Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,371
- 3,146
Tate punguza hasira, naona wamekugusa kwenye maeneo nyeti.Sahihi kabisa! Jamii Forums ya sasa imejaa watoto wengi waliomaliza vyuo, halafu wana smartphone, huku wakiwa hawana ajira.
Kila siku tunawashauri wajiajiri, hawataki! Badala yake wamechagua maisha ya kula na kulala bure kwq wazazi/ndugu zao! Wakishiba, ndiyo utawaona sasa wakija humu jukwaani na mada za ajabu ajabu, na zilizojaa utoto mwingi.
Mtu mwenye akili timamu, hawezi kumdharau hata muokota makopo, au msukuma mkokoteni! Maana hiyo ndiyo kazi yake inayo muingizia kipato. Kamwe huwezi kumlinganisha na jobless aliyejibanza kwa wazazi wake, huku anagongea hela ya bando ili aje alete maneno ya kejeli humu jukwaani.