Kwako Kasinde

Kwako Kasinde

Valentine.
Huyu Dada anasifa za ziada.mwambie anaumiza mtima Wa moyo wangu.nipo tayari walau nimuone tu.
Ahsante sana.

To be honest hizo za ziada sizifahamu, ni zipi hizo....................... nina hamu ya kuzijua...............
 
Kwa nini nichekwe my Dear Kasie.nadhani watanionea choyo,being 43 years it doesnt mean you are no longer smart.halafu,kilichonivutia zaidi sio umri, ni swaga na upambanuzi ulio nao.

Ni nadra kupata mtoto wa copy yako,ni kimpata lazima arithi u smart wa mama yake.

Nakuahidi ukija Zanzibar nitakupeleka sehemu nyingi zenye kivutio kwa Watalii,nitakupeleka Ngome Kongwe,Forodhani,Mnemba Island,kwenye soko lilikuwa la Watumwa Mkunazini,bila kusahau usiku ni kwa DJ Bar Bwawani Hotel.

Ahsante sana,


Am speech less..................... u r talking of me having a baby........................!!!! Please tell me that is not true looh!!
Thanks in advance for the tour
 
Una gari weye...?

Jiandae kujibu swali hilo toka kwa Kasie

Aaaf weeweeee siku ningi hujakatwa mtama eeehh............... ntamuagiza mtu wa matunda akuletee kifuko cha matunda mchanganyiko kesho, ile ntamtuma yule anayesimama pale mlango wa kuingia kanisani..............
Na uache uchokozi na ukorofi wako
Na ukiendelea ukienda parking ukakuta tairi zako mbili ziko flat ujue ni mie nimezitoa upepo.
Kasie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom