Kwani Walimu wamewakosea kitu gani Watanzania?

fesyto4

Member
Aug 4, 2016
16
47
Ndugu wana jukwaa hili habari za Jumapili!

Ndugu zangu nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wamekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi?

Kwa mfano kila anayeandika habari ya maisha magumu ya watumishi anatolea mfano mwalimu, Nyongeza ya mshahara imebuma et wanaolalamika ni walimu kwan kada zingine hawalalamiki?

Hii sio tabia nzuri kabisa wengi humu maisha yetu hd kufikia hapa unatoa lugha mbaya mwalimu ndiyo aliekuwezesha kuweza kujua kuandika na kusoma hvyo tuwape heshim zao kwa kile hata kidogo walichotusaidia.

Tuwaheshimu km tunavyowaheshimu kada zingine jitafakari sana ww unayewananga walimu kiukweli tunawkosea sana km huna cha kuandika ni vema ukatulia
 
Mm Nahisi shida imeanzia kwa walimu na jinsi wanavowatreat watu au watoto wakiwa na vimadaraka flan Ila sisemei wote unakuta mwalimu anashida zake nje ya shule anakuja kumalizia stress zake kwa wanafunzi hadi wengne wamepelekea kuua n.k kwa hii imepelekea watu kupata hisia tofauti tu juu ya Hawa walimu na kngne Hao ndo walitumika kuiba kura kipindi flani wapo wengne wataendeleza
 
uisije hata siku moja ukajichosha na habari za watu wengi wao wanakuwa na chuki dhidi ya walimu baada ya kukosa kazi zinazotangazwa na pia ile hali ya walimu kuajiriwa kila mwaka inawafanya wawe na chuki juu yao
 
Ndugu wana jukwaa hili hbr za Jumapili! Ndg zangu nmekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wmekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi? Kwa mfano kila anayeandika hbr ya maisha magumu ya watumishi anatolea mfano mwalimu, Nyongeza ya mshahara imebuma et wanaolalamika ni walimu kwan kada zingine hawalalamiki ? Hii sio tabia nzuri kabisa wengi humu maisha yetu hd kufikia hapa unatoa lugha mbaya mwalimu ndiyo aliekuwezesha kuweza kujua kuandika na kusoma hvyo tuwape heshim zao kwa kile hata kidogo walichotusaidia. Tuwaheshimu km tunavyowaheshimu kada zingine jitafakari sana ww unayewananga walimu kiukweli tunawkosea sana km huna cha kuandika ni vema ukatulia
Wengi wa wanaoandika hivyo wako obsessed,wengine wanafurahisha genge tu na wengine ni walimu wanafanya satire tu.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Aise ila tanzania walimu wanasharaulika sana na mfumo

Muda sana nliendaga Namibia nlipokelewaga na mtanzania ambaye
Alikuwa mwalimu huku akalaga kona
Kwenda huko kufanya ualimu..
Aise maisha ya tu super

Kwa sasa tanzania ukimuliza mtoto anakuambia anataka kuwa kama mondi,au harmonise zuchu nandy
Au baba level mwijaku st3ve Nyerere
Ualimu ahh anaona kama kitu cha ajabu
Walimu tanzania licha ya kufanya kazi kubwa lakini wanatumika kama toilet paper

Ova
 
Ndugu wana jukwaa hili hbr za Jumapili! Ndg zangu nmekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wmekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi? Kwa mfano kila anayeandika hbr ya maisha magumu ya watumishi anatolea mfano mwalimu, Nyongeza ya mshahara imebuma et wanaolalamika ni walimu kwan kada zingine hawalalamiki ? Hii sio tabia nzuri kabisa wengi humu maisha yetu hd kufikia hapa unatoa lugha mbaya mwalimu ndiyo aliekuwezesha kuweza kujua kuandika na kusoma hvyo tuwape heshim zao kwa kile hata kidogo walichotusaidia. Tuwaheshimu km tunavyowaheshimu kada zingine jitafakari sana ww unayewananga walimu kiukweli tunawkosea sana km huna cha kuandika ni vema ukatulia
Wasikuumize moyo,roho na hata akili.Kaa uelewe tu ni kwamba walimu wanapendwa.Changamoto ni kuwa wanataniwa sana.Down-under walimu wanapendwa sana.
 
Ndugu wana jukwaa hili habari za Jumapili!

Ndugu zangu nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wamekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi?

Kwa mfano kila anayeandika habari ya maisha magumu ya watumishi anatolea mfano mwalimu, Nyongeza ya mshahara imebuma et wanaolalamika ni walimu kwan kada zingine hawalalamiki?

Hii sio tabia nzuri kabisa wengi humu maisha yetu hd kufikia hapa unatoa lugha mbaya mwalimu ndiyo aliekuwezesha kuweza kujua kuandika na kusoma hvyo tuwape heshim zao kwa kile hata kidogo walichotusaidia.

Tuwaheshimu km tunavyowaheshimu kada zingine jitafakari sana ww unayewananga walimu kiukweli tunawkosea sana km huna cha kuandika ni vema ukatulia
WaLIMu ndio watu pekee wanaçharazwa bakora hadharani na wanasiasa kwa kuwa kwanza WaLIMu hawajiamini, pili hawana kauli thabiti, wanasukumwa na kupelekeshwa kama unyasi Mbele ya upepo. Tatu ni wanafiki sana na ni wazandiki.

Hasira zao wanaziondolea kwa watoto wa masikini, yaani WaLIMu ndio wanawabikiri mabinti zenu na kuwalawiti watoto wenu wa kiume
 
CC; Katelephone Mmepewa-jaaliya.
 
Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom