Kwani Walimu wamewakosea kitu gani Watanzania?

Aise ila tanzania walimu wanasharaulika sana na mfumo

Muda sana nliendaga Namibia nlipokelewaga na mtanzania ambaye
Alikuwa mwalimu huku akalaga kona
Kwenda huko kufanya ualimu..
Aise maisha ya tu super

Kwa sasa tanzania ukimuliza mtoto anakuambia anataka kuwa kama mondi,au harmonise zuchu nandy
Au baba level mwijaku st3ve Nyerere
Ualimu ahh anaona kama kitu cha ajabu
Walimu tanzania licha ya kufanya kazi kubwa lakini wanatumika kama toilet paper

Ova

Kwanza walimu popote walipo ni watu wavurugu sana halafu hawana exposure ya mambo mengine ya kidunia hata vyuoni wao ndio huvaa kishamba sana, walimu wajanja walisoma ualimu Tanzania wakaruka Botswana kwenye ile miradi ya elimu vijijini huko wako na waganda na wakenya, wanalipwa hadi milioni tatu ya bongo kwa mwenye diploma tu, kwahiyo ukiacha hali ngumu lakini walimu wa bongo nao miyeyusho tu
 
Lakini ukipata mke mwalimu kama haujaoa chukua hua ni walezi wazuri wa watoto nyumbani.
 
Kwanza walimu popote walipo ni watu wavurugu sana halafu hawana exposure ya mambo mengine ya kidunia hata vyuoni wao ndio huvaa kishamba sana, walimu wajanja walisoma ualimu Tanzania wakaruka Botswana kwenye ile miradi ya elimu vijijini huko wako na waganda na wakenya, wanalipwa hadi milioni tatu ya bongo kwa mwenye diploma tu, kwahiyo ukiacha hali ngumu lakini walimu wa bongo nao miyeyusho tu
Hapa wasubirie deal za sensa,deal za wakat wa uchaguzi basi

Ova
 
Ukiona unamdharau mwalimu Basi ujue we ndo huna akili au pengine hujui hata maana ya mwalimu
Mkuu inaelekea una mentality ya kijima sana, hatutegemei mtu mwenye kujielewa akajenga this assertion ,sorry to say that!
-Binadamu atakuwa defined kwendana na anavyo-behave, huo ndo ukweli wenyewe.
-Hii habari ya kwamba mwalimu anapaswa kuheshimiwa tu Kwan sababu ni mwalimu ni ujinga wa halo ya juu, heshima hujengwa na ku-act responsibly my friend 🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Polish_20220723_141024220.png
    Polish_20220723_141024220.png
    178.4 KB · Views: 8
Yanawakuta kutokana na aina ya reasoning yao, kuna muda unasoma baadhi ya mawazo yao kwenye mijadala hadi unajiuliza “huyu ndiye anafundisha wanetu?”
Kwa mfano mwl gani alieleta mjadala wa reasoning mbovu humu?!

Kama in mada topic za kipuuzi bingwa humu mnakashani ni GENTAMYCINE nae sidhani hata kama no mwalimu.
 
Hapa wasubirie deal za sensa,deal za wakat wa uchaguzi basi

Ova

May mosi wanavishwa form six tishirt na kofia oversize, wakimaliza sherehe wakapelekwa kula ubwabwa basi shangwe hadi jino la mwisho, na wakipewa kusimamia uchaguzi wanajiita maafisa uchaguzi, sensa kama hizo wanadaka michongo ndio mambo yameishia hapo walimu wajanja ni wachache sana sana ogopa mtu anamiaka mitano au kumi kazini anawaza hela ya kustaafu ndio atafanyia maendeleo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom