Kwani Walimu wamewakosea kitu gani Watanzania?

Tatizo wivu. Mm ni mwl lkn naenjoy maisha balaa na mm pamoja na wensangu tuna maendeleo makubwa tu sana. Kikubwa malengo. Mm hua sibabishwi Wala kutishwa na maneno ya wqnaoponda walimu. Wao waendelee tu kutuponda hakuna tatizo lolote
Sasa tutaaminije bila picha
 
Wana upeo mdogo sana
Wewe ni mpumbavu kuliko upumbavu wenyewe! Elimu Yako ni ya kiwango Cha chini mno na huenda imekusaidia kujua kusoma na kuandika TU jambo ambalo hukuzaliwa nalo Bali ulifunzwa na walimu! Kummiliki simu janja hakukufanyi kuwa una elimu Sana kwani hata wadada wa kazi wanazimiliki Tena za bei ghali kuliko haki ka techno Kako! Kuwa na adabu Kwa walimu.
 
Mueleze jinsi walimu walivyo na upeo mkubwa wa akili.Usimtukane.
 
Mimi naona kama mnahisi kuandamwa mbona nyie mnauwezo wakuwalipiza Kwa kupuuzia maendeleo ya watoto wao wanasoma huko?
 
Wanaosimangwa ni wale waalimu walevi,wale watoro ila kwenye kuchukua mishahara wa kwanza. Sio waalimu wote wana njaa.

Na kingine kilichowaponza ni kutaka kila ajira za muda zinapotoka wao ndio wapewe wakati kuna mamia ya vijana wapo jobless. Mfano anuani ya makazi,ukarani vitambulisho vya mpiga kura,sensa,uchaguzi ila sana sana kilichowaharibia ni anuani ya makazi walipocheleweshewa posho wakaandamana
 
walimu wanagombania kazi za sensa na jobless mnafikiri kwanini wasiwadharau
kazi za uchaguzi mkuu mnatafutiana nyie kwanini wasiwatukane
 
walimu wanagombania kazi za sensa na jobless mnafikiri kwanini wasiwadharau
kazi za uchaguzi mkuu mnatafutiana nyie kwanini wasiwatukane
Kwa kweli walimu ni HOPELESS.

Wana haki ya kudhihakiwa.

Hawajitambui wala hawajui kulinda hadhi yao.

Huwezi kumkuta Wakili anagombania ajira za sensa. Duh.
 
Wanaosimangwa ni wale waalimu walevi,wale watoro ila kwenye kuchukua mishahara wa kwanza. Sio waalimu wote wana njaa.

Na kingine kilichowaponza ni kutaka kila ajira za muda zinapotoka wao ndio wapewe wakati kuna mamia ya vijana wapo jobless. Mfano anuani ya makazi,ukarani vitambulisho vya mpiga kura,sensa,uchaguzi ila sana sana kilichowaharibia ni anuani ya makazi walipocheleweshewa posho wakaandamana

Hivi kumbe waliandamana kabisa
 
Ukizingatia idadi ya wanaokesha mitandaoni kuomba ajira za ualimu, utapuuza hizi porojo zote za kubeza walimu….. ni wivu tu.
Sahihi kabisa! Jamii Forums ya sasa imejaa watoto wengi waliomaliza vyuo, halafu wana smartphone, huku wakiwa hawana ajira.

Kila siku tunawashauri wajiajiri, hawataki! Badala yake wamechagua maisha ya kula na kulala bure kwq wazazi/ndugu zao! Wakishiba, ndiyo utawaona sasa wakija humu jukwaani na mada za ajabu ajabu, na zilizojaa utoto mwingi.

Mtu mwenye akili timamu, hawezi kumdharau hata muokota makopo, au msukuma mkokoteni! Maana hiyo ndiyo kazi yake inayo muingizia kipato. Kamwe huwezi kumlinganisha na jobless aliyejibanza kwa wazazi wake, huku anagongea hela ya bando ili aje alete maneno ya kejeli humu jukwaani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom