fesyto4
Member
- Aug 4, 2016
- 17
- 48
Ndugu wana jukwaa hili habari za Jumapili!
Ndugu zangu nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wamekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi?
Kwa mfano kila anayeandika habari ya maisha magumu ya watumishi anatolea mfano mwalimu, Nyongeza ya mshahara imebuma et wanaolalamika ni walimu kwan kada zingine hawalalamiki?
Hii sio tabia nzuri kabisa wengi humu maisha yetu hd kufikia hapa unatoa lugha mbaya mwalimu ndiyo aliekuwezesha kuweza kujua kuandika na kusoma hvyo tuwape heshim zao kwa kile hata kidogo walichotusaidia.
Tuwaheshimu km tunavyowaheshimu kada zingine jitafakari sana ww unayewananga walimu kiukweli tunawkosea sana km huna cha kuandika ni vema ukatulia