Kwako kipimo cha mke bora ni kipi?

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,090
2,000
Toka ujanani mpaka sasa kwangu mimi kipimo kikubwa ni asiyependa kunijua kiundani sanaaa

Maholangumbi.
Ujana 13 - 45, yani toka uko na umri huo unaficha kadi za benki, nyumba unazo mbili moja madale nyingine mbezi, una daladala ya ubingo masaki na hutaki ajue mambo yako kabisa. Na unapenda yule mwenza ambaye hajui hata kama mko kwenye mahusiano, mnaishi tu hahah
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,090
2,000
Mwanaume kukonda kukonda na mwanamke kunenepa wakiwa katika ndoa je shida ipo kwa nani????
Na kuna usemi mmoja unasema kuwa ,ukiona mwanamke ananenepa akiwa kwenye ndoa na mwanaume wake kukonda jua kuna shida kwa mwanamke,je wewe unachukuliaje hilo?
Gily,
Kukonda kunaweza kukawa na sababu nyingi, ila kikubwa kuridhika. Kuna watu wamenenepa na wana vitambi ukiuliza wanafanya kazi gani utashangaa, kumbe muuza madafu. Amani inaanzia ndani ya mtu, ukiwa na miwazo na ukawa huna raha moyoni huwezi nenepa, na mkeo ndio mtu wa kwanza kuwa burudani au furaha yako, Unawez pitia maisha magmu sana ila ukawa unaona kawaida kwa kuwa uko na mwenza anayekujali

Mfano: Ukiwa shuleni umefeli, ukienda kwenye ubao ukafadhaika kwa kufeli, ila ukiona na wenzako tena wale wa karibu wamefeli basi utaona sawa tu, hata wale wamefeli unakuwa hufadhaiki sana.

Mie naamini ulichokisema, ukiona mwenzako anakonda basi ujue maneno maneno. Ukirudi nyumbani alafu mwanamke anakupokea kwa kashfa hata chakula unaweza ukala lakini hushibi vizuri. Ila kuna wengine wanakonda kwa magonjwa labda visukari, presha au mengine tu. Unatakiwa umjue mtu na ndoa yake kiundani kuelezea kwa nini amekonda..
 

google helper

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
8,135
2,000
Hahahahaha hata malaya simpi hata hamsini ya zamani. Unajua ndoa ni furaha ya wote alafu kuna vitu vingi unampa yeye na ndugu zake as mnavyoishi.
Alafu we mshikaji, yani unataka uchukue bure bure hata mahari ulipi, mabaharia mna kazi sana mjue.

Nenda kalipe mahari mbona malaya unamlipa alafu mke unaona unatupa. Kalipe alafu akikutenda uje utusimulie???
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,090
2,000
Aiseeee wewe hufai hata kwa bure, mwanamme unachamba mtu kibongoroshorooo namna hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie sijachamba nawaomba msahama kama imekuja ikatokea ivyo. Mie nimewaandikia vijana wenzangu tu iwe kama fundisho. Lengo si kumchafua ex wala lengo si kumpa sifa za kumpoteza mchumba, yote nimeweka moyoni. Lengo langu kubwa vijana wenzangu wajifunze kutoka kwangu

Hakuna kitu kibaya dada yangu kama kuishi na mtu ambaye si sahihi kwako utakuja kunambia tu, kibaya mno. .
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,090
2,000
Hahahahaha hata malaya simpi hata hamsini ya zamani. Unajua ndoa ni furaha ya wote alafu kuna vitu vingi unampa yeye na ndugu zake as mnavyoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alaaaaaaaaaaaaaa mie najua nyie nyie ndo mnasema hamuongi kumbe unakuta umeenda na malaya guest alafu unanyonya ziwa anakuibia kila kitu hahahah afu kuna kitu nilisikia eti watu wananyonya malaya chuchu na kumlipa wanamlipa
 

google helper

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
8,135
2,000
Alaaaaaaaaaaaaaa mie najua nyie nyie ndo mnasema hamuongi kumbe unakuta umeenda na malaya guest alafu unanyonya ziwa anakuibia kila kitu hahahah afu kuna kitu nilisikia eti watu wananyonya malaya chuchu na kumlipa wanamlipa
Ndugu hizo mambo zipo ila mm sio mmoja wao hahahahahaha asante kwa kuhamasika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ommy gm

Member
Aug 22, 2018
39
150
Mtoa mada kama tuna fanana vile
hayo ndo maisha yetu na mme wangu mpaka leo july 27 tunatimiza mwaka wa nane sijaweza kula kabla hajafika nyumbani atanitaarifu nile kama atachelewa ila najikuta tu namsubiri tunaishi maisha ya kawaida ila tunajionaga matajiri sababu ya amani iliyopo ndani kwetu ni ndoa tamu bwana hasa ukimpata mtu mtakae endana kwa anavyo ni care si mfuasi wa lile tendo ila akikohoa tu naachia muda wowote nampenda sana huyu msukuma una bahati kweli hongera
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,090
2,000
Mtoa mada kama tuna fanana vile
hayo ndo maisha yetu na mme wangu mpaka leo july 27 tunatimiza mwaka wa nane sijaweza kula kabla hajafika nyumbani atanitaarifu nile kama atachelewa ila najikuta tu namsubiri tunaishi maisha ya kawaida ila tunajionaga matajiri sababu ya amani iliyopo ndani kwetu ni ndoa tamu bwana hasa ukimpata mtu mtakae endana kwa anavyo ni care si mfuasi wa lile tendo ila akikohoa tu naachia muda wowote nampenda sana huyu msukuma una bahati kweli hongera
Kwanza kabisa nashukur sana na wewe hongera nyingi? Ila wasukuma wakorofi sana huyo jamaa ni msukuma kweli???
Nishafika Tabora kwa wasukuma wale wamama walitupikia vyakula vingi makuku kwa manyama, cha kushangaza waliteleta vyote tukala tulivyomaliza tukawapelekea wale wamama wale yale makombo, kwa kweli sikupenda hata kidogo. Alafu baba mkwe ukikutana nae njiani unampigia magoti anazungumza weee mwisho akiondoka ndio unaamka, kwa kweli sijapenda pia

Ukiona mtu ana amani na upendo hata wawe masikini watakuwa na furaha sana. Usibadilike na ukaanza mambo mabaya kwa msukuma wako. Ila niambie basi ex alikufanyaje??????????
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom