza kila siku kuhusu china, Sijawahi kusikia wimbo wowote wa kuchina au kusikia mwanamziki maarufu wa china amefariki au ametenda jambo flan, au timu ya mpira ya china, mawazir wa china nk.
 
Back
Top Bottom