Kwako Kasinde

Kwako Kasinde

Weka namba na type ya gari unaloendesha ukiweka na mitaa ya mizunguko yako itakuwa poa zaidi.
 
Weka namba na type ya gari unaloendesha ukiweka na mitaa ya mizunguko yako itakuwa poa zaidi.

Mkuu usihofu kabisa hivo vitu.
Elewa zanzibar ndio jalala la used zote za Dubai.si vizuri kujisifia lengo ni kumueleza yaliyomo moyoni mwangu.
Kwa nini nifiche.
 
Tafadhali Husika na mada ya hapo juu.

Mm ni kijana nisiezidi miaka 30.ni mwenyeji Wa Zanzibar.
Dhumuni la barua ni kukueleza tangi nipate kukufahamu kupitia Jf.unaukosesha raha moyo wangu.nakupenda hadi najiogopa najiuliza umeufanya nini moyo wangu.nikiona topic yako Mpya tu.fasta naifungua.siku nyingine nakesha kutafuta ulichoandika kwa siku hio.nazipenda swaga zako kwa kweli.na pia nafikiri utakuwa hodari kupika na pia utakuwa hodari kitandani.

Mwisho.nakuomba walau uje kutembelea Zenziberi.na kuahidi nitakupatia zawadi kemkem.maana nimejaribu kutuma Private message wameniambia mwenyewe hupendi hio kitu.so sina njia nyingine zaidi ya kuandika barua ya wazi kwako.

Wako mtiifu.
Micheweni Pemba
BIT Degree Holder.
Mmmmh pamoja na vurugu na fujo zangu humu wewe ndo umejitosa kuniandikia barua, waswahili wanasema itika with kataa maneno. Nimeitika ndugu sasa huko Zanziberi anahitaji nije kwa mapumziko, wacha nicheki schedule ilivo kazini kwa wiki mbili hizo kisha ntakujuza.
Halafu hujazipata fununu, Kasie ni kibibi nearly anastaafu. My age is 43 kwa 30 wewe ni mdogo wangu, being just friends no prob others ukiingia club na mie utachekwa na vijana wenzio
 
Kwa nini nichekwe my Dear Kasie.nadhani watanionea choyo,being 43 years it doesnt mean you are no longer smart.halafu,kilichonivutia zaidi sio umri, ni swaga na upambanuzi ulio nao.

Ni nadra kupata mtoto wa copy yako,ni kimpata lazima arithi u smart wa mama yake.

Nakuahidi ukija Zanzibar nitakupeleka sehemu nyingi zenye kivutio kwa Watalii,nitakupeleka Ngome Kongwe,Forodhani,Mnemba Island,kwenye soko lilikuwa la Watumwa Mkunazini,bila kusahau usiku ni kwa DJ Bar Bwawani Hotel.

Ahsante sana,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom