mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,840
Mkuu sikubaliani nawahamiaji haramu, ila nasemea jinsi hao waarabu wanavo haddle na kutreat hao watu sio vizuri inaunyesha uraho mbaya wao....imagine umekusanya hao kutoka nchi mbali mbali unawapakia kwa ndege endayo Congo si ni mateso zaidi wengine unawafungwa bila hukumu wewe angalia Libya tu jinsi inavo uza Africa weusi. Waarabu ni nuksiNaona umeanza kashifa ingawaje hunifahamu kwa the smallest percentage unit!! Tena usisahau, ulivyozungumzia awali wala huku-specify hao wanaorudishwa ni watu wa aina gani lakini uliyekuwa umem-quote alikuwa anazungumzia Mahujaji na hapo wewe ukasema:Wakiwakamata wote baada ya Hijja, hao "wote" ni akina nani hasa ukizingatia Mchangiaji alikuwa anazungumzia Maujaji?!
Ghalfa unabadilika na kudai hao ni vibarua wanaoenda kuwahudumia mahujaji!Sasa kama sio unafiki tuite nini?! According you, hao wameenda pale temporarily, sasa ulitarajia wabaki hadi lini wakati kazi iliyowapeleka imeshaisha?! Ni nchi ipi ambayo wangeenda kutoa huduma kwa muda na kisha wakaruhusiwa waendelee kubaki?! Tena umesema wazi kwamba wanaingia Saudi Arabia kwa maboti!! Hivi hao watakuwa wameingia kihalali hao? Nitajie nchi moja ambayo hata baada ya kuona wahusika ni wahamiaji haramu, bado wanaendelea kuishi nao?! Tanzania mara ngapi tumewarudisha Waafrika wenzetu kwao baada ya kuona wameingia kinyume cha utaratibu?! Mara kwa mara tunawakamata Wa-Ethiopia hapa ambao sio kwamba wanakuja Tanzania, lakini wanajipitia zao kwenda SA kutafuta maisha lakini sisi tunawadaka na kuwapeleka mahakamani! Ile government shutdown ya US ni ya nini kama haijasababishwa na Donald Trump kutaka kujenga ukuta kuzuia wahamiaji haramu?!
Sent using Jamii Forums mobile app