Waziri TAMISEMI muige waziri wa kilimo sio dhambi!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Moja ya changamoto iliyukuwa inamuuzi Mwendazake Enzi za utawala wake ilikuwa ni poor communication miongoni mwa wizara yaani mawaziri wao Kwa wao hawawasiliani kabisa hawabadilishani uzoefu.

Ili tatzo limeandelea kujitokeza mpaka serikali ya awamu sita ya Mh Samia Suluhu Hassan yaani mawaziri hawawasiliani kamwe.

Mathalani tumekuwa na kilio kikubwa cha upotevu WA fedha za halimashauri ambapo vijana wengi walio pewa hizo hizo za asilimia kumi hazirudi kamwe.
Vijana wengi walio pewa fedha hizo hawajazirudisha. Kamwe

MH Makamu wa rais ana lalama hadharani
Waziri analalama hadharani

Leo hii kamanda takukuru wanajitia kuingilia Kwa kuwatisha walio kopa fedha hizo, sasa swali takukuru na masuala ya mikopo inausikaje?
Takukuru itatumia Sheria IPI kuwakamata walio kopa na hawalipi?
Takukuru walitakiwa kuingilia Kati wakati wa utolewaji WA fedha hizo maana kuna mikopo hewa mingi, kuna mikopo iliyoliwa na watumishi wa halimashauri kibao wasio staili taarifa zmeandikwa nyingi hapa hakuna walio kamatwa.

Mawasiliano!

Mathalani waziri wa kilimo Enzi za utawala WA mwendazake ilibaini upotevu mkubwa fedha za umma katika vyama vya ushirika Kwa kuanzia na mabilioni ya Jakaya ILi yaweze KUREJESHA wizara kupitia Tume ya maendeleo ya ushirika ulikuja na wazo la kutoa tenda Kwa kampuni binafsi za watu wenye weredi na waaminifu kuhakikisha fedha hizo zinarejeshwa katika ili wizara ilikuja na wazo la kuto watumia madalali walio kuwa chini ya wizara ya fedha wala haikutaka kutumia court blocker walio chini ya wizara y Sheria na katika chini ya mahakama kuu wao waliamua kuja na wazo Lao jipya wakatoa leseni Kwa taasisi Kwa jina la Service provider Kwa wazo ILO Kwanza wizara lazima ipongezwe maana Kwanza

Kupitia leseni walizo toa waliingia kipato serikalini pili taasisi zilizopewa leseni ziliongeza ajira.
Tatu vyama vingi vilivyokuwa na changamoto.ya madeni vilisaidiwa na mpaka Leo vinasaidiwa .

Kwa nini waziri wa tamisemi hasitangaze tenda kama ilivyotangaza wizara ya kulimo wakatoa leseni Kwa taasis zenye watu wenye weredi? Wakatoa huduma hiyo ya kukamata majizi yanayoiba fedha za umma Kwa mgongo wa mikopo ya halimashauri?

Wizara ya kulimo ilipoamua kutoa leseni ilifanikiwa maana taasisi zilizopewa leseni hizo.zilikuwa ni private sector zipo zilizoboronga kzi na zipo zinazo fanya vizur Sana mpaka hivi zinaendelea kufanya vizur na zilisaidia Kwa namna moja kuvikomboa vyama vilivyokuwa na changamoto ya madeni sugu ambayo yalikopwa na baadhi ya watumishi wasio waaminifu lakini pia taasisi hizo kupitia watendaji wake waliweza kuwakamata Vigo wa kiasiasa walio kuwa wamepiga fedha za vyama vya ushirika Kwa nguvu za dora na siasa ukweli ulijulikana.

Ushauri

Waziri wa Tamisemi anatakiwa kuunda kikosi kazi kama sio kikosi kazi anaweza IGA wazo la wizara ya kilimo na kuhakikisha mikopo hiyo inafatiliwa Kwa weredi

Kwa nini sikubaliani na Takukuru kufanya kazi hiyo?
Lazima tujiulize takukuru wanaingia hapo?ikumbukwe waliwai tumiwa kwenye utawala WA Mwendazake kufatilia madeni katika vyama vya ushirika yaliyo jiri,alipo aga dunia Tu moja ya katazo la Kwanza la raisi Samia lilikuwa ni ILO maana MH raisi alisema bayana yakuwa sio kazi Yao wanapuyanga badala yake wafanye kazi zao Kwa mujibu wa Sheria na code of conduct ya kzi zao.

Leo hiii takukuru wanaingiaje hapo?

Zama za kuendesha shughuli za serikali Kwa njia ya vitisho zishapitwa na wakati watu takukuru MNATAKIWA kufanya kazi Kwa kuzingatia weredi sio vitishoooo.
 
Back
Top Bottom