aaa
ana nyama tam sana
Mkuu kiutaalam imehakikishwa lakini?ila kuhusu maandiko hapo siweki nenoNguruwe aliumbwa kama mnyama msafisha mazingira na anashambuliwa na wadudu kibao ambao kwake hawana madhara ila hata ukimkaanga hawafi so watahamia kwako ukila, so ni tatizo. si vema kula pork. tumia fish mkuu, fish ndo recommendable.
Mambo ya Walawi, Chapter 11: [SUP]11:7[/SUP] Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.[SUP]11:8[/SUP] Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.@Excellent
Nguruwe aliumbwa kama mnyama msafisha mazingira na anashambuliwa na wadudu kibao ambao kwake hawana madhara ila hata ukimkaanga hawafi so watahamia kwako ukila, so ni tatizo. si vema kula pork. tumia fish mkuu, fish ndo recommendable.