mapenzi mahusiano


 1. Mstarabu kiona

  TUNAWAONA WAZURI SABABU TUNAWAPENDA

  Kinachofanya wajione wao bora na wazurii ni Sisi wanaume tunapenda kuwasifu lakinii ukweli ni kwamba hawana uzuriii wowote ndo maana vitu vya urembo vimekuwa vingi kwao ili wapendeze waonekane wazurii. Ila Men tupo really bado tunapendeza na tunavutia
 2. Mstarabu kiona

  MAPENZI YA KUKUTANA MTANDAONI

  Binadamu ni walele walioko mitandaoni na walioko majumbani au mtaani ni walele tu. Naona kuna wanaume au wanawake maneno yanawatoka kusema ety ""siowezii kuwa na mahusiano ya kimapenzii na mtu tuliekutana mtandaoni"". Huko ni kutokujiaminii maana ata wewe unaejifanya unazo Akili na kujitambua...
 3. MASSHELE

  Utapeli mpya Tanzania

  Unaijua biashara ya mtandao? Hii ni siri nzito usiyoijua Biashara ya mtandao – hii ni biashara tofauti na watu kama Facebook, Zoom, matangazo ya kulipia au tovuti na barua pepe. Biashara hii au mfumo huu ambao unaitwa ujasiriamali, mara nyingi si halisi kama watu wanavyouuza mtaani. Watu wengi...
 4. N

  Je ntafanyaje ili mwanamke asipate maumivu wakati wa tendo la ndoa

  Nisaidieni kuhusu hili inakuaje mwanamke anadai anahisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, ni kwamba uume mkubwa au namna ya kufanya nae, ila tatizo style zote anadai maumivu anayasikia
 5. I

  Nimwache akapange au niondoke mimi?

  Habari wanaJF, naomba mnishauri pia kwa hili. Nilikutana na binti mmoja mwaka 2012 katika mazingira ya kazini na tukaingia katika mahusiano, binti huyo alikuwa akiishi kwa dada yake mkubwa ambaye wamechangia mama. Kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba dada yake huyo alikuwa akimnyanyasa na...
 6. J

  Nimehamishiwa kikazi Mwanza nyumbani, natafuta mke tuunde familia

  Habari wana JF, Kwa miaka 6 nilikuwa Dar kikazi, hatimae maono ya kurudi nyumbani kwetu Mwanza yamefanikiwa, na sasa ni mwezi wa 3 nipo Mwanza naendelea na Kazi, nimeshapanga Nyumba, ila upweke unanisumbua, ila nina ukabili kwa nia thabiti ya kumpata Mwenza.. Mke wa Maisha. Hivyo I'm not...
Top