Kwa akili za wazanzibari watavunja mlango tu wakutoe mzimamzima
 
Kwa akili za wazanzibari watavunja mlango tu wakutoe mzimamzima
watajuaje unakula, ama ukila unapiga makelele au wale samaki mlonunua pamoja pale sokoni ulikua unawapeleka wap πŸ’

ndio maana nasema observe table manners hakuna atakae jua unakula au umekula πŸ’
 
watajuaje unakula, ama ukila unapiga makelele au wale samaki mlonunua pamoja pale sokoni ulikua unawapeleka wap πŸ’

ndio maana nasema observe table manners hakuna atakae jua unakula au umekula πŸ’
Makaangizo hayana siri
 
swali la kujiuliza, ni mungu wa aina gani hawa jamaa wanaabudu, wamefura kwa hasira utafikiri wamefanywa chochote, kumbe mtu alikula chakula kwa pesa yake na bila kuwaingilia kwa chochote. huyu mungu wao lazima ni mbaya sana, naye ni shetani kabisa. sio Mungu yule ambaye wengine tunaabudu. uislam ni ushetani wa wazi wazi.
 
Makaangizo hayana siri
hata walio funga wanakaanga na hakuna mwingine anampangia mwingine ale saa ngap πŸ’

bado nasisitiza kuobsave table manners ndio suluhi pekee ya changamoto hiiπŸ’
 
Hawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.

Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi
Wanafahamu kwamba Mzanzibari mwenzao ni rais huko bara? Au hawamtambui?

Ni kwanini baadhi ya waislamu huwa wanapenda kuwalazimisha watu wengine kufuata imani yao?
 
Kule Zanzibar kuna ustaarabu wake mijitu mingi ya Tanganyika ikija kule inataka kufanya uchokozi kwa makusudi matokeo yake ndio hayo apo, mimi ushauri wangu kama huna kazi ya maana huna haja ya kwenda Zanzibar na ndo maana tunaomba duaa passport zirejeshwe kuingia Zanzibar ili kuondoa vitendo kama ivi
 
Nimeambiwa Zanzibar kuna wakristo pia, sasa kama kuna wakristo, kuweka taratibu za nchi zinazolinda dini moja sio jambo zuri. Unataka wakristo wazanzibar waende wapi kila inapofika wakati wa Ramadhani?
 
jamani wabara wenzangu muda mwengine inabidi tujifunze kuheshimu tu sheria na tamaduni za eneo husika mana huo ndio utamaduni wao hata kabla yamuungano kwamba mwez wa ramadhani kula mchana tena mbele za watu ni kinyume cha sheria unguja.
 
Alafu Rais wao kakaa kimya walipiga wamasai saivi mbara yyte!!
hivi bara wakianza kudunda wazenji itakuwaje? Nahivi walivyo dhaifuu siwatadanja hawa.
Marais wetu woote wazanzibari embu waseme kitu kukemea
 
Aisee hata hapo upanga dsm karibu na Campus ya MUDCC ,kipindi cha ramadhani migahawa mingi hufungwa.

Hawa ndugu zetu waislamu kiukweli huu si uungwana kabsaa. Huku Bara tukiamua kuwafanyia hivyo itakuwaje? Hata kwenye huduma tu kata,ardhi,elimu n.k?
Kwani wauslamu walioko Bara wenyewe wanasema je?
 
Nchi hii haitotokea watu wakaelewana na kuwa na umoja wenye nguvu wa kuiondoa Ccm madarakani !

Vitu vidogo vidogo tu vinawafanya wasielewane na wasiaminiane kabisa !!

Kweli CCM ni kiboko yao πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£ !
 
Moderators unganisheni hizi nyUzi zenye malalamiko kuhusu Zanzibar zimekuwa nyingi.

Hizi picha/video hazipendezi. Wazanzibar na viongozi wao wajitathmini. Kuna dhambi kubwa zaidi zinafanyika huko kuliko hizi za wasio fungal wazifanyie kazi.
Wasizionganishe acha watu wachambue hili suala from their perspective.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…