Kwako Kasinde

Kwako Kasinde

Kama hana ajiandae kuvumilia "crash" za kassie

Yaani wapambe kweli ni shiidaaah, yeah I love crushes na akipenda boga shurti apende na ua lake laa aliache liendelee kutambaa.
Au sijaelewa, kwani ameomba kunitembeza Zenziberi au ameomba kucrush na Kasie, may be sijaelewa nisingie kichwa kichwa kama athumani msumeno akisema hana mabega kumbe anazama mzima mzima hadi atoe kamasi looh
mara goi hilooo.
Wacha nikaisome barua tena.
 
Am speech less..................... u r talking of me having a baby........................!!!! Please tell me that is not true looh!!
Thanks in advance for the tour

Wherever,we shall talk wen you arrive there,time will tell.

Thanks for appreciating.
 
To be honest hizo za ziada sizifahamu, ni zipi hizo....................... nina hamu ya kuzijua...............

1.MWANAMKE MWENYE MSIMAMO

2.MWANAMKE MUELEWA

3.MWANAMKE MSAFI NA MZURI

4.MWANAMKE MWENYE UPENDO

4.MWANAMKE UPO SMART SANA

Natamani nikuone tutembee pamoja nikufanyie vitu vingi vitavyokupagawisha hadi usahau lini utarudi Mainland.

Ahsante sana
 
Please reserve the rest, you have gone beyond the line
I bet to differ with you in number 3 and 4
Hapo kwenye red (...........................)
Unanifanya niwe curious wakati najizuia.................... pls dont let me .........................
Actually am keen........... very keen .....................
 
Hahahah....huo mkwara umenifanya nitetemekeeee

Btw miss u buddy...hope its all good with u

Aaaf weeweeee siku ningi hujakatwa mtama eeehh............... ntamuagiza mtu wa matunda akuletee kifuko cha matunda mchanganyiko kesho, ile ntamtuma yule anayesimama pale mlango wa kuingia kanisani..............
Na uache uchokozi na ukorofi wako
Na ukiendelea ukienda parking ukakuta tairi zako mbili ziko flat ujue ni mie nimezitoa upepo.
Kasie.
 
Please reserve the rest, you have gone beyond the line
I bet to differ with you in number 3 and 4
Hapo kwenye red (...........................)
Unanifanya niwe curious wakati najizuia.................... pls dont let me .........................
Actually am keen........... very keen .....................

Oh, well let me explain this to you. It's really quite simple.

It's going to be so exciting when you come.I would like to arrange many things before ur arrive,i have to ask you wat you like wen you are in Zanzibar.

You know ur ID is private , I would like to tell you something special, so no one is going to read those texts unless you want them to. can you do that for me
 
Hahahah....huo mkwara umenifanya nitetemekeeee

Btw miss u buddy...hope its all good with u

Hhahahahaaaa usiniangushe bana afisa usalama huwa hatetemeki kwa mkwara au unaskia baridi? leo uko compyuta room nini? :yo:

Nimekuchokoza tuu kukurudishia uchokozi wako, am good and all is good, Glory to God.
Msalimie yule pacha wako.
Kasie.
 
Oh, well let me explain this to you. It's really quite simple.

It's going to be so exciting when you come.I would like to arrange many things before ur arrive,i have to ask you wat you like wen you are in Zanzibar.

You know ur ID is private , I would like to tell you something special, so no one is going to read those texts unless you want them to. can you do that for me

Oooohh so u want kuhamia PM sio ........ ujue wananchi wanakukodolea mimacho n hapo lazima wahamie huko
let me see...........
 
Hhahahahaaaa usiniangushe bana afisa usalama huwa hatetemeki kwa mkwara au unaskia baridi? leo uko compyuta room nini? :yo:

Nimekuchokoza tuu kukurudishia uchokozi wako, am good and all is good, Glory to God.
Msalimie yule pacha wako.
Kasie.

Dooh!!! naona wanipa cheo kipya tena...
 
Dooh!!! naona wanipa cheo kipya tena...

Wewe na pacha wako hivyo ni vyeo vyenu, halafu siku ukiwa yale maeneo yako ya kujidai, ukiona unatupiwa punje za ubuyu ujue ni Kasie, ila ukigeuka hutaniona utashangaa tuu zinakurukia............
Na siku zote huwa nyie ni wachokozi mnanichokozaga sana sasa mie uchokozi wangu nauhamishia live kimwilimwili sio humu tena............
 
Hahaa sio kukuuza ni kukubali tu kuwa someone else may be the one
mwache ajaribu bahati yake

Hhahahahahaaaaa yaani rafiki wewee eti someone else may be the one looh
Nilikuwa sijui kumbe ni bahati, wacha nikaiwekee safe isiibiwe hahahahahaaa
Iftar njema, salamu kwa wifi looh
 
You know you are unique...
karibu iddi pili

Those compliments are not hivi hivi tuu I know, Iddi Pili nyagi inaruhusiwa au utaendeleza sita?
Kwanza niambie Iddi itakuwa lini niset mambo nisijedondokea baharini Kasie wa watu mie.
 
Those compliments are not hivi hivi tuu I know, Iddi Pili nyagi inaruhusiwa au utaendeleza sita?
Kwanza niambie Iddi itakuwa lini niset mambo nisijedondokea baharini Kasie wa watu mie.

Karibu sana..wewee tu...
iddi pili jumapili 19th
 
Hahaha...

Kasie ujue wanifanya nicheke kwa kuwa hadi leo bado hujaweza kututofautisha...

Mimi na huyo umwitaye pacha ni watu wawili wenye fani tofauti...

Labda twafanana mwandiko....si eti eenh?

Wewe na pacha wako hivyo ni vyeo vyenu, halafu siku ukiwa yale maeneo yako ya kujidai, ukiona unatupiwa punje za ubuyu ujue ni Kasie, ila ukigeuka hutaniona utashangaa tuu zinakurukia............
Na siku zote huwa nyie ni wachokozi mnanichokozaga sana sasa mie uchokozi wangu nauhamishia live kimwilimwili sio humu tena............
 
Hahaha...

Kasie ujue wanifanya nicheke kwa kuwa hadi leo bado hujaweza kututofautisha...

Mimi na huyo umwitaye pacha ni watu wawili wenye fani tofauti...

Labda twafanana mwandiko....si eti eenh?

Nawafahamu sana tangu kuleeeeeee kwenye lunch, mko hivohivo na uchokozi wenu.
Nyi hamjui ila mie nimewawekea code ambazo ziki detect najua ni nyie tuu
Haya basi kama hutaki msalimia pacha wako wasalimie wazee wa kazi.
Mambo yenu wote sawa tuu kuwapelekesha mabinti wa watu wakati mwajijua nyie ndo sukari yao.
Mie na mvi zangu akuuu nakula bakulutu tuu hahahaa
See ya.
Kasie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom