Toka ujanani mpaka sasa kwangu mimi kipimo kikubwa ni asiyependa kunijua kiundani sanaaa
Maholangumbi.
Mkuu huo upumbavu siwezi fanya kabisaaa, hata mahari silipi iwe kujenga ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume kukonda kukonda na mwanamke kunenepa wakiwa katika ndoa je shida ipo kwa nani????
Na kuna usemi mmoja unasema kuwa ,ukiona mwanamke ananenepa akiwa kwenye ndoa na mwanaume wake kukonda jua kuna shida kwa mwanamke,je wewe unachukuliaje hilo?
Gily,
Alafu we mshikaji, yani unataka uchukue bure bure hata mahari ulipi, mabaharia mna kazi sana mjue.
Nenda kalipe mahari mbona malaya unamlipa alafu mke unaona unatupa. Kalipe alafu akikutenda uje utusimulie???
Aiseeee wewe hufai hata kwa bure, mwanamme unachamba mtu kibongoroshorooo namna hiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaaaaaaaaaaaaaa mie najua nyie nyie ndo mnasema hamuongi kumbe unakuta umeenda na malaya guest alafu unanyonya ziwa anakuibia kila kitu hahahah afu kuna kitu nilisikia eti watu wananyonya malaya chuchu na kumlipa wanamlipaHahahahaha hata malaya simpi hata hamsini ya zamani. Unajua ndoa ni furaha ya wote alafu kuna vitu vingi unampa yeye na ndugu zake as mnavyoishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu hizo mambo zipo ila mm sio mmoja wao hahahahahaha asante kwa kuhamasika.Alaaaaaaaaaaaaaa mie najua nyie nyie ndo mnasema hamuongi kumbe unakuta umeenda na malaya guest alafu unanyonya ziwa anakuibia kila kitu hahahah afu kuna kitu nilisikia eti watu wananyonya malaya chuchu na kumlipa wanamlipa
Ndugu hizo mambo zipo ila mm sio mmoja wao hahahahahaha asante kwa kuhamasika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada kama tuna fanana vile
hayo ndo maisha yetu na mme wangu mpaka leo july 27 tunatimiza mwaka wa nane sijaweza kula kabla hajafika nyumbani atanitaarifu nile kama atachelewa ila najikuta tu namsubiri tunaishi maisha ya kawaida ila tunajionaga matajiri sababu ya amani iliyopo ndani kwetu ni ndoa tamu bwana hasa ukimpata mtu mtakae endana kwa anavyo ni care si mfuasi wa lile tendo ila akikohoa tu naachia muda wowote nampenda sana huyu msukuma una bahati kweli hongera