Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 8,571
- 2,068
Mbunye inamagonjwa lakini wenzako wanaila, hata ww umeamua kuinunua na kukaanayo nyumbani mtu asikubughudhi.
Kaka kuwa Mstaarabu kidogo.
Mbunye inamagonjwa lakini wenzako wanaila, hata ww umeamua kuinunua na kukaanayo nyumbani mtu asikubughudhi.
Mkuu kiutaalam imehakikishwa lakini?ila kuhusu maandiko hapo siweki neno
Kwa kukaanga tu ndo inafaa unachanganyia na ndizi mshale au mzuzu za kuchoma shushia na safari Lager siku saaafi
Mkuu kiutaalam imehakikishwa lakini?ila kuhusu maandiko hapo siweki neno
@Ukwaju, hapo kwenye highlight... ushauri ni kwua shushia na Castle Lite bariiiiiidi, ndo utafaidi utamu wakeKwa kukaanga tu ndo inafaa unachanganyia na ndizi mshale au mzuzu za kuchoma shushia na safari Lager siku saaafi
Hiyo huikaangi bali inajikaanga yenyewe bana. Huyo mbuzi mtamu utafikiri amejiumba mwenyewe.yaani unajihisi vizuriiiiiiiii,au kaanga uchanganyie na mboga za majani halafu ule nao ugali
Mkuu tunashukuru sana kwa mistari hiyo mitakatifu, hata ss tunaisoma kila mara makanisani, tatizo sijaona mahali pameandikwa hiyo kitu imeumbwa kusafisha jiji, ni nyama kama nyama zingine na Yesu mwenyewe alisema najisi si kimuingiacho mtu mdomoni na kumtoka hukooo, bali kimtokacho mtu mdomoni..Nguruwe aliumbwa kama mnyama msafisha mazingira na anashambuliwa na wadudu kibao ambao kwake hawana madhara ila hata ukimkaanga hawafi so watahamia kwako ukila, so ni tatizo. si vema kula pork. tumia fish mkuu, fish ndo recommendable.
Mambo ya Walawi, Chapter 11: [SUP]11:7[/SUP] Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.[SUP]11:8[/SUP] Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.@Excellent
Mathayo, Chapter 5 [SUP]5:17 (Bwana YESU Amesema hivi) [/SUP] Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.Mkuu tunashukuru sana kwa mistari hiyo mitakatifu, hata ss tunaisoma kila mara makanisani, tatizo sijaona mahali pameandikwa hiyo kitu imeumbwa kusafisha jiji, ni nyama kama nyama zingine na Yesu mwenyewe alisema najisi si kimuingiacho mtu mdomoni na kumtoka hukooo, bali kimtokacho mtu mdomoni..
Ni Kweli Wanaokula huyo Nguruwe Wamelaaniwa na Mungu kwa kuwa mumevunja amri ya Mwenyeezi Mungu.Nasikia tunaokula huyu noah! Tumelaaniwa kweli?